Wafugaji wa nyuki naomba msaada

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,012
Wakuu nina swali kuhusu utengenezaji wa mizinga ya nyuki. Mzinga in lazima utengenezwe kwa mbao au unaweza kutengenezwa pia kwa material nyingine kama plastic?
 
Habari Wakuu.

Nina swali kuhusu utengenezaji wa mizinga ya nyuki. Mzinga in lazima utengenezwe kwa mbao au unaweza kutengenezwa pia kwa material nyingine kama plastic?

Natanguliza shukrani
 
Wakuu nina swali kuhusu utengenezaji wa mizinga ya nyuki. Mzinga in lazima utengenezwe kwa mbao au unaweza kutengenezwa pia kwa material nyingine kama plastic?
Sorry kwa kuchelewa kujibu, lakini nadhani majibu yangu yatasaidia na wengine kwa siku zijazo.

Kuhusu Mizinga:
Kiasili nyuki hujenga katika mapango ya miti, mashina ya miti au ardhini kwenye mashimo na mapango. Lakini wengine hujenga/kuishi kwenye Dari za nyumba tunazoishi. Ola asilimia kubwa ya Nyuki kujenga kwenye mashina na mapango ya miti.

Kwa muda ufugaji nyuki umekuwa ukifanyika kwenye mizinga ya mbao na siyo ya bati kwa sababu mbao inachukua nafasi halisi ya uhalisia mapango na magome ya miti.

Kwa uzowefu wangu, Nyuki anaweza kuishi kwenye mizinga wa bati bila shida, lakini haishauriwi sana sababu bati linaweza kuwa na kipindi kirefu cha joto na hivyo kutotoa uzalishaji Asali wenye tija. Sababu joto kinapozidi ndani ya mizinga nyuki wafanyakazi hulazimika kupepea hewa ili kumfanya Malkia kuishi vyema ndani ya mizinga. Kitendo hicho kitawagawa makundi nyuki wafanyakazi ambapo baadhi wataanza kupepea hewa kwa mbawa zao juu ya mlango wa mizinga àu ndani na wachache kwenda kutafuta chakula.

Shida nyingine ya bati, ni upatikanaji wa kitu.

Plastic inafaa Kwa mizinga na wenzetu Ulaya wanayo mizinga mingi ya plastic wanaitumia.

Kwa maelezo zaidi unaweza wasiliana nasi Nyuki Farming ±255622 642620.
 
Maelezo mazuri mafupi lakini naamini yametoa jibu kwa muulizaji lakini kwa upande wangu na wengine kama mimi tumeelimika.
Bravo mkuu.
 
Sorry kwa kuchelewa kujibu, lakini nadhani majibu yangu yatasaidia na wengine kwa siku zijazo.

Kuhusu Mizinga:
Kiasili nyuki hujenga katika mapango ya miti, mashina ya miti au ardhini kwenye mashimo na mapango. Lakini wengine hujenga/kuishi kwenye Dari za nyumba tunazoishi. Ola asilimia kubwa ya Nyuki kujenga kwenye mashina na mapango ya miti.

Kwa muda ufugaji nyuki umekuwa ukifanyika kwenye mizinga ya mbao na siyo ya bati kwa sababu mbao inachukua nafasi halisi ya uhalisia mapango na magome ya miti.

Kwa uzowefu wangu, Nyuki anaweza kuishi kwenye mizinga wa bati bila shida, lakini haishauriwi sana sababu bati linaweza kuwa na kipindi kirefu cha joto na hivyo kutotoa uzalishaji Asali wenye tija. Sababu joto kinapozidi ndani ya mizinga nyuki wafanyakazi hulazimika kupepea hewa ili kumfanya Malkia kuishi vyema ndani ya mizinga. Kitendo hicho kitawagawa makundi nyuki wafanyakazi ambapo baadhi wataanza kupepea hewa kwa mbawa zao juu ya mlango wa mizinga àu ndani na wachache kwenda kutafuta chakula.

Shida nyingine ya bati, ni upatikanaji wa kitu.

Plastic inafaa Kwa mizinga na wenzetu Ulaya wanayo mizinga mingi ya plastic wanaitumia.

Kwa maelezo zaidi unaweza wasiliana nasi Nyuki Farming ±255622 642620.
Mkuu,
Mimi sio mtaalamu saana
lakini ni mdadisi kidogo

Siku hizi kuna mizinga ya concreate bee hive
Hii ni inovation ya sikuza karibuni, Nakatika kufuatilia nilikuja kugundua hii mizing ainamanufaa saaana, kwani inaweza kumsadia mfugaji kwa kulinda mizinga na WEzI hata na majanga ya moto

Mgunduzi ni kijana aliyekuwa mwanafunzi Huko South Africa
, na kwasasa anauza MOULD ya kutengenezea

Kwa huu ukanda wa africa Mashariki, hii Mizinga imeshaanza kutumika Kenya na hata Arusha kuna baadhi ya watu wanaitumia

kujifunza

Please note sihusiani na hiy kampuni, nimejaribu ku share kwa lengo la kujifinza

https://www.beegin.co.za/
 
Yes kweli naitambua hii, huyu mwamba alitumia kichwa kufikiri Sana. Amekuja na ubunifu mazuri Sana.

Hii njema kwa kukabiliwa na changamoto ya Moto porini.
 
Hadi cement unaweza kutengenezea.
IMG_6963.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom