Msaada wa programme ya kupima eneo la ardhi please

Msaada wa programme ya kupima eneo la ardhi please

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,072
Reaction score
101,942
Kuna progrmammes ambazo unaweza kusi download kwenye simu ambazo unaweza kupima eneo lako (area, perimeter etc) na accuracy ya juu.
Please mwenye kujua programe hiyo anisaidie inaitwaje.
 
Back
Top Bottom