msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpigamimba

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mtoto amefaulu Sekondari ya AHMES, lakini shule aliyomaliza darasa la saba imefutiwa matokeo

    Wakuu Msaada. Kijana wangu amemaliza shule ya msingi iliyofutiwa matokeo. Kwenye interview zote nne nilizompeleka amefaulu. Matokeo ya la Saba yaliyotolewa muda si mrefu shule yake imekubwa na tatizo Hilo. Je, akiendelea na sekondari kwa matokeo yapi ya la Saba yatatumika? Kwa maana kwamba ana...
  2. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Kama kuna daktari humu, msaada tafadhali

    Si unajua tena gharama za kumuona dokta yaani consultation fee ilivyo kubwa? Kama kuna yeyote humu anisaidie ushari, mara kadhaa nimeenda hospitali sababu ya vidonda ndani ya mdomo pembeni, wakati mwingine mbele ya mdomo kwa ndani chini ya ulimi, wananicheki na kunipa dawa ya kupaka cream...
  3. Double line

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kitambulisho cha NIDA online

    Msaada Tutani, Naombeni kwa anayejua hii Ishu anitonye na Mimi Nipate Kitambulisho Changu cha NIDA Online Nikatoe Copy Jamani nimeteseka sana.😰🙏
  4. B

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Vivo Y67 haishiki mtandao vizuri baadhi ya maeneo

    Vivo Y67 haishiki mtandao vizuri baadhi ya sehemu inashika sehemu zingine haishiki haswa haloteli ndo haishiki kabisa Naombeni msaada nifanyaje.
  5. Mpigamimba

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anajua anakunyima kitumbua, na anataka umpe pesa. Msaada tutani

    Ni mwanamke wa kihaya. Anaonekana kunipenda Kwa status yangu, ila Hana dalili ya kutoa mzigo Kwa kuwa Hana anaonekana Hana really love kwangu. Huyu nimfanye nini wakuu. Japo bado Nampa kampan na kuhakikisha hanimalizi Kabisa. Maana anataka vitu vikubwa vikubwa gari nk
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria, mtalaka wangu hataki nione watoto

    Habari wana Jf Naomba kusaidiwa kisheria. Niliachana na mke wangu miaka miwili iliyopita, baada ya talaka aliamua kwenda mahamakani kudai mgawanyo wa mali za pamoja, na matunzo ya watoto. Mahakama ikatoa hukumu ambayo binafsi sikuridhika nayo hivyo nikaamua kukata rufaa katika mahakama ya...
  7. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Kesi ya maslahi ya wanahisa wa kampuni inaanzia kusikilizwa mahakama ipi?

    Ndugu zangu naomba kuuliza: 1.Kesi ya maslahi ya wanahisa wa kampuni inaanzia kusikilizwa mahakama ipi? 2.inaweza endeshwa na wanahisa wenyewe bila wakili? ASANTENI SANA.
  8. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba 'link' ya filamu ya Vuta N'Kuvute | Tag of War

    Wakuu heshima kwenu. Natumai mpo salama kabisa, kama mada inavyojieleza hapo juu naomba msaada niweze ku-download hiyo movie ya kibongo inaitwa TAG OF WAR mwenye direct link naomba anisaidie tafadhali. Natanguliza shukran.
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa anayeifahamu kampuni nzuri ya kuchapa vitabu kwa ubora wa hali ya juu!

    Natafuta kampuni hapa Dar inayojishughulisha na uchapaji wa vitabu vyenye ubora kama utaweza kunisaidia pia mawasiliano yao itakuwa njema zaidi ! Asanten
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mifugo, Msaada tafadhali

    Nimemtibu ngombe wangu ambaye amekuwa akiumwa MASTITIS kwa Penstrep for 10 days (injection 15 mls +intrammamary infusion 10 mls for 5 days hakupona, nikaprolong for another 5 day of the same course amepata improvement kidogo. Nitumie dawa gani zaidi ya hapo.
  11. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Msaada: Suzuki Grand Vitara (spea, mafuta?)

    Wakuu nimejichanga Sasa natafuta SUV au Double Cabin Ila Kwa bajeti yangu (27m TZS) naona nimeangukia kwenye Suzuki Grand Vitara. Mwenye utaalamu zaidi anijuze.
  12. alex001

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu course za kusoma chuo kikuu

    Nimesoma combination ya PCB nimemaliza form six mwaka huu na nmefaulu kwa division I-8 lakini sijafanikiwa kwenda Chuo kwasababu za kiuchumi naomba msaada Je ni course Gan za afya tofauti na MD ambazo naeza nikasoma kwa mwakani zenye ajira lakini pia ambao ni rahisi kujiajili?? Naombeni msaada...
  13. Atalanta

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dawa ya fangasi

    Habari zenu wakuu natumaini mu wazima. Moja kwamoja kwenye mada... Wakuu mimi ni kijana jinsia "me" nasumbuliwa na tatizo la FANGUS kwa muda mrefu. Nimetumia dawa mbalimbali za kunywa "fluconazol" yawezekana nimekosea kuandika Ila jina lake linaendana na hilo, pia nimetumia dawa za kupaka...
  14. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhali usipite bila kusoma hii

    Wakuu poleni na majukumu! Moja kwa moja naomba msaada kuunganishwa na mafundi wanaodeal na Simu na Computer jijini Mwanza, ili niweze kujishikiza maana life limenikaba au kama kuna mtu anaweza kutudhamini mimi na jamaa yangu Tufungue ofisi ya kurepair simu na Computer hapa Mwanza.....vitu...
  15. Muddy123

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mtu kunidhamini nipate kazi GardaWorld Security

    H
  16. ThisIsIt

    JamiiForums Tanzania MSAADA: TOPIC GANI NISOME?!

    Habari zenu wakuu, poleni na majukumu. Ninategemea hivi karibuni kuitwa kwenye interview na PSPRS kada ya ICT OFFICER(QUALITY ASSURANCE). kama kuna mtu amewahi kufanya interview ya kada hiyo naomba aniambie nisome mambo gani hasa ili nijiandae vizuri. Natanguliza shukrani zangu kwenu🙏🏽
  17. MONEY 255

    JamiiForums Tanzania Msaada: Trader mwenye simplified price action

    Kwa trader yoyote mwenye simplified price action msaada tafadhalini nahitaji kuiongeza kwenye confluence yangu.
  18. alex001

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu kuhusu Mkopo wa Elimu ya Juu

    Mimi nimemaliza kidato cha Sita mwaka huu na nimechaguliwa chuo cha st. Francis course ya MD Lakini sikubahatika kupata mkopo wa Ada maana nimepewa boom peke yake na kutokana na Ada ya chuo hiki kuwa juu hivyo bado sijaripoti chuoni na sijasajiljwa Je, nifanye nini ili kufuta admission na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu TaESA

    Habari Nimetumiwa email hiiyo hapo chini na TaESA sasa sijajua wana maana gani kwamba nitaitwa kwaajiri ya training very soon au ni email ya kawaida ambapo kila anaekamilisha usajiri anatumiwa ? Naomba wenye uzoefu au ambao walishapata sehemu za kujishikiza kupitia TaESA wanifumbue macho
  20. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kujua ni wapi ntapata matangazo ya mpira wa kombe la dunia akitangaza Peter Dlury

    Kama kichwa kinavyojieleza wakuu uyu jamaa uwa namkubal sana sasa nahtaj kujua ni vipi ntapata channel ambayo anatangaza yeye. Namkubali sana peter druly hasa ile misemo yake. Nmejaribu kumfatilia supersport ila naona kombe la dunia hili hasikiki uko dstv
Back
Top Bottom