BONGE LA BWANA
Senior Member
- Apr 14, 2015
- 194
- 162
Habari wanajamvi, nilikuwa naomba mwenye kujua program nzuri ambayo ni free inayotumika kufanya screen recording. Nyingi nilizokutana nazo ni za kulipia ila ukitumia free unarecord mwisho dakika tano tu. Kama za bure unazijua unaweza ukanipa hata link ili nidownload au ukinitajia hata jina sio mbaya.
Msaada wenu tafadhali
Msaada wenu tafadhali