msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada wa kazi au shughuli yoyote, nipo Dodoma

    Habari, Kama kichwa kinavyo sema hapo juu, mimi ni kijana nina miaka 26 elimu ya stashada ya maendeleo ya jamii kwetu ni mtwara kwasasa nipo Dodoma, Ujuzi nilio nao tofauti na elimu yangu: . Ujuzi wa computer hasa exel,word na publisher . Saluni ya kiume(kunyoa) . Kuandaa miradi, nipo hapa...
  2. Msaada wa kimombo tutani

    Naomba msaada wa tafsiri ya haya maneno katika lugha adhimu ya kiswahili. "If you have financial obligations, how will you manage it."
  3. Msaada wa haraka: Nimevimba korodani

    Amani iwe nanyi, Naomba msaada ndugu zangu, ni miezi miwili sasa korodani yangu moja upande wa kulia ina kauvimbe kadogo kagumu kasiko na maumivu. Hii hali inanifikirisha sana Doctors naombeni msaada wenu.
  4. Msaada wa namba ya simu: Waziri/Naibu wa elimu ama katibu wa wizara ya elimu

    Msaada wa namba ya simu: Waziri/Naibu wa elimu ama katibu wa wizara ya elimu Naomba kuwasilisha
  5. Malawi yaelemewa na kuomba msaada kukabiliana na Kipindupindu

    Uamuzi wa Serikali unafuatia kuendelea kusambaa kwa Ugonjwa huo hatari kwenye Wilaya 29 za Nchi hiyo na kuambukiza Watu 20,000 pamoja na kusababisha vifo takribani 700 Taarifa ya Serikali imeziomba Jamii, Kampuni na Mashiriki Binafsi kusaidia Vifaa Tiba, Uboreshaji Miundombinu ya Maji kwenye...
  6. Msaada wa Mawazo: Hapa panafaa kujenga?

    Habari! Kuna eneo nmeoneshwa na rafiki angu bei nzuri kdogo. Sina uzoefu na ujenzi (sijawah kujenga). Baada ya kupaona kama sijaridhika napo japo bei ni nzuri . Nahofia kuna uwezekano pakawa panajaa maji. Wamenihakikishia kua hakuna kitu hicho ila najua tu ni lugha ya biashara. Picha hizo ila...
  7. Msaada wa kibenki tafadhali

    Niende moja kwa moja bila kuweka mbwembwe, Nina kadi ya CRDB Tembo Card Master, nimejaribu kuitumia kufanya manunuzi AliExpress imegoma naambiwa We don’t support this kind of card. Please try another. Kifupi wanamanisha aina hii ya card haitumiki AliExpress, swali langu ni je, naweza...
  8. Msaada mwenye uelewa kuhusu kufungua akaunti benki

    Kuna rafki yangu anataka kufungua a/c kwenye bank yeyote NMB au CRDB ila Sasa hanakitambulisho chochote yaan Cha mpiga kura, Wala NiDA ,Sasa mtu huyo anaweza kufungua a/c?
  9. Msaada kutoka kwa mwenye uelewa wa kozi hizi

    Habari wakuu nilikua naomba kujua kozi ya B. Com in Human Resources Management vs B.com in Marketing znahusiana na nini na ipi iliyo marketable kidogo? Naomba kuwasilisha.
  10. Msaada: Ndoa yangu imepata miba

    Jamani kama wewe unahisi una shidaa sikiliza redio za dini wapendwa utamkumbuka Mungu kila siku. kuna mdada ameomba ndoa yake ina shida saana sana akaulizwa why akasema mume ni dreva. Akapata bibi akawa akija anaacha chakula anaga siku inayofata. Akashangaa sana hio hali mfululizoo, baddae...
  11. Msaada wa internet setting simu ni sumsung galaxy S10

    Wakuu naombeni wataalamu mnisaidie internet setting simu yangu ni Sumsung Galaxy S10 laini ni ya tigo yaani haipandishi data network ,Asanteni
  12. Naomba msaada kupata gwanda (sare) ya CHADEMA

    Baada ya zuio kuondolewa naomba mtu mmoja anisaidie kupata gwanda la chadema suruali +shati+ kofia, Ama hata kimojawapo Karibu PM tuyajenge Kwa aliye tayari
  13. S

    Msaada wa namba za mauzo watu wa Heineken Arusha

    Wakuu kama mtanisaidia ntashukuru sana.
  14. P

    Natafuta kazi yoyote

    Ndugu zangu Mimi ni kijana wa miaka 20 naomba kama kuna mtu ana kazi yoyote anisaidie ili niweze kuwatunza mama angu na wadogo zangu. Tafadhali kama ukiguswa na una moyo naomba unisaidie Mungu atakulipa tunateseka sana.
  15. B

    Msaada tutani: Ndugu yangu Wa kiume ana tabia za kike, suluhisho la hili tatizo ni nini?

    Nilikuwa simfahamu huyu ndugu yangu, ni mtoto wa mama mdogo, nimemfahamu juzi kwenye family gathering event😭ni damu yangu kabisa halafu kijana, mara ya kwanza nlivomuona tabia zake, na jinsi anavotembea, Nilipata mashaka nikahisi kuna kitu kimempungukia kama mwanaume. Nlivyokuja kuongea naye...
  16. Msaada wa haraka unahitajika

    Nilishakuja na Uzi wiki ilopita kuhusu gari yangu kupiga kelele pindi niingizapo gear. Pia gia namba Moja na reverse zinaingia Kwa tabu sana. Leo nimekwenda garage wameshusha gear box nikaambiwa hicho kijamaa kwenye picha ndo changamoto inabidi kubadili. Naomba kujua bei zake Kwa wenye...
  17. Msaada usajili wa Trademark Brela kipengele cha Nice description

    Naomba msaada kwenye hii sehemu baada ya kujaza nice class ambayo service yangu imo natakiwa kuweka nice class description Ni zipi hizo? Mfano nice class yangu Ni 42 Kwenye nice description naandika nini?
  18. Naomba msaada wa solution za haya maswali wadau

    Kheri ya mwaka mpya wanajukwaa la elimu? Naomba mnisaidie haya maswali ya: 1. The Rydberg constant for hydrogen is 1.09678×107m-1 and that for singly ionized helium is 1.09722.Given that the mass of the helium nucleus is four times that of the hydrogen nucleus.Calculate the ratio of the...
  19. Msaada, kisheria hapa nichukue hatua gani?

    Wasalam waungwana na nakutakieni kila lenye kheri kwa mwaka 2023. Direct kwenye point Kuna plot tulinunua mkoa mmojawapo wa kaskazini na malipo yalikuwa kwa installments 2. Baada ya malipo ya awali, ambayo yalikuwa ni kama 2/3 ya malipo yote, tulimuomba mzee aliyetuuzia copy ya hati ya...
  20. MSAADA: Ufafanuzi wa majibu ya ultrasound

    naombeni mnifafanulie vizuri majibu haya ya ultrasound. SASISHA (updates):- Namshukuru ALLAH leo tarehe 02 januari 2023 mimi pamoja na familia yangu tumebarikiwa watoto wawili wote wa KIKE. njia iliyotumika kujifungua ni njia ya kawaida. Nawashukuruni nyote. MBARIKIWE.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…