Supapawa anazidi kutia huruma, amesaidiwa na Syria, Iran, Korea Kaskazini, wafungwa kwenye gereza zake wakiwemo baadhi ya Waafrika, ameokoteza hadi wanywa gongo mtaani ila bado anapigwa tu.
WASHINGTON - ;North Korea has delivered arms to Russia's private military group Wagner, the White House...
Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi Don Pdidy kwa heshima na t aadhima nilipenda kutoka na shemeji yenu siku ya christmass.
Kwa bahati nzuri hana ghara ma shuhuli iko kwenye ngrooongroo anapenda iliostaraabika (haiibiwi). Na iliorostiwa standard.
Tafadhali kwa maeneo ya dar aaepajua...
Ndugu wanajamii naomba msaada wenu wa kisheria, kuna jamaa tumepelekana kwenye baraza la ardhi la kata baada ya kung'ang'ania kwenye kiwanja Cha familia hii ni baada ya yeye kuja kuomba kukaa pale Kwa muda, tulipo taka kwenda kujenga akakataa kuwa kile kiwanja ameisha pewa na serikali ya Kijiji...
Wasalaam,
Wakuu kwa wale wenye uzoefu wa masuala haya, mwanzoni wa mwaka jana tulifanikiwa kusajili NGO yetu wizarani, na kwa bahati mbaya kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatukufanikiwa kufanya shughuli yoyote ya taasisi kwa mwaka mzima ikiwa ni malengo yetu kwa mwaka ujao kuwa active...
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Naitaji msaada wa kitaalam Kwa wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Airtel
Kuna kijana wangu, ambae ni mtunza bustan na usafi wa nyumba, ameondoka na funguo za gari yangu Kwa bahati mbaya
Aliniomba bag dogo, nikampatia sasa nilisahau kutoa funguo na diary zangu...
Tafadhali wataalamu, nini inaweza kuwa sababu ya gari kuwa na mtikisiko mkubwa inapofikia speed 50 na kuendelea, mtikisiko huo unaambatana na mvumo fulani usiojulikana unatoka wapi, mafundi zaidi ya wanne kwa nyakati tofauti na garage tofauti ikiwepo Kinondoni na Ilala wamediagnos na kukosa...
Wakuu habari
Baada ya kuweka uzi kuulizia namna ya kuingia Lusaka Zambia nilipata mawazo mengi ya kujenga na pia uzi huu ulinikutanisha na huyu member anayejiita imhotep ambaye aliniongoza kwenye mchakato mzima wa kubadili pass yangu ya zamani na kufanikisha kupatikana kwa pass mpya.
Asante...
Habari wakuu,
Mimi ni mfugaji wa naombe nilipata changamoto wa ngombe wangu kufa kwa tatizo la kutokula na kutoa udenda pia anapepesuka akitembea. Baada ya kufa alipasuliwa tumbo na kukutwa na maji tumboni na nyongo yake ni kubwa sana na nyeusi sana pia.
Baada ya siku tatu tatizo likaanza kwa...
Beijing!
Bonjour wakuu, PC yangu inakula sana data kwa vitu visivyoeleweka.
Nimeweka connection kuwa metered
Nimestop background applications
Nimestop google updates (ilikuwa ishakula mb95)
Nimeweka data limit
Nimezuia system updates mpaka January huko
Lakini bado kila mkitumia nakuta Mb kibao...
Hawa Wagner ndio kete aliyokua amebaki nayo Mrusi, maana ameishiwa wanajeshi ambao wamefyekwa balaa.
Sasa makao makuu ya Wagner yamefanywa majivu....mbele kwa mbele twende wanetu Ukraine, likomboeni taifa lenu. Vita vilianzia Crimea na vitaishia Crimea, nimeona habari nyingine leo Crimea...
Pemphigus Vulgaris
Nina ndugu yangu ana tatizo la ngozi kutoka malengelenge,tumetumia dawa nyingi lakini mafanikio ni madogo.
Nomba kama kuna mtu alishakutana na mgonjwa wa hii hali na kutibiwa akapata nafuu/kupona anisaidie alitumia dawa gani?
Kuna mtu kaniambia kuwa injection hii "RITUXIMAB"...
Yaani lita moja kwenye rough road inatembea km 5 tu, je hii ni kawaida?
Pia ina tatizo la kuchelewa kubadili gia, natamani kuwapatia mafundi waicheck gear box ila wasiwasi wangu wasije wakaiua kabisa
Habarini ndugu zangu wa JF natumahi nyote ni wazima! Tafadhali naombeni ushauri juu ya hiki kisa changu.
Mimi ni mtumishi mpya wa serekali ,nafanya kazi taasisi A ambayo haiko kwenye mfumo wa cheki namba wala huduma za lawson. Nina miezi minne kazini! Kabla sijasaini offer nilikuwa na pending...
Habari za Leo
Mimi ni mjasiriamali kutokana na changamoto hii ya mgao wa umeme naomba kupata msaada wa kujua sehem ambayo naweza pata generator kwa Bajeti ya 200k
kwa ajili ya barber shop nipo DSM
Naomba kuwasilisha maana TANESCO imeamua kutupatia Umasikini na Serikali haipendi kuona raia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.