Ndugu zangu naomba kuuliza:
1.Kesi ya maslahi ya wanahisa wa kampuni inaanzia kusikilizwa mahakama ipi?
2.inaweza endeshwa na wanahisa wenyewe bila wakili?
ASANTENI SANA.
Wakuu heshima kwenu.
Natumai mpo salama kabisa, kama mada inavyojieleza hapo juu naomba msaada niweze ku-download hiyo movie ya kibongo inaitwa TAG OF WAR mwenye direct link naomba anisaidie tafadhali.
Natanguliza shukran.
Natafuta kampuni hapa Dar inayojishughulisha na uchapaji wa vitabu vyenye ubora kama utaweza kunisaidia pia mawasiliano yao itakuwa njema zaidi !
Asanten
Nimemtibu ngombe wangu ambaye amekuwa akiumwa MASTITIS kwa Penstrep for 10 days (injection 15 mls +intrammamary infusion 10 mls for 5 days hakupona, nikaprolong for another 5 day of the same course amepata improvement kidogo. Nitumie dawa gani zaidi ya hapo.
Wakuu nimejichanga Sasa natafuta SUV au Double Cabin Ila Kwa bajeti yangu (27m TZS) naona nimeangukia kwenye Suzuki Grand Vitara. Mwenye utaalamu zaidi anijuze.
Nimesoma combination ya PCB nimemaliza form six mwaka huu na nmefaulu kwa division I-8 lakini sijafanikiwa kwenda Chuo kwasababu za kiuchumi naomba msaada Je ni course Gan za afya tofauti na MD ambazo naeza nikasoma kwa mwakani zenye ajira lakini pia ambao ni rahisi kujiajili??
Naombeni msaada...
Habari zenu wakuu natumaini mu wazima. Moja kwamoja kwenye mada...
Wakuu mimi ni kijana jinsia "me" nasumbuliwa na tatizo la FANGUS kwa muda mrefu. Nimetumia dawa mbalimbali za kunywa "fluconazol" yawezekana nimekosea kuandika Ila jina lake linaendana na hilo, pia nimetumia dawa za kupaka...
Wakuu poleni na majukumu!
Moja kwa moja naomba msaada kuunganishwa na mafundi wanaodeal na Simu na Computer jijini Mwanza, ili niweze kujishikiza maana life limenikaba au kama kuna mtu anaweza kutudhamini mimi na jamaa yangu Tufungue ofisi ya kurepair simu na Computer hapa Mwanza.....vitu...
Habari zenu wakuu, poleni na majukumu. Ninategemea hivi karibuni kuitwa kwenye interview na PSPRS kada ya ICT OFFICER(QUALITY ASSURANCE). kama kuna mtu amewahi kufanya interview ya kada hiyo naomba aniambie nisome mambo gani hasa ili nijiandae vizuri. Natanguliza shukrani zangu kwenu🙏🏽
Mimi nimemaliza kidato cha Sita mwaka huu na nimechaguliwa chuo cha st. Francis course ya MD Lakini sikubahatika kupata mkopo wa Ada maana nimepewa boom peke yake na kutokana na Ada ya chuo hiki kuwa juu hivyo bado sijaripoti chuoni na sijasajiljwa
Je, nifanye nini ili kufuta admission na...
Habari
Nimetumiwa email hiiyo hapo chini na TaESA sasa sijajua wana maana gani kwamba nitaitwa kwaajiri ya training very soon au ni email ya kawaida ambapo kila anaekamilisha usajiri anatumiwa ?
Naomba wenye uzoefu au ambao walishapata sehemu za kujishikiza kupitia TaESA wanifumbue macho
Kama kichwa kinavyojieleza wakuu uyu jamaa uwa namkubal sana sasa nahtaj kujua ni vipi ntapata channel ambayo anatangaza yeye.
Namkubali sana peter druly hasa ile misemo yake. Nmejaribu kumfatilia supersport ila naona kombe la dunia hili hasikiki uko dstv
Duniani kuna magonjwa mengi mengine ni psychological made. Anyway, mimi nmepokea mgeni ambaye amekuja likizo maalum. Jamaa yangu wa kitambo sana.
Ilikuja tu tokea akawa amemaliza chuo kaajiriwa sehemu akafundishwa kunywa pombe...akaja kuwa komba. Wamehangaika naye sana. Mpaka mke amechoka...
Poleni na majukumu wakuu, naombeni mawazo yenu binafsi nimefanikiwa kujenga nyumba ya room 3 zote master, sitting room kubwa, dinning, jiko, stoo na public toilet na kwa sasa nimeshaipaua nategemea kuingia kwenye hatua ya finishing. Baada ya kufika hatua hii likaja wazo kuwa huko mbeleni nije...
Roho za huruma huangusha wengi, japo kwa imani tunaamini tenda wema malipo yaja. Nimewahi msaidia mtu, nikabaki kupigwa majungu na niliye msaidia.
Hiko hivi ni jamaa tunayejuana naye, siku alipohitajika na wakubwa kazini sikuwa karibu yake kwa kuonyesha kujali ikabidi niwaulize watu kadhaa kea...
Wadau wa jukwa hili naombeni kujua ni vifaa gani muhimu vinahitajika kuanzisha sever kwa ajili ya hosting ? Ukitoa kuwa na Generator la automatic ambalo ni muhimu kuwepo na Internet ya nguvu either na solar power kwa kujilinda ikitokea tatizo lolote kwenye vyanzo vya umeme.
Je ni vitu gani...
Jamani nimerudi tena itabidi munizoee tu . Eti ukikata rufaa bodi ya mikopo kama umepata kidogo . Ule wa mwanzo wanaweza kuuchukua na unaweza kukosa kabisa. Au wanakuachia?.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.