Msaada: Je, Kuna uwezekano wa kupata 3G au H+ kwa njia mbadala?

Snowden E

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
511
1,000
Kwa anejua tu,

Nipo kijijini sana (chaka nasaka pesa shambani), mitandao ya simu inayopatikana ni Vodacom na Halotel. Network kwa ajili ya Voice call na SMS hazisumbui kabisa ila shida ipo kwenye internet tu.

Network speed ni Edge tu (E) kwa mitandao ya Vodacom na Halotel. Naomba kujuzwa kama kuna kifaa au njia yoyote ambayo inaweza kufanikisha kupata hata 3G.
 
1gb

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
1,851
2,000
Tusiojua,lkn tunawajua wanaojua..tupite wapi?
Automaticaly Nishatiwa uvivu kuita mtu.
Unataka msaada na una ji limit mwenyewe,what the hel..!
 
obadia90

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
215
250
hakuna njia ya kupata 3G kama sehm hakuna coverage ya 3G, kama unauwezo na unataka internet speed nzuri unapoishi basi request dedicated link ata ya 1mbps ije mpk kwako/office
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,111
2,000
Kwa anejua tu,

Nipo kijijini sana (chaka nasaka pesa shambani), mitandao ya simu inayopatikana ni Vodacom na Halotel. Network kwa ajili ya Voice call na SMS hazisumbui kabisa ila shida ipo kwenye internet tu.

Network speed ni Edge tu (E) kwa mitandao ya Vodacom na Halotel. Naomba kujuzwa kama kuna kifaa au njia yoyote ambayo inaweza kufanikisha kupata hata 3G.
ngumu, ila kwa E unaweza tumia internet kubrowse na hata kuangalia youtube kwa quality ndogo za 144p na 240p. cha muhimu tafuta simu yenye opera mini na funga mahitaji ya data yasiyo na lazima
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom