Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
Habari wakuu.
Nina tatizo la Laptop kutokuwa na uwezo wa kuunganisha Mobile Hotspot pale inapokuwa imeunganishwa na Ethernet Cable. Pale ninapounganisha inakuwa na uwezo wa kupata internet lakini WiFi inazima, na inafanya kutokuwa na uwezo wa kuweza kushea internet.
Naomba msaada wa kuweza kuifanya iwe na uwezo wa kutumia Ethernet Cable na WiFi kwa wakati mmoja.
Aina ni HP na ina Window 10.