msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada: Kupata hati miliki ya wazo

    Wakuu habari za mda huu. samahani sana naomba kuulizia hivi nitaweza kupata wapi sehemu ya kusajili wazo langu yani idea yangu ya ubunifu. nataka nisajili idea ( Hati mmiliki ya wazo). Nina kifaa cha umeme ambacho nimekitengeneza mimi mwenyewe. ila na hofia naweza nikakipost au kukipeleka...
  2. Sudan yanyimwa msaada wa Benki ya Dunia kwa kukosa uwazi kwenye matumizi ya fedha

    Bernard Aritua Afisa na Muwakilishi wa Taasisi hiyo amesema hawawezi kutoa Ufadhili wa kujenga miundombinu hasa Barabara, kutokana na ukosefu wa Sera za Kifedha na Kanuni za Sekta ya Uchukuzi. Benki ya Dunia imesema Sudan inapaswa kufanyia marekebisho Sera zenye changamoto kwa misaada ambazo ni...
  3. Msaada: Mchanganuo wa gharama za kujenga poles/nguzo na slab ya juu chumba cha 2.5m*2.8m size

    Poleni na mapambano wakuu. Twende kwenye mada, nahitaji kujenga chumba kimoja chenye size tajwa hapo juu. Halafu baadae nitajenga chumba/rest room juu yake. Kinaunganishwa toka kwenye nyumba kubwa. Kwa maana ukuta mmoja itakuwa wa nyumba kubwa ambayo tayari ipo. Naomba kufahamu uchanganuzi wa...
  4. MSAADA: Tatizo na madoa meusi mikononi na miguuni

    Naomba msaada wa kuondoa madoa haya kwa mdogo wangu wa kike umri miaka 15. mwanzo alikua anasumbuliwa na upele uliokua unajitokeza kwa awamu na alipoenda hospital aliambiwa ni Allergy. Hili tatizo la kupata vipele vinavyowasha lilikua lina kuja na kupotea baada ya muda.... Baadae kidogo...
  5. Alichoniambia mdogo wangu nawaza mpaka sasa nimekosa la kujibu, naombeni msaada wenu

    Mdogo wangu alinifuata wiki moja iliyopita akitaka nimsaidie jambo moja. Huyu mdogo wangu ameoa, ana mke kwa muda wa miaka 4. Anatafuta mtoto naye hawajapata ata kidogo, sasa amekuja kwangu wiki iliyopita anasema anaomba nitembee na mke wake apate mtoto. Sikuamini macho yagu kabisa, nikaona...
  6. Msaada wa ndoto hii

    Nimekuwa mara kwa mara naota kuku, aidha nakula nyama ya kuku au namkimbiza kuku ...kwa leo nimeota tulikuwa watu kama watatu hivi, tulikuwa tunamkimbikuza kuku na baadae mimi ndie niliefikiwa kumkamata huyo kuku...hii ina maana gani
  7. A

    Mwenye connection na kazi za viwandani msaada nina cheti tu cha form four nisaidie ndugu zangu

    Nlivyomaliza form four na nikachaguliwa kwenda kusoma electrical engineering pale DIT nilisoma mwaka mmoja tu na kumaliza nilivyoingia mwaka wa pili Ada ikawa changamoto kutokana na matatizo ya kifamilia kwaiyo nikashindwa kuendelea Sasa nipo home mwenye connection ANISAIDIE jamani....Amina
  8. Kila nikikutana nae kimapenzi tu basi siku inayofuata anaingia kwenye siku zake

    Habari wana jf, poleni na majukumu. Nimefikwa na jambo linalo nitatiza ikabidi niwakimbilie kupata msaada. Hivi karibuni nimepata mwanamke ambaye ameonesha upendo mkubwa na kunijali sana ila kuna kitu hakiko sawa naninahitaji ushauri au tiba hasa. Tatizo: Kila nikikutana nae kimapenzi tu basi...
  9. Msaada watafsiri ya neno madoido

    Ninataka kuelezea uimbaji wa mwanamuziki fulani kuwa anaimba kwa madoido. Si lengi anavyo jibeba kimwili au mbwembwe zake akiwa jukwaani bali anavyoimba kisauti. Wakuu ni neno gani la kingereza linafaa hapa. Natanguliza shukurani zangu.
  10. Wataalamu na masuala ya teknolojia naombeni msaada wenu

    Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 nina tatizo la usikivu hafifu ambalo lilinianza nikiwa na miaka 14 au 15 hivi. Nashindwa kumsikia vizuri mtu akiwa mbali, anaeongea kwa sauti ya chini sana, mtu anaeongea haraka, mtu mwenye kigugumizi, mtu akiniongelesha tukiwa kwenye makelele na pia...
  11. Je, kuna uwezekano wa kubadili kozi katika chuo kikuu Cha UDOM?

    Habari wana JF? Nauliza je kunauwezekano wa kubadili kozi katika chuo kikuu Cha UDOM ikiwa nahitaji kuchukua kozi ya nursing na pass zangu Ni DCD?
  12. Msaada tutani wakuu. Zile sanamu za kufukuzia ndege mashambani zinaitwaje?

    Kwa kiingereza wanaita Scarecrow. Kiswahili zinaitwaje.
  13. Msaada kuhusu kuvunjika mguu

    Habari zenu wana jukwaa Nilipata tatizo la mguu baada ya kudondoka na nilipoenda hospital nikapigwa X-ray kisha doctor akanambia kwamba nimevunjika mfupa mdogo ambao haubebi uzito kisha palepale nikatakiwa nivae Plaster of Paris (POP) na nikaambiwa kwamba natakiwa nikae nayo kwa muda wa wiki 4...
  14. S

    Naomba msaada kwa wenye kujua kozi gan nzuri kati ya Tourism managent an markerting, BAGES au IT application and management

    Tafadhali msaada kwa wenye kujua...halafu ni ipi kwa hapo ipo marketing
  15. Mliokutana na mauzauza katika ujenzi wa nyumba, naomba msaada wa hatua mlizochukua

    Wadau niombe msaada kihusu mada tajwa hapo juu. Nimekuwa napambana na ujenzi wa kibanda changu cha ndoto yangu kwa kipindi cha miaka mitano hivi. Ilivyofika mwaka jana wakati wanapiga plasta nilikuta kitu kisichocha kawaida katika mchanga, nilimkuta sungura aliyechinjwa akiwa amefukiwa kwenye...
  16. Haya ni mawe gani?

    Wataalamu wa hizi kazi naomba msaada?
  17. J

    Utawala wa Biden waliomba bunge kupitisha ombi la msaada wa trilion 28 kwa ajili ya Ukraine.

    Washington. Serikali ya marekani imeliomba bunge kupitisha ombi jipya la bajeti ya matumizi kwa ajili ya Ukraine linalokadiriwa kufikia trilion 28. Ombi hili jipya la utawala wa Biden linalenga kuisaidia Ukraine kijeshi na kiuchumi katika kukabiliana na uvamizi wa Urusi. Senators from both...
  18. Msaada wazee wa mikeka: kulink VISA card na online betting companies

    Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex. Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC. Kwa wale wanaofanya online betting kupitia...
  19. Msaada: Napata shida kulink VISA card na online betting companies

    Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex. Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC. Kwa wale wanaofanya online betting kupitia...
  20. Wana JamiiForums, naomba mnisaidie kutimiza ndoto zangu kuwa Clearing and Forwarding Agent

    .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…