Pemphigus Vulgaris
Nina ndugu yangu ana tatizo la ngozi kutoka malengelenge,tumetumia dawa nyingi lakini mafanikio ni madogo.
Nomba kama kuna mtu alishakutana na mgonjwa wa hii hali na kutibiwa akapata nafuu/kupona anisaidie alitumia dawa gani?
Kuna mtu kaniambia kuwa injection hii "RITUXIMAB"...
Yaani lita moja kwenye rough road inatembea km 5 tu, je hii ni kawaida?
Pia ina tatizo la kuchelewa kubadili gia, natamani kuwapatia mafundi waicheck gear box ila wasiwasi wangu wasije wakaiua kabisa
Habarini ndugu zangu wa JF natumahi nyote ni wazima! Tafadhali naombeni ushauri juu ya hiki kisa changu.
Mimi ni mtumishi mpya wa serekali ,nafanya kazi taasisi A ambayo haiko kwenye mfumo wa cheki namba wala huduma za lawson. Nina miezi minne kazini! Kabla sijasaini offer nilikuwa na pending...
Habari za Leo
Mimi ni mjasiriamali kutokana na changamoto hii ya mgao wa umeme naomba kupata msaada wa kujua sehem ambayo naweza pata generator kwa Bajeti ya 200k
kwa ajili ya barber shop nipo DSM
Naomba kuwasilisha maana TANESCO imeamua kutupatia Umasikini na Serikali haipendi kuona raia...
Kama heading inavyoeleza, tv yangu aina ya SAMSUNG ina hilo tatizo na sijui kuna mtu hapa nyumbanialichezea kwakweli sielewi.
Hivi sasa Nlnaangalia mpira ils kwa shida kwani channel zinajibadili zenyewe na nimejaribu kurekebisha tatizo hili limenishinda na ni muda sasa(sio leo tu).
Hivyo...
Habari za leo wanajukwaa, poleni na majukumu...
Maisha siku za karibuni yameniwia magumu, tafadhali mwenye mbinu za kukabili hali hii anisaidie..
Biashara ndogo ninayofanya ambayo siku za nyuma ilikuwa ikinitunza sasa imeyumba.. Kuna muda naishiwa nguvu nakata tamaa..
Naona Msongo wa Mawazo...
Umri: 38 years
Elimu: Kidato cha sita na computer course.
Uzoefu: Ualimu wa computer na kazi ya Patron shule ya sekondari.
Uwezo: kufundisha computer, kiingereza na kazi za malezi kwa vijana na wanafunzi.
Makazi: Dar es Salaam
OMBI: NATAFUTA KAZI YOYOTE HALALI, MASHULENI NA MAOFISINI PIA...
Samahani wakuu nilikuwa naomba kuuliza.. Hivi ule utaratibu wa kuandika barua kwenda TCU kwaajili ya kuondolewa kwenye system Yao pamoja na kuandika barua kupeleka bodi ya mikopo kusitisha mkopo ili uweze kuapply upya chuo pamoja na mkopo ikiwa kama ulipangiwa mwaka uliopita na hukuweza kuripoti...
Hii kitu huwa ninayo mimi tu au na kwa wengine.
Yaani nikitoa msaada wa ali na mali kwa mwanaume mwenzangu nafsi huwa yangu huwa inaridhika na kufurahi sana tofauti na kama nikimpa msaada mwanamke au mtoto wa kike.
Yaani huwa najihisi kutapeliwa na moyo wangu hauridhiki wala kufurahi hata...
Habari zenu wapendwa ,,
Naomba msaada wenu kwa walioko kilombero morogoro kuhusu biashara ya kununua mpunga na kukoboa Kisha kuuza na sio kuweka stock.
Ni mtaji Gani unafaa kuanzia ili kupata mzunguko mzuri kidogo.
Changamoto na ushindani pia ukoje kwenye biashara hii.
Pia ningependa kujua...
Wakuu,
Mwenye kweza msaidia mzee wangu huyu akapate mkate wake wa kila siku ,amepata pa kujishikiza ila anahitaji wadhamnini wawili mmoja mfanya kazi serikalini na mwingine kawaida
Huyu wa kawaida yupo kipengele icho cha wa serikalini, mwenye kuweza kumsaidia anaweza ni Pm
Morning
Tumeanza mahusiano hii week sasa lakini kashaomba hela mara tatu then leo ananiambia hvi, nimekosa cha kumjibu kabisa
Ungekuwa wewe ungemjibuje.
Habari yenu Wakuu. Naomba msaada wenu wa maelekezo vitu gani vinahitajika kupata visa ya kwenda aidha Cyprus,Turkey au Holland.
Kati ya hizo nchi 3 ipi ni rahisi kidogo suala la kupewa visa kwa Mtanzania?
Nikitumiwa Barua ya Mualiko na Mwenyeji wangu akisema yeye atakua Responsible kwangu...
Habari za muda huu wana JF natumai mnaendelea vizuri kama kuna mgonjwa ugua pole, moja kwa moja niende kwenye mada yangu naombeni msaada wenu akaunti yangu ya Facebook imefungiwa bila sababu siku chache zilizopita japokuwa email address na password nimetumia kurejesha but sina access yoyote...
Habari zenu wana jamii
Naomba msaada tafadhali, simu yangu kila meseji ninayoituma hata ikiwa nataka kufowadi namba au meseji ndefu na fupi ina convert to MMS, nimehangaika nimeshindwa nimekuja hapa tusaidiane hili suala
Natumia Samsung A02
Habari wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana wa miaka 25, naishi Mafinga-Iringa (na ndiyo nyumbani) nilipozaliwa.
Sasa baada ya kuhitimu chuo miaka miwili iliyopita na katika kuendelea kufikiria namna ya kupata mtaji wa kufungua biashara yoyote yenye kunifanya...
Mimi si mwenyeji wa iPhone lakini imenitokea kuna baadhi ya emoji sizioni, kuuliza nimeambiwa nifanye update.
Nachotaka kujua,
Process ya updating inatumia GB ngapi?
Naweza tumia simu nyingine kuwasha hotspot au lazima iwe WiFi kama hizi za public?
Kwa mfano nikienda restaurant, zoezi zima la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.