Bin Shaib
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,315
- 1,186
Habari ya uzima wapendwa, tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai bure, kwa siku nyingine tena imenipendeza kuwaleteeni changamoto hii ambayo naona ipo juu ya uwezo wangu.
Mimi ni kijana mwenye umri 25 years old,nimekulia maeneo ya kijijini, kipaji changu cha uchoraji kiligundulika toka nipo shule ya msingi japo sikuwa naelewa kitu kuhusu kipaji, basi nimeendelea hivyo hadi nikajitambua kuwa nina kipaji na watu kuniambia kuwa nina kipaji hicho.
Nifupishe story, nikaanza kuwachorea watu hapo kijijini nikaanza kufahamika vizuri nami sasa nukatambua kweli hiki ndo kipaji changu nikaanza kuifurahia hiyo kazi yangu.
Changamoto:
Mwaka 2018 nilipata changamoto iliyo nifanya nikatoka nyumbani nikaaingia jijini Mwanza bila kutegemea, so kuanzia hapo kipaji changu kikapoa, ilikuwa kama safari ya dharura so nikakoswa namna ya kuanza na nianzie wapi, bahati nzuri nilifikia kwa anko alikuwa na kazi nikaanza kukomaa nae,, lakini japo nilipata kazi shauku yangu ilikuwa kipaji changu tu,,
Kiufupi :
Mpaka sasa nipo tu nimetulia na kipaji changu hapa Mwanza, huwa nikiona hata picha zilizo chorwa na wenzangu nahamisika sana lakini kuchukua hatua nashindwa.
Ushauri wenu naamini humu wamo wenye kipaji cha uchoraji,
* Je, nianzie wapi wapendwa ili kuendeleza kipaji changu.
* Nitajulikanaje na mimi kama wenzangu.
* Kuna jamaa nilimfata kipindi nafika hapa Mwanza ili anifue alinitema alinikatalia.
* Nahisi umri wangu umeenda kufatilia kipaji changu na kukikuza, je nipo sahihi au nimawazo hasi.
Ushauri wenu utakuwa muhimu sana juu ya kipaji changu, hadi natamani nirudi kinijini nikaendelee huko, labda mambo yatakaa sawa.
Nipo kwenye changamoto ya mawazo, na sijapata kazi rasimi yakuendesha maisha yangu nikipata familia,, kuna kazi ambayo naifanya lakini hainifurahishi na kama sioni future mbele kupitia kazi hiyo.
Wapendwa wachoraji wenzangu mi nipo Mwanza, natamani sana nashindwa nianzie wapi
Nahitaji mentor wakuniongoza ili nifikie malengo yangu, shetani yupo kuharibu mipango na maisha ya watu, kwa changamoto niliyoipata huko kijijini nahisi ndo iliharibu future yangu.
Niishie hapa wapendwa na Mbarikiwe sana.
Bin Shaib Official 2021.
View attachment 2213498View attachment 2213499View attachment 2213500View attachment 2213501