Msaada: Ripoti ya mwaka ya Asasi zisizo za kiserikali (NGO’s)

Mla Bata

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
6,764
13,815
Wasalaam,

Wakuu kwa wale wenye uzoefu wa masuala haya, mwanzoni wa mwaka jana tulifanikiwa kusajili NGO yetu wizarani, na kwa bahati mbaya kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatukufanikiwa kufanya shughuli yoyote ya taasisi kwa mwaka mzima ikiwa ni malengo yetu kwa mwaka ujao kuwa active.

Tayari tumepokea ujumbe wa kuwasilisha report ya mwaka mzima ya shughuli za taasisi, ada ya mwaka pamoja report ya ukaguzi, je ni kwa namna naweza kuskip hii au kuwaeleza wahusika juu ya kutokufanya kazi kwa taasisi kwa mwaka unaoisha?

Natanguliza shukrani.

Wasalaam,

Mla Bata.
Screenshot_20221221-112647~2.png
 
  • Thanks
Reactions: dtj

View attachment 2453558
Kwani mwaka si unaishia June? Kiserikali na pia ki asasi. Hivyo piga hesabu ulisajili mwezi gani kwa zaidi Njoo pm tuelekezane.
 
Back
Top Bottom