msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada wa dawa ya kuzuia magugu: Rilo R500

    Habari wanajamvi. Kama kichwa cha bandiko langu linavyosomeka. Mimi ni mkulima wa Mpunga bonde la Usangu, nina uhitaji wa dawa ya kusindika magugu iitwayo Rilo R500. Naomba msaada mwenye kujua wapi naweza kupata dawa hii. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  2. S

    Naomba msaada kuhusu utaratibu wa kufanya maombi mapya ya chuo

    Habari wana JF, Nina shida kidogo hapa naomba msaada. Mimi ni muuguzi ngazi ya Diploma sasa mwaka jana nilijiunga na chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kuchukua Bachelor of science in Nursing nikajisajili nikaanza masomo lakini baada ya mwezi mmoja ikanibidi nihairishe mwaka wa masomo kwa sababu...
  3. Wakubwa naombeni msaada wa software

    1.Windows 2.Tally 3.Excel
  4. Mafundi simu msaada

    Wakuu mimi ni fundi simu katika kuimarisha huduma nazotoa nimeamua kununua ultrasonic cleaner kwa ajili ya kusafisha saketi zilizoingia maji nilikua naombaa msaada wa zile liquid za kusafishia na zinapatikana wap niko dodoma
  5. Msaada makadirio kwa ramani hii

    Habarini wakuu Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani
  6. Msaada makadirio kwa ramani hii

    Habarini wakuu, Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani.
  7. Msaada Wataalamu wa Kiswahili, matumizi ya haya maneno ambayo hunichanganya

    Lipi ni neno sahihi kwa matumizi. Maneno kama Yuko na Yupo, Wapo na Wako, Sipo na Siko, Tupo na Tuko, Uko na Upo. Baba yuko nyumbani au Baba yupo nyumbani. Kesho sipo nitakwenda Moshi au Kesho siko nitakwenda Moshi. Leo tupo Kanisa la Arusha Mjini au Leo tuko Kanisa la Arusha Mjini. Kaka...
  8. M

    Msaada yafadhali: Namna ya kurejeshewa fedha zilizozidi HESLB

    Naomba mwenye ulewa anisaidie namna ya kujaza maombi ya kuresha fedha iliyozidi Toka bodi mikopo Kwa njia ya online. Natanguliza shukrani.
  9. Msaada kwenye tuta: Kubeba box ndio kazi gani?

    Habari zenu wa kuu. Naomba nisiwachoshe, kunajambo nataka kulijua maana nimekua nikilisikia kwa muda mrefu kutoka kwa wenzetu waliopo ughaibuni, kuwa kazi ambayo ni kimbilio kwa wanaoingia nchi za ulaya na malekani. Wakuu eeeh kubeba box ndio kazi gani au ya aina gani. wakuu fungueni code.
  10. Msaada kuhusu Recruitment Agencies

    Heshima kwenu waungwana Naomba kujuzwa kuhusu Recruitment Agencies nzuri Ambazo zinatafutia watu ajira kwa sasa na hazina longolongo Yoyote anaezifahamu tunaomba atuorodheshee hapa pamoja na email zao ili kuwasaidia na wengine wenye uhitaji wa kutumia CV zao Asanteni
  11. Naomba Msaada wa kisheria kuhusu hili la ndoa ya mkeka

    Habari wakuu, kuna binti anadai kijana wetu amempa mimba. Hivyo wamekuja wazazi wa binti kudai ndoa ya mkeka, kinyume na hapo wanatishia kumfunga kijana wetu kwani binti kamaliza form four mwaka jana. Mimba ina miezi 4/5 hivo iliingia wakati akiwa mwanafunzi ingawa kwa sasa amemaliza. Kijana...
  12. Nahitaji msaada wa kisaikolojia niache tabia ya ulevi

    Inasikitisha sana sijui ni kwanini hata nimejikuta nimekwisha tumbukia kwenye ulevi wa kutisha kwa hali niliyofikia ni hatari kwani nakunywa pombe karibu kila siku bila ya kupumzika. Nimeshakunywa za kienyeji karibu zote, pombe kali zote na kwa sasa nimezamia kwenye bia yaani speed yangu kwa...
  13. Msaada kwa wenye uelewa kuhusu fomu za mapunjo za NSSF

    Heshima kwenu waungwana Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu Hivi mtu anapojaza fomu ya mapunjo kwaajili ya kuchukua michango yake ambayo awali ilikuwa haijawekwa na mwajiri wake je kunakuwa na mzunguko sana katika kujaza hiyo fomu au Kuna unafuu wa ujazaji tofauti na mtu anaenza kujaza fomu za...
  14. Msaada wa bidhaa Kariakoo

    Wakuu nipo Dodoma huku ni fundi simu, changamoto ya Dodoma hawana vifaa vingi huwa napata changamoto baadhi ya bidhaa wateja wakihitaji kama hapa kuna battery ya sony xperia xz nilikuwa nahitaji Dodoma nzima nimekosa kwa hapa mjini. Nilikuwa naomba mawasiliano ya duka dsm ambalo nitakuwa...
  15. Msaada wa kumpata mtu aliyenitapeli

    Habari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku. Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juzi Jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana naye kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara...
  16. K

    Tafadhali naomba msaada Wadau

    Naomba kufahamishwa mitandao ambayo angalau unaweza kupunguza misongo ya mawazo. Cartoon, vichekesho, nk. Nimejaribu nimeona nyingi zinakuwa za matusimatusi. Hizo hapana.
  17. Msaada: Jinsi ya kutumia whatsapp kwenye PC

    Habari ni majanga kidogo nimepata kwa sasa sina simu ya smart na whasapp ya pc inataka uscan je nijinsi gani nitaweza kuitumia kwa kusajili namba moja kwa moja. Ahsante
  18. L

    Msaada wa kifedha wa China kwa Afrika "kupiga breki"?

    Hassan Zhou Hivi majuzi, makala ya gazeti la Financial Times yenye kichwa "Mkopo wa China kwa Afrika Wapiga Breki" imenukuliwa na vyombo vya habari vya ndani na nje ya Afrika. Ikitaja hatari ya kushindwa kulipa madeni katika baadhi ya nchi za Afrika, makala hiyo ilisema China "imetuma ishara...
  19. Msaada wa Kwaito Zilizotamba Bongo kuanzia 2014

    Wakuu! Natumaini mu wazima Nina shida na kwaito kutoka South Africa "Zilizotamba bongo" kwenye sherehe na tafrija mbalimbali tangu miaka ya 2014! Kwa bahati mbaya sijui majina ya nyimbo wala wasanii. Nimepita kwa baadhi ya Djs huku Nanjilinji lakini sijazipata Nimefanikiwa kupata ngoma moja...
  20. Msaada mwenye kujua shule anayefundisha mwalimu JUMA JAFARY Handeni vijijini

    Ombi kwenu, ninashida ya kufaham shule ambayo anafundisha mwalimu ya shule ya msingi anayeitwa JUMA JAFARI mwenyeji wa ARUSHA.anafundisha katika wilaya ya Handeni vijijini, Huyu mwalimu anatafutwa na ndugu zake na mkewake.baada ya kuitekeleza familia yake yenye watoto wawili wadogo na mkewake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…