msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata joining Instruction Chuo cha Mipango Mwanza

    Naomba msaada mwenye joining instruction ya chuo cha Institute of Rural Development Planning - Mwanza anisaidie maana nimeenda selfom kwenye post za advanc na vyuo sijafanikiwa kuipata.
  2. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupokea hela kutoka nje ya nchi bila kuwa na akaunti ya Benki?

    Hey guys ! I hope mko powa,mm sipo pow sana afya yangu inamgogoro kidogo God is good all the time nitakaa sawa Nina rafiki yangu yupo UK alikuwa anataka kunitumia pesa kidogo akaniuliza una account ya bank nikamwambia sina,akaniuliza kama kuna namna nyingine ya kutuma, Jf kuna wa somi wengi na...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu kupata line za uwakala wa mitandao ya simu

    Wakuu naomba kujua je, inawezekena au ninaweza kutumia leseni ya biashara nyingine kupata line ya uwakala kwenye mitandao ya simu? Au kufanya uwakala huo ni lazima kuwa na leseni ya biashara inayohusiana na mambo ya uwakala kwanza? Pia ninaomba kujua kwa makadirio ya kodi TRA huwa wanakadiria...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutoa google FLP kwenye simu ya android Tecno

    Wakuu kwa anaejua maujanja maana nimeingiza email yangu kama mara nyingi inavyofanyika lakini nikifika mwisho inaandika try again hivyo naomba nipewe njia nyingine ili niweze kutoa flp kwenye hii Tecno.
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye ufahamu kuhusu chuo cha maji hapa Dar es Salaam

    Naomba kupata maelezo ya ufahamu kuhusu chuo cha maji hapa Dar kwa wale wenye ufahamu. Aina ya course, malazi, uhakika, mkopo nk. Nina mtoto wa kaka yangu kamaliza kidato cha nne, na kupangwa kujiunga na chuo hicho, sasa anataka nimpe hizo details kwa wale wenye ufahamu wa kutosha kuhusu chuo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe tatizo hili Ajira portal

    Wapendwa habari! Samahani naomba kuuliza nimekosea kujaza details za academic qualification nikajaza cheti Cha degree Mara mbili network ilikuwa inasumbua kumbe imejiupdate. Nakuja kuangalia CV preview naona degree Mara mbili. Halafu hakuna option ya kudelete wanaojua nifanyeje wapendwa? Maana...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa google support customer service

    Wakuu habari zeno, Ninashida na jinsi yakuwasiliana na Google support service nimepoteza keys za Google authenticator nimejalibu kutafuta mawasiliano nao nimeshindw najua umu siatakosa mwanga karibuni. CHIEF MKWAWA
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napataje AVN na ikiwa nilishawahi unda account lakini taarifa zake nilipoteza?

    Jamani msaada napataje AVN ikiwa nimesahau username na password nilizizitumiaga pindi najisajiri.
  9. JamiiForums Tanzania Msaada, napata message. Your payments on instagram have been posed because of unusual Account activity

    Msaada wakuu, nifanyeje ili niendelee kuadvertise insta.
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa mtaalam (fundi) alieko Mbeya anayejua mambo ya kuweka custom rom mbalimbali

    Ndugu zangu habari zenu,ninahitaji msaada wa fundi alieko mkoa wa mbeya au kijana yeyote alieko mbeya mwenye uelewa wa kuweka custom rom mbalimbali kwa simu. Ndugu yangu ana simu aina ya redmi note 9pro 5g chinese version sasa now kumekua na ban ya matumiz ya google services kwa chinese...
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa mawazo juu ya biashara ya mifugo (ngombe & mbuzi)

    Habari zenu wana JamiiForums, mimi kama kijana mtafutaji na mwenye kiu ya mafanikio, nimeamua kuja kwenu Ili nipate ABC juu ya mada tajwa hapo juu. Nimejaribu kupitia maada mbalimbali za zamani juu ya hii maada ila sikufanikiwa kupata data nilizokuwa nazihitaji, hasa ukizingatia taarifa za...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta mashine ya kutengenezea pipi

    Kwa anae uza mashine ya kutengenezea pipi au anae jua wapi nitapata mashine ya kutengenezea pipi. Funguka please. With much thanks in advance
  13. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Ufugaji wa Kuku wa Kisasa

    Wakuu Kwema? Nahitahi kumfungulia mtu Biashara ya Kufuga Kuku wa Kisasa, ambapo kwa Kuanzia tumekubaliana kwanza aanze na Box moja. Sasa nilikua naomba mchahngahnuo wa kimahesabu juu ya gharama za kuwafuga hawa Kuku 100. Sababu ndio kwanza anaanza ningeomba Mchanganuo huo uwe katika mtiririko...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada kwa watu wa Mkoa wa Mbeya na Songwe huyu ndungu Frank Kibona amefariki mkoani Tanga,hakuna ndugu aliyejitokeza

    Kuna huyu ndugu amefariki huko Tanga, hilo jina la Kibona ni asilimia kubwa Wandali wa Isoko, Kalembo na wilaya ya Ileje kwa ujumla na wamesambaa sana maeneo mengine pamoja na mikoa ya Songwe, Rukwa na Mbeya.Tusaidiane kusambaza hii taarifa.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Looking for a job marketing positions or insurance principal officer

    I'm Denis sSamwel Mwalumuli 24 age I'm living in Tabata Barakuda, Dar es salaam I'm looking for a job from two kinds writing above heading, marketing position or either insurance principal officer because I have graduate and very experiences in this two derpatment. I'm ready to work any place...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kufahamishwa kiwango cha makato ya ATM card benki ya NMB

    Binafsi natumia account ya nmb chap chap, ambayo tulifunguliwa kwa msaada wa kampuni mahala tunapofanyia kazi. Maafisa wa benki wakati wanaipigia chapuo tender hii walituambia makato ya nmb chapchap ni kwa kiwango cha sh,1150 pasi na malipo ya mwisho wa mwezi ukilinganisha na account zingne...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa nini cha kufanya kuhusu udahili wa masomo kozi za afya 2021/2022

    Habari za saa hii wakuu Jamani nilikuwa naomba ushauri wa nini cha kufanya, nimechagua programme tano za kusoma bila kutarajia kwenye chuo kimoja ambacho ni MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE na kozi zenyewe ni 1.Clinical medicine 2.medical lab 3.dentristry 4.pharmacy 5.physiotherapy...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada PC ya dell Wakuu

    Nina pc ya dell inspiron 3521 ambayo ina tatizo moja kwamba, ukiweka waya wa charge, betrii halichaji Bali inakia inatumika kama desktop, lakini nikipeleka betri kwa pc 💻 ya mtu betrii nachaji vizuri tu, bila shida yoyote, hio ilikuwa mwaka jana mwezi wa kwanza, na betri lilikia linasoma...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Link nzuri za habari na matukio

    Wadau habari naomba kwa wale wazoefu wa telegram wanisaidie link nzuri za habari na matukio za ndani ya nchi hata za nje ya nchi na ya michezo hasa ligi ya hapa kwetu. Asanteni.
  20. 2

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusikia nimepata matatizo amenitafuta, naitaji msaada huu

    Karibuni wakuu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…