nemnunu
Member
- Jun 4, 2019
- 75
- 63
Hello, natumai wote ni wazima.
Naomba msaada kwenye mkataba imeandikwa mwajiriwa atalipwa mshahara wa siku kumi kwa mwaka mzima kama kiinua mgongo baada ya kumaliza mkataba. Hii ina maana ipi?
Ni siku kumi za kila mwezi au siku kumi kati ya siku 365? Mfano mtu aliye na mshahara wa laki3 kwa kanuni hiyo kiinua mgongo ni kama shilingi ngapi?
Naombeni mwenye kujua tafadhali.