Naomba kujuzwa dawa ya jino ninapata maumivu Makali

Fata ushauri wa mkoloni(wagosi wa kaya)

"mtafute matumla akupe kinu cha uhakika, kwisha kazi
 
Dawa Ya jino
Kijijini huwa wanatumia mafuta ya taa na matobotobo.
Hayo matobotobo sijui kwa jina la kitaalam huwa wanaitaje ila yako kama matunda madogo madogo ya mviringo yakiiva yanakuwa ya njano japo hayaliwi.
Huwa wanachemsha mafuta ya taa kisha wanaweka maji ya hilo tunda kisha wanadondosha kwenye jino

Wengine maumivu yakizidi huwa wanatafuna majani ya mbaazi, yanatuliza maumivu kwa haraka


Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom