Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 2,926
- 3,054
Ni solar panel na betri ya namna gani ambayo itaweza kuwasha taa tatu na kuchaji simu mbili kwa wakati mmoja?
Zile chaja bila kutumia inveter zinaharibu betriNunua betry la solar n50 na solar panel watt 60 na kuna vichaji vinachaji moja kwa moja toka kwenye betry bila kutumia inveter maana inveter inakula sana moto
800kw? Si inatosheleza ku power a small town?You need power of not less than 800kw and invetor.
Solar panels ni za aina yoyote zenye uwezo wa kutoa 12v na current not less than 8A
Sent from my SM-J415F using JamiiForums mobile app
Sioni logic kwa nini chaja isiyotumia inverter ziharibu betri kwani haijalishi unatumia Inverter au la, current consumption ni ile ile. In fact kwa kutumia inverter current consumption inabidi iwe kubwa kwani na inverter yenyewe inakula umeme. Nitakubali tu ikiwa una overload na hapo ndipo inverter ina provide protection ya betri.Zile chaja bila kutumia inveter zinaharibu betri
Sawa we umeona logic...mi nimeona field ...betri za simu Zina vimba.... weka utaleta mrejeshoSioni logic kwa nini chaja isiyotumia inverter ziharibu betri kwani haijalishi unatumia Inverter au la, current consumption ni ile ile. In fact kwa kutumia inverter current consumption inabidi iwe kubwa kwani na inverter yenyewe inakula umeme. Nitakubali tu ikiwa una overload na hapo ndipo inverter ina provide protection ya betri.
Ooh kumbe ni betri za simu? Nilifikiri za solar.Sawa we umeona logic...mi nimeona field ...betri za simu Zina vimba.... weka utaleta mrejesho
Nunua polycrystaline 50 w na battery N40 iwe dry cell, nunua chaja controller, nunua LED lamp 3w tatu, nunu dc phone charger. Utakuta umemaliza. Itaweza kwenda hadi siku 4 bila kuhitaji kuchsjNi solar panel na betri ya namna gani ambayo itaweza kuwasha taa tatu na kuchaji simu mbili kwa wakati mmoja?