msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kupata mwongozo wa ufanyikaji wa vikao vya baraza la wafanyakazi la Halmashauri

    Wakuu naomba msaada wa kusaidiwa mwongozo wa vikao vya baraza La wafanyakazi LA Halmashauri .Ikiwa ni pamoja na 1.wajumbe wake 2. Ikidi 3. Meza kuu wanakaa watu gani 4. Linatakuwa lifanyike Mara ngapi kwa mwaka 5. Mwenyekiti wake anapatikanaje
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Nini nifanye ili nitatue hili tatizo la gari yangu

    Wakuu leo asubuhi, gari iliniletea usumbufu, tatizo ni steering kuwa ngumu sana kama naendesha fiat, na kwenye dash board likatokea neno P/S hapo tatizo nini. Nifanye nini?
  3. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuondoa hizi vitu kwenye simu

    Inasikitisha sana wakuu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM kuna wakati wanachekesha sana, Hamis Taletale atoa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi

    Kuna wakati huwa najiuliza kama hawa wabunge waliopita bila kupingwa wana tija yoyote kwa Chama na jamii kwa ujumla. Mbunge wa Morogoro kusini mashariki mh Hamis Taletale aka Babu Tale ametoa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi wa shule moja ya msingi jimboni kwake. Babu Tale amesema msaada...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kufanya back up ya contacts zangu toka kwenye simu kwenda google akaunti

    Simu yangu ni Tecno K9. Nataka kufanya back up ya contacts zangu kwenye google akaunti yangu. Nisaidie nafanyaje. Nimesoma google hainipi ninachokitaka. Please assist.
  6. JamiiForums Tanzania Reseater form 4 msaada

    Mwenye kujua tarehe mwisho wa kulipa hela ya mtihani ni lini
  7. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali wajuzi wa smart phones

    Nimenunua simu mpya, nikaweka line zangu toka simu ya zamani. Nikakonect internet na whatsapp, loh! whatsapp zangu contacts ma msgs hazikurudi. Nifanyeje?
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna uzi nautafuta

    Habari zenu ba ndugu. Naomba msaada kunauzi nautafuta, nmeusahau jina japo maudhuhi yake nayakumbuka. Uzi ule unahusu maneno ambayo unaweza ya tumia iliuende sawa na watu yani ni maneno ya kawadi tunayotumia kila siku ila mtoa ametia msisitizo. Kizuri zaidi kuna-comment moja mwanana...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria katika mgogoro huu wa kimkataba kati ya Mwajiri na Mwajiriwa

    Salaam wanajamvi, Msaada na ushauri unahitajika wadungu. Kuna jamaa alikua anafanyakazi na kampuni ya vinywaji Tanzania. Alikua na mkataba wa miaka miwili na uliisha lakini mwajiri hakumpa notisi ile ya miezi mitatu. Baada ya hapo mwajiri alimuandikia barua kuwa atoweza kuendelea nae kwahiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kusamehe na kuachilia

    Habari wana JF! Mimi ni Muhanga wa hali hii nimevumilia sana lakini nimeshindwa. Juzi kuna jamaa yangu amekuja hapa kunihadithia kisa kilichomkuta maishani mwake ameshindwa kabisa kusamehe na kuachilia inagawaje anadai hana shida na watu waliomuumiza na kumpiga majungu. Baada ya kunieleza...
  11. JamiiForums Tanzania MSAADA: PC haisomi (haikamati) wireless internet connection

    Wasaalam wanajukwaa hili. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,nimekuwa nikitumuia simu janja yangu ku-share internet na PC yangu kwa kutumia njia ya hotspot lakini cha kustaajabisha tangu jana nashangaa PC yangu hai-connect internet kama ilivyokuwa hapo awali. Tafaddhali mwenye kujua suluhisho...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana mimba ya miezi mitatu na wiki mbili ila mtoto anacheza tumboni!

    Habari wakuu Mke wangu ana mimba ya miezi mitatu na wiki mbili ila mtoto anacheza! Je, hili sio tatizo?
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Simu yangu ina tatizo kwenye camera

    Natumaini nyote mmeamka salama, Msaada tafadhari Simu yangu imekuwa na tatizo la upigaji camera kila ninapopiga picha inakuwa na ukungu hata haionyeshi,tatizo hili limeanza gafla,kipindi cha nyuma haikuwa hivi msaada tafadhari natumia Itel
  14. JamiiForums Tanzania msaada biashara ya udalali

    habari wakuu,,. naomba kwa anayejua kwa undani biashara/kazi ya udalali wa mahakama anisaidie,.. yaani nahitaji niwe na kiasi gani cha kuanzia,vitu vinavyohitajika ili nipate vibali vyote na faida ya hii kazi,.natanguliza shukran
  15. JamiiForums Tanzania Niendelee kupangisha? Wakati moyo Unataka niweke biashara yangu!

    Habari! Shida kuu nina frem ya biashara ipo wazi na eneo la biashara ni sana! Kwa wale mnaojua biashara zilizopo maeneo ya stendi mtakuwa mmenielewa. Shida kuu niliyo nayo hali imekuwa ndivosivo, nilitegemea Frem ikikamilika nitabaki na ya mtaji ila ujenzi ni kitu kingine nimeambulia...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Ni wapi wanafundisha muziki kwa Dodoma?

    Habari wana JF, Bila kupoteza muda wenu, Ninaomba kujua ni wapi wanafundisha kupiga vyombo vya mziki kama gitaa na piano kwa Jiji la Dodoma. Nashukuru
  17. JamiiForums Tanzania Wanasheria, wataalam wa fedha Kitaifa na kimataifa msaada please

    Naomba kuuliza ikiwa mtu aliuawa na hakutoa taarifa zozote kuhusu warithi wa fedha zake huko uingereza je, pesa hizo nani atapewa? Maana kuna mtu anansumbua yeye ni mkaguzi na msimamizi wa mambo yaa pesa huko, ananiambia eti nimtumie info zangu kama NIN, Address n.k azifoward pesa za mtu huyo...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye FB ADS

    Mimi sipo vizuri sana kwenye maswala ya digital marketing nahitaji kujua vitu viwili kutoka kwenye hii kitu. 1: Kipi hutokea kama hujaweka kabisa audience's interest inamaana itapiga viral au ita categorise itself. 2: Hivi unapochagua audience wa eneo flan mfano Mbeya au Iringa je system...
  19. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata Dinamo ya kutoa 12Volt kwa hapa Dar ( Msaada tutani )

    Wakuu, husikeni na kichwa Cha hii thread. Mkinipa Bei zake ntashukuru zaida
  20. JamiiForums Tanzania Msaada naombeni kazi au connection nipate kazi

    Habari zenu wakuu, Najua hapa ndani hapawezi kukosa wamiliki, maengineer wa makampuni,viwanda, na mashirika mbali mbali mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 26 naishi Dar es Salaam. Naombeni kazi ya ufundi umeme Elimu nina level three ya electrical.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…