Msaada: Naomba kujua chuo cha udereva wa pikipiki na kupata leseni

ndotoyangu

Senior Member
Nov 7, 2020
171
223
Habari wana JF, Naomba kujulishwa mambo yafuatayo kwa wanaofahamu.
1. Chuo kinachotoa mafunzo ya udereva wa pikipiki Dar es salaam (Specifically wilaya ya Temeke).

2. Jinsi ya Kupata Leseni ya Kuendesha Pikipiki na Gharama zake.

3. Jinsi ya Kubadili Plate number kutoka Nyeupe kuwa njano.

Natanguliza shukrani.
 
HIMARS

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
53,948
61,920
Pikipiki omba kwenye vijiwe kwa wakujuao
Lipa 10000
Jifunze
 
BJBM

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
641
468
Nenda kijiwe na bodaboda karibu yako, elewana nae yeyote awe anakufundisha. Ndani ya siku 2 tu utakuwa mbobevu hadi unakatisha na red light bila wasiwasi.
Akiwa anakufundisha wewe kazania pia na matumizi ya indiketa na side mirror maana wenzako wengi huwa hawatilii mkazo kuzitumia.
 
ndotoyangu

Senior Member
Nov 7, 2020
171
223
Nenda kijiwe na bodaboda karibu yako, elewana nae yeyote awe anakufundisha. Ndani ya siku 2 tu utakuwa mbobevu hadi unakatisha na red light bila wasiwasi.
Akiwa anakufundisha wewe kazania pia na matumizi ya indiketa na side mirror maana wenzako wengi huwa hawatilii mkazo kuzitumia.
Sasa kiongozi ukijifunza kijiweni ukienda kufuatilia leseni nasikia wanataka cheti cha mafunzo, hapo sasa ndio kasheshe inapoanza.
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom