Msaada jinsi ya kufanya flash disk formated fat32 ibebe vitu zaidi ya gb 32

fierce animal

Member
Aug 30, 2021
10
5
Wakuu habari zenu,

Kama mjuavyo flash drive ya kwanzia gb 64 + 1 TB uki format kwa fat32 hua inapoteza uwezo wake wa kubeba vitu vingi na badala yake itahifadhi vitu mwisho gb 32 tu.

Naomba msaada jinsi ya kuvunja hiyo limitation na kufanya ibebe vitu vingi zaidi ya gb 32 bila kubadilisha format, yaani namaanisha bila kui-format kwa Exfat au NTFS.
 
Back
Top Bottom