Msaada: Jinsi ya kutuma sms kutoka excel

pandagichiza

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
4,643
3,020
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka
Nataka kutuma sms kwa watu wengi kila mtu na sms yake
Nimeshatengeneza excel file yenye collum
Jina|Phone number|SMS
Ujumbe upo tayari tatizo ni jinsi kutuma kwenye hizo phone number
 
Unahitaji kuwa na Bulk sms sender kama vile DRPU SMS sender, itafute au tusubiri connection wadau wanaweza kuwa nayo.

Wengine huwa wanaziuza (ukikaa vibaya unapigwa), unaweza tafuta kwenye free sites ama ukanunua mtandaoni.
 
Jaribu bulk sms app kma hii ipo Playstore.
Link: Bulk sms sender ( Excel, Text, Contact ) - Apps on Google Play

Screenshot_20210701-172042.jpg
 
Tumia BULK sms companies kama Bulksms dot com or kwa hapa home mm nawatumiaga sana smsmtandao
 
Unahitaji kuwa na Bulk sms sender kama vile DRPU SMS sender, itafute au tusubiri connection wadau wanaweza kuwa nayo.

Wengine huwa wanaziuza (ukikaa vibaya unapigwa), unaweza tafuta kwenye free sites ama ukanunua mtandaoni.
Nimepata DRPU ila inahitaji kuwa na modem au smartphone ya Samsung
 
Back
Top Bottom