msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Tusaidianeni kwa hili

    Hapa JamiiForums kupitia huu uzii kwanini upo single na huolewi au huoi tatizo nini. Umelogwa au mvivu wakutafuta mpenzi serious . Maana humu wadar ni wengi na wanasifa zote wadada wanazotaka shida nini? Maelfu ya wanajJF wa kiume ni single wamejenga wanajitahidi kupanda chart wengine...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Natoka usaha na mtambo unawasha sana, dawa yake nini?

    Nina wiki sasa natoka usaha kwenye vyumba vya kubadilishia nguo! Kuna pisi niliikuna sana wiki moja iliyopita sasa nahisi imeniachia unaa! Siyo kosa lake ni ubishi wangu, maana aliniomba sana nivae mpira nikagoma katakata! Nitumie dawa gani?
  3. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Naomba makadirio ya malipo ya fundi kwa chumba kimoja

    Wadau naombeni rafu estimates za kumlipa fundi ujenzi nyumba ya kawaida yenye, chumba masters sebule, jiko na stoo. Je, njia nzuri za kuepuka gharama ni kuhesabu tofali alizojenga au maelewamo tu.
  4. dongbei

    JamiiForums Tanzania Msaada wa windows 10 pro (kama upo arusha)

    Habari wakuu, Naomba msaada wa installation ya windows (10 preferably; ila nikipata nyingine siyo mbaya). Baada ya windows nahitaji drivers zote muhimu. Naweza kukufuata popote ulipo Arusha mjini, kama unaweza kuja Njiro pia siyo mbaya tutengeneze na urafiki kabisa. Kama utahitaji malipo kwa...
  5. dongbei

    JamiiForums Tanzania Msaada wa windows 10 pro (Kama upo ARUSHA)

    Habari wakuu, Naomba msaada wa installation ya windows (10 preferably; ila nikipata nyingine siyo mbaya). Baada ya windows nahitaji drivers zote muhimu. Naweza kukufuata popote ulipo Arusha mjini, kama unaweza kuja Njiro pia siyo mbaya tutengeneze na urafiki kabisa. Kama utahitaji malipo kwa...
  6. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kuziondoa hasira za mdogo wangu/dada yangu...

    INTRODUCTION Ni mdogo angu (family friend). Kwao ni wa mwisho kuzaliwa (last born). Ana miaka 26 na ana mtoto mmoja wa kike. Yeye na huyo baba mtoto waliachana ila mtoto anatunzwa fresh. SCENARIO Huyu binti Wana JF ana hasira sana. Na hapo mwanzo nilishawahi kumuhoji akasema ""Muda mwengine...
  7. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kuhusu hii kozi naomba msaada wa kimawazo

    Kuna mdogo wangu kachaguliwa. Agriculture economics and agribusiness pale SUA. Nimekuja hapa jukwaani kuuliza kwa wanao ijua vizuri na fursa zake katika Dunia ya sasa. Je, inaweza msaidia 2025 atakapo graduate. Natanguliza shukrani 🙏
  8. Saidama

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni kondomu gani nzuri kama 'Fiesta condom'?

    'Fiesta condom' kwangu ni kondomu bora sana kuwahi kuitumia kutokana na namna ilivyo, haipotezi ladha, yaani ni kama kavu. Sasa shida ni kuwa kwa sasa imekuwa imekua ngumu kidogo kupatikana, yaani nimeshaitafuta sana nimeikosa. Kondom zingine zinazopatikana kwa wingi nikitumia naona hakuna...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusiana na hili swala

    Mimi ni fundi. Niluenda kwa tajiri na kumfanyia hesabu ya gharama zinazohitajika akanipatia kiasi chote Cha fedha kwa ajili ya kazi yake ila sikuenda kufanya kazi kwa wakati na nikamuarifu yakuwa nitafika kufanya kazi siku flani. Kabla ya hiyo siku kufika alinifuata na kwenda nae kituoni ndipo...
  10. Chacha Steven Mokiri

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa PC

    Ndugu zanguni habari, najua JF inao mkusanyiko wa watu tofautitofauti hivo nimeona suala langu nililete hapa pengine nitapata msaada. Mimi ni mkazi wa Mwanza, ila nina passion kubwa na ishu za creativity hasa graphics design na film making. Ndoto yangu siku moja niwe mtengeneza filamu. Ingawa...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mkimwacha Nabi bila msaada na hawa wachezaji wetu hata mechi za ndani sisi Yanga hatutoboi

    Nabi ashukuru tu wanachama, viongozi wa club na wa serikalini wanamsaidia kupata ushindi. Pale hamna kocha. Acha tu niseme ukweli na wachezaji wenyewe akina Kisinda? Jana tumshukuru Aishi Manula alielewa somo. Ilikuwa mikia watufunge mbwa hawa. Basi tu wakati mwingine uzoefu fulani unatusaidia...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msitudanganye 'Boss' Tshisekedi kaja kuomba Msaada wa 'Kijeshi' kupambana na 'M23' na siyo Kibiashara

    Mwambieni akitaka Amani Kwake DR Congo apunguze Ukabila, aache Kuwaibia Pesa Wakongo awaondoe Wanajeshi wanaolinda Amani huko (hasa kutoka MONUSCO) ambao Wengi wao Wanatoka nchi ya Mwenyeji wake wa leo waondoke kwani Wanatesa mno Raia na hata Kuua (kama ilivyoripotiwa na BBC Mwezi Septemba...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Account yangu ya chuo inaonesha financial sponser ni Private badala ya HESLB. Nifanye nini?

    Nimeomba mkopo na nimefanikiwa kupata, ila nikiingia kwenye account yangu niliyosajiliwa chuo sehemu ya financial sponser inaonyesha ni private badala ya HESLB na sehemu ya HESLB loan amount inaonyesha 0.00. Inaweza kuwa tatizo nikatoe taarifa chuo au niache mkopo wangu utaingia kama kawaida.
  14. R1C50N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa udhamini kwaajili ya chuo

    Habari, Poleni na majukumu, mimi ni kijana ninae hitaji kusoma kwa level ya chuo na nimepata nafasi ya kuchaguliwa WATER INSTITUTE (Bachelor of water resources and irrigation engineering) ambapo ada kwa mwaka mzima ni 1670000 Ninashindwa kulipa Ada ya chuoni ili niweze kusajiliwa Ninaomba...
  15. SmartRaptor

    JamiiForums Tanzania Ajira portsl msaada

    Naombeni msaada nikitaka kufu My academic qualifications ajira portal nafutaje???
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa MATI atoa msaada wa fimbo nyeupe 500 kwa watu wasioona

    Na John Walter-Manyara Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brand Ltd David Mulokozi ametoa msaada wa Fimbo nyeupe 500 kwa watu wasioona ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kusaidia makundi yenye mahitaji maalum. Akikabidhi fimbo hizo kwa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa na mwenyeji wangu naomba msaada wa hifadhi Dodoma

    Habari za wakati huu Wana JF. Kwa majina naitwa David Mathias. Nilikuja Dodoma kutafuta maisha kutokea jijini Dar na nikafikia kwa rafiki yangu niliesoma nae chuo kimoja ambaye anaishi Nkuhungu. Rafiki yangu ameleta mwanamke ghafla na kuniambia kuwa anataka aishi nae kwahiyo mimi niondoke...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Simu yangu imepatwa na "ghost touch", msaada tafadhali

    Habari wakuu, Nina simu Samsung Galaxy Grand Prime+ imepatwa na hili tatizo linaloitwa ghost touch. Yaani screen inachezacheza yenyewe bila kubonyezwa na mtu. Nimejaribu njia kadhaa nilizoona mtandaoni kama restart, update software, clean screen lakini hazikufaa. Mwenye ujuzi naomba msaada...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Iran kwa Urusi kumponza, Ulaya waanza kujadili cha kufanya

    Uzalendo ulishinda Iran ikaamua kutoa msaada kwa Urusi ambayo inachezea kichapo, ila sasa huo msaada utaiponza Iran maana EU waanza kujadili watakachoifanyia Iran, ikiwemo vikwazo kwa makampuni ya Iran na mambo mengine. Iran wamejaribu kujitetea sana na kukana kutoa msaada wowote ila ndio basi...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Kama tujuavyo Iran ni mnyonge wa Israel, sasa Israel wanaweza kutoa msaada wa suluhu dhidi ya drones

    Israel walikua wamekaa pembeni hawataki kuingia kwenye huu ugomvi, ila baada ya kuona Iran anajikweza kwa drones zake alizotoa kama msaada kwa Urusi ili zitumike kuua watu wa Ukraine, ameanza kutoa matamko na tujuavyo yeye haitakua shida kwake kudungua hizo drones. ================== Israel...
Back
Top Bottom