msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Changamoto za Ajira Portal

    1. Kama wewe umesomea Bachelor of Engineering (B.Eng) kwa mfano umesomea Bachelor of Engineering in Mechanical Engineering/Electrical Engineering kama nafasi imetangazwa na imetaja inahitaji mtu mwenye Bachelor of Science in respective coarse my dear uki apply inagoma, and vice versa. 2. Mfumo...
  2. JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya 02/01/2020 Tanzania imerusha “setilaiti” ya kwanza na USA yaomba msaada Tanzania

  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Unaondoaje Ukungu wa nje kwenye kioo cha mbele?

    Juz nilienda marangu na gari sasa usiku wakat narudi kulikuwa na baridi gari ikawa inaweka ukungu kwa nje nimejaribu kuwasha heater ta kioo haikubali ilichosaidia ni wiper inafuta kidogo but inarudi palepale, ukikutana na gari inayokuja imewasha taa huoni vizuri kabisa nimeenda nayo hadi sehem...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashine ya kupasua mbao

    Wakuu, naomba kuelekezwa pahala ambapo naweza kununua mashine ya kupasua mbao. Hii iwe ni ya kuhamisha na kwa vyovyote vile isiwe inatumia umeme. Isiwe chainsaw maana inaharibu mbao.
  5. JamiiForums Tanzania "Tanzania yatoa msaada kwa Mataifa ya Ulaya na Marekani" hapa sasa ndiyo ngoja niseme

    Katika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za Ulaya na Marekani katika kudhibiti tatizo hili. Kuna haja ya kuwafundisha namna ya ku deal na mambo kama haya lakini pia kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kupata emails za member wenzangu kwa yahoo group?

    Habari zenu wakuu, Maguru wa I.T Nilikuwa yahoo group na wenzangu, ambapo december 15 2020 .Yahoo wamefunga groups. Nawezaje ona (kupata) emails za wale members niwatumie jumbe mmoja mmoja? Nicheki kwa 0713-039875 , kama ushauri mrefu, tupange wikiend ,ntakulipa kwa usumbufu mkuu
  7. JamiiForums Tanzania Msaada : kujitoa chama cha walimu Tanzania

    Wadau, Heri ya mwaka mpya, Bila shaka humu wapo watu mbali mbali, Naombeni msaada wa kujitoa kwenye hili JINI nyonyaji CWT Nataka kujitoa kwasababu zifuatazo: 1. Chama hakina msaada wote kwangu zaidi ya kukata %2 2. Mwaka wa 7 huu hakuna daraja wala nyongeza chama lipo tuu. 3. Mapato na...
  8. JamiiForums Tanzania msaada: jinsi ya kupakua picha kutoka facebook

    Habari. Kwa kipindi cha karibuni nimeanza biashara ya udalali wa magari pikipiki simu vitanda na vitu vingine used hapa Dar. Nimekutana na changamoto ya kupakua picha zilipostiwa FB ili niweze kupost kwingine Naomba msaada ni njia gani nitumie Shukran, Dalali Solo. 0744033555__ TABATA BIMA DAR
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Mume anataka kuuza Mali za familia pasipokushirikisha familia yake na familia haijaafiki

    Wakuu salaam kwenu! Naomba kujua Sheria inasemaje ikiwa Mme katika familia anataka kuuza Mali za familia pasipokushirikisha familia yake na familia haijaafiki uuzwaji wa Mali hizo! Tatizo lipo hivi Baba wa familia anataka kuhama eneo wanapoishi na kuhamia eneo jingine,ila tatizo linakuja...
  10. JamiiForums Tanzania Jamani msaada juu ya tatizo hili

    Jamani mm Nina tatizo la kusikia kidogo japokuwa namshukuru mungu pia kwa sababu nawaza je ningekuwa sisikii kabisa sijui ingekuwaje kwangu hii Hali imenifanya niwe natumia nguvu Sana katika baadhi ya mambo yangu Mimi Niko chuo first year kwa mfano lecture Kama anafundisha bila Mike napata...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku Update Software ya Samsung note 9

    Nimenunua simu aina ya samsung note 9 lakini software yake ni ya zamani sana nawezaje ku update
  12. JamiiForums Tanzania Msaada; Kuhusu mnara huu mdogo

    Mambo vp wakuu? Naomba kufahamishwa na wajuvi kuhusu huu mnara na wapi naweza upata hapa Tanzania na kwa bei gani?
  13. JamiiForums Tanzania MSAADA: Jinsi ya kubadili jina

    Naomba kujua utaratibu wa kubadilisha jina kwa mtoto au mtu mzima
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wa Intership au Volunteer

    Habari za mida wana Jukwaa Mimi ni Mhitimu (2020) Bachelor of Laws, Kutoka Chuo kimoja hapa Tanzania. Naomba nafasi ya Intership au Volunteer iwe ni Law Firms au sehemu yoyote wanapoweza nipa nafasi nikapata experience Zaidi. Natanguliza Shukurani 🙏 NB: Kama kuna nafasi ya kazi na ukahisi...
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wenu kuhusu ujenzi, nimekwama kwenye kuchimba choo kuna maji nifanyeje?

    Nimefikia stage ya kuchimba choo lakini maji yako karibu ft 4. Na ni maji mengi , je nisimamishe ujenzi wa choo mpaka kiangazi au kuna njia mbadala? Mbona sasa nakwama kuhamia kwangu jamani? Location: Mwanza Msaada Please.
  16. JamiiForums Tanzania Tungetoa msaada kwa nchi za ulaya zilizoathirika sana na corona.

    Hatuna uwezo lakini tufanye kitu hata kidogo kama gesture tu kuwa tupo pamoja Si ndiyo sisi husema kutoa ni moyo!? Wenzetu majanga yamekuwa makubwa sana, tusikae tu kama watu useless. Kila siku sisi wa kupewa tu!?. Tukusanye hata kahawa kidogo, majani ya chai au korosho na kuwapelekea hawa...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria; Ni muda gani unaruhusiwa mtu kukata rufaa kutoka Mahakama kuu kwenda Mahakama ya rufaa kwa kesi za madai?

    Ninawiwa kusaidiwa kujua ni muda upi kisheria ambao mtu aliyeshindwa kesi ya madai Mahakama Kuu-Ardhi atakuwa ndani ya muda kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaa. Swali langu linajengwa na case ground ifuatayo japo kwa ufupi sana. Mnamo mwaka 2014,Jamaa yangu Mjasiriamali aliomba na kupewa...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano yangu yapo kwenye mgogoro, msaada unahitajika

    Mimi ni kijana ambae nipo kwenye umri wa kuuvuka ujana na kuuendea utu uzima. Miaka ya nyuma mara kadhaa nimeshawahi kuumizwa sana kwenye mahusiano. Ilifikia kipindi nikaamua kuyapa kisogo mahusiano. Mbinu haswa niliyokuwa naitumia ni ku hit and run. Ila baadae miaka 6 nyuma nilikutana na...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Partnership kwenye biashara

    Habarini wana jamvi. Nimeamua kuja hapa kuomba ushauri kwa hili swala. Nimeona nije kwa watu wasionifahamu ili kuondoa "conflict of interest" Straight kwenye mada, kuna biashara nimekua nikifanya kwa muda wa mwaka mmoja sasa. Nilianza from scratch mwenyewe bila msaada kutoka kwa mtu yeyote...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada wa free educational websites

    Wadau habari za majukumu ya kila siku? samahani napenda sana kusoma online hasa kwenye website mbalimbali lakini sasa nataka nianze kusoma course zinazotolewa na free websites kwa ajili ya kujinoa zaidi na kuongeza maarifa kichwani ili kuweza kupambana na mazingira ya kuajiajiri. Napenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…