Msaada kuhusu tiba mbadala ya maumivu

Ninaomba mwenye kuijua tiba mbadala ya maumivu ya mwili mzima anisaidie Tafadhali!
Tusaidie kwanza nini kina sababisha mwili kuuma? Au ukifanya nini mwili unauma?

Analegisics: Diclofenac, ibuprofen, pethidine Ila hazitakiwi kutumiwa kwa muda mrefu utaua figo

Chanzo cha maumivu ni nini?
 
Jaribu kutumia kitunguu saum punje 6 au 7 unamenya unakatkata unameza na maj 1×2 kwa sku kadhaa angalizo usiwe na presha ya kushuka make vnashusha presha sa kama únayo usitumie kwa wingi
 
Tusaidie kwanza nini kina sababisha mwili kuuma? Au ukifanya nini mwili unauma?

Analegisics: Diclofenac, ibuprofen, pethidine Ila hazitakiwi kutumiwa kwa muda mrefu utaua figo

Chanzo cha maumivu ni nini?
Nina mafua!Mwili wote unamaumivu
 
Ninaomba mwenye kuijua tiba mbadala ya maumivu ya mwili mzima anisaidie Tafadhali!
Covid new strain imetapakaa kitaa na inaondoa watu kimya kimya...
Pole sana ndugu.
Chemsha maji moto yawekee asali na limau au ndimu kunywa kikombe kizima.
Chemsha maji yawekee chumvi sukutua na unywe kiasi.
C
Kunywa dawa za kupunguza maumivu na antibiotics Kama ampiclox au Amoclav n.k

Tumia lauzenges kulainisha Koo.
Kula màtunda kwa wingi na mbogamboga hasa machungwa,
Tafuna vitunguu maji
Tafuna tangawizi
Kula chakula Bora na upumzike.
Fuata ushauri wa daktari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ushauri nitaufanyia kazi
 
Pole sana Mkuu,

Mimi sio daktari wala sijui hilo tatizo lako linasababishwa na nini. Ushauri wangu hangaika na Madaktari.

Ila kuna ndugu yangu ana miaka kato ya 35 na 40, alikua anadai anasikia maumivu mwili mzima. Akatumia hii dawa ikamsaidia. Sasa naomba umuulize Daktari wako kama unaweza kutumia hii. Ikikufaa leta mrejesho. Ni ndani ya siku mmoja tu. Ukiona umemeza siku mbili bado unasikia maumivu itakuwa haikufai. Maumivu yanatakiwa yapungue.

Meza penye uhitaji mkubwa. Sababu mwili ukizoea hii dawa, panadol itashindwa kufanya kazi
IMG-20220922-WA0000.jpg
IMG-20220922-WA0001.jpg
IMG-20220922-WA0002.jpg
 
Pole sana Mkuu,

Mimi sio daktari wala sijui hilo tatizo lako linasababishwa na nini. Ushauri wangu hangaika na Madaktari.

Ila kuna ndugu yangu ana miaka kato ya 35 na 40, alikua anadai anasikia maumivu mwili mzima. Akatumia hii dawa ikamsaidia. Sasa naomba umuulize Daktari wako kama unaweza kutumia hii. Ikikufaa leta mrejesho. Ni ndani ya siku mmoja tu. Ukiona umemeza siku mbili bado unasikia maumivu itakuwa haikufai. Maumivu yanatakiwa yapungue.

Meza penye uhitaji mkubwa. Sababu mwili ukizoea hii dawa, panadol itashindwa kufanya kazi
View attachment 2364129View attachment 2364130View attachment 2364131
Asante kwa kunijali!Lengo lilikuwa kujizuia kutumia dawa hizi za "wazungu" maana daktari kwenye famasi moja aligoma kuniuzia dawa za maumivu akidai zina madhara sana ambayo jamii haijui.Mpaka akadai kuwa unapozitumia maumivu yakikata acha kabisa kuendelea kuzitumia!!!Nashukuru juzi na Jana mama mmoja alinitengenezea mchanganyo huu vitunguu saumu+Vitunguu maji+tangawozi+asali+maji ya malimao akaponda vyote halafu kachemsha akachuja ikawa Kama chai huwezi amini Mara Baada ya kutumia koo lilifunguka,mafua yakaanza kupungua.Nimetumia ndani ya siku mbili mafua yameisha na maumivu yote!JAMANI TUSIDHARAU VITU VI AVYOTUZUNGUKA!!!
 
We jamaa wewe!

Daktari kwenye famasi?
 
We jamaa wewe!

Daktari kwenye famasi?
Sijajua kwa hapo ulipo!Huku kwetu kuna famasi fulani ukifika Kama huna cheti cha daktari ukifika na kuanza kujieleza tu unaitiwa daktari anakusikiliza kisha anaweza hata akakuandikia dawa za kutumia!Yawezekana sikueleweka kwa sababu ya kutumia neno "daktari"
 
Back
Top Bottom