msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa msaada wa mahitaji kwa watoto njiti Kigoma

    RAIS SAMIA ATOA MSAADA WA MAHITAJI KWA WATOTO NJITI KIGOMA. OR.TAMISEMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa Msaada wa mahitaji muhimu kwa mama waliojifungua watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni, Kigoma. Mahitaji hayo yamekabidhiwa na...
  2. comte

    JamiiForums Tanzania Jamaa huyu anaomba msaada

    Jamaa alikwenda baa jana akanywa na kulewa. Ila aliweza kurudi nyumbani akiendesha gari lake na kweza kuliegesha kama inavyoonekana; sasa ameshindwa kulitoa anaomba msaada
  3. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Solve on paper, take a picture then coment

  4. nemnunu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusiana na hili

    Kisheria hii imekaaje. Mtu ana bodaboda ametoa kwa mkataba, ikatokea pikpik imeibiwa na aloibiwa sio huyo alokabidhiwa kwa mkataba ni mtu wa pili. Polisi wakafungua kesi ya jinai ambapo mtuhumiwa akawa huyo mtu wa pili ambaye hana mkataba na mmiliki. Sasa je ni vip huyu mmiliki anaweza pata...
  5. Mdeke_Pileme

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kutengeneza logo kama hiyo kwenye picha

  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba msaada wa kifedha kurejesha wakimbizi makwao

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ameuambia Mkutano wa 73 wa Kamati Tendaji ya UNHCR kuwa hali ya kisiasa imeimarika Burundi na hivyo Wakimbizi wa Nyarugusu na Ndutu wanapaswa kuondoka. Akiwasilisha ripoti kuhusu hali ya wakimbizi mbele ya Kamishna Mkuu wa UNHCR Filipo Grandi, Masauni...
  7. SAFAM classic

    JamiiForums Tanzania Msaada wa malazi Moshi

    Mimi ni mwanafunzi ambaye Nimechaguliwa chuo cha Mwenge Catholic university. Hata hivyo Mimi ni mgeni sina ndugu Hivyo kwa mwenyeji wa moshi ninaomba msaada WA ghetto au chumba Pia nahitaji kuijua gharama zake
  8. YphNet

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mchezo wa bao msaada

    Naomba mnisaidie kipengele cha kutakata katika bao la kete. Shida yangu ni kujua kipengele cha kutakata katika hatua ya kwanza ya mchezo wa bao. Je ikiwa unatakata ukatua kwenye jumba ni lazima kulala au unaruhusiwa kuzoa jumba na kuendelea kutakata ukipenda? Mi si mchezaji wa bao lakini kuna...
  9. Mama pretty

    JamiiForums Tanzania Kialama hiki kina maana gani?

    Wakuu, naomba mnisaidie kwa wenye ujuzi na hizi simu .. Hicho kialama hapo juu pembeni ya kialama cha alarm kina maanisha nini?
  10. Namche Bazar

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika ili ndugu yangu apate haki yake

    Habari zenu? Kuna ndugu yangu alikuwa analinda shamba la mtu kwa muda wa zaidi ya miaka 10(bila malipo) mwenye samba ameshafariki. Watoto wa mwenye shamba wanataka kumtoa kwa nguvu huyo ndugu yangu ambaye alikuwa anaishi hapo kwa miaka yote huku akiwa na familia yake hali kadhalika alipanda...
  11. SAFAM classic

    JamiiForums Tanzania Course ya procurement and supply chain management inajihusisha na nini?

    Wapendwa naombeni msaada hivi course ya procurement and supply chain management inajihusisha na nini sana sana? Na ajira zake zikoje upatikanaji wake. Au kwa upande kujiajiri
  12. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu submitted na confirmed NACTE

    Habarini wana jamvi, natumaini mu wazima. Msaada tafadhali. Ningependa kujua kwa nini status za wanafunzi kwenye website ya NACTE imetofautiana. Kuna walioandikiwa submitted na wengine confirmed. Ipi tofauti yao?
  13. Peril22

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuvumilia, naomba msaada wenu jinsi ya kuachana na mzazi mwenzangu

    Habarini za asubuhi waungwana. Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapa HESHIMA ya pekee wale wote mlioko kwenye ndoa. Turudi kwenye mada, Nimebahatika kupata mtoto na sasa ana miezi miwili, lakini vitimbi ninavyokutana navyo kwakweli nimeshindwa kuvumilia. Ombi langu kwenu ni hili, nahitaji...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu jamani

    Mimi ni kijana wa miaka 21 nipo Mkoani Mara, nimemaliza form four(4) mwaka 2018 na kufaulu Ila nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto ya ada nikawa nafanya tu vibarua ndogondogo hapa mtaani Ila kwa sasa kidogo nina kianzio cha kwenda kuanzia masomo, course ni DIPLOMA IN PHARMACY...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Msaada Daktari bingwa wa moyo kwa watoto

    Habari wakuu, Msaada tafadhali kwa anayefahamu daktari bingwa wa moyo kwa watoto (cardiologist). Naomba mawasiliano yake au jina na hospital anayopatikana. Natanguliza shukrani.
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wadau, msaada haraka hali hii inatesa sana muda huu

    Hapa sina amani kabisa wala furaha kuanzia mida ya saa 3 baada ya kula. Nahemea juu juu huku macho yamenitoka kama mtu aliyeshikwa ugoni, hata kumeza mate tu nashindwa hali inazidi kuwa ya hatari sana kwangu. Nimekula nyama choma, mishkaki, sausage na mtura. Hivyo vyote toka mchana leo nlikuwa...
  17. SaulGoodman

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu michirizi "Stretch marks"

    Guys I hope you good, let's skip formalities and jump right into the topic. Ninaomba msaada kwa anayefahamu dawa nzuri (ninapo sema dawa nzuri namaanisha dawa yenye matokeo hasi kidogo sana "having least side effects") ya kupunguza au kuondoa kabisa michirizi. Itakua vyema sana kama Ushauri...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Haiti: Serikali yaomba msaada wa kijeshi kukabili maandamano ya kupinga utawala

    Ombi hilo limesainiwa na Waziri Mkuu Ariel Henry kwenda Jumuiya za Kimataifa linaeleza kuwa nchi inakabiliwa na hatari ya mgogoro mkubwa wa kibinadamu na hivyo inahitaji msaada wa haraka kudhibiti uhalifu wa magenge yenye silaha. Tayari Ubalozi wa Marekani umesema Serikali yao haiwezi kwasasa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nakiona kifo changu! Msaada wenu unahitajika

    Wakuu habarini! Nimeshare shaver jana na mgongwa wa UKIMWI bila kujua bahati mbaya wakati natumia nilijikata. Leo ameenda kuoga na yeye akatumia hiyo shaver kumuuliza akasema hiyo niyake na huwa anatumia yeye ikabidi niangalie kwa makini nikagundua nikweli mimi ndio nilikosea nikatumia yake...
  20. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Picha: Raia wa kigeni azunguka na watoto Kariakoo kuomba msaada

    Kwa kweli leo imenishinda nilishazoea kusikia mchina anauza madafu sijui karanga mitaan inakuw tunawahis hawa labda ma spy. Ila leo huyu jamaa anazunguka Kariakoo miskitin anaomba.hiv kwanin anatesa hawa watoto, kwanin asirud ubalozin akaomba msaada labda alipata na majanga yakasabisha ashindwe...
Back
Top Bottom