Matata Kipepeo Jungu
Member
- Aug 19, 2022
- 36
- 34
Wakuu kwema?
Naomba msaada wa excell.
Naandaa template ya matokeo kwa shule za MSINGI.
Sheet 1 nimeweka kwaajili ya kujaza alama.
Sheet 2 nimeweka sehemu ya matokeo,yaan madaraja ya kila somo,jumla na kadhalika.
Sheet 3 Nimeweka kwaajili ya rank,yaan aanze mwenye alama kubwa kwenda ndogo
Sheet 4.....5....6....
Tatizo lipo hapo kwenye rank....nashindwa kuweka fomula ya kupanga wanafunzi kwa kuanza na mwenye alama kubwa kwenda ndogo....ifanye excell yenyewe na sio kuja kufanya manually baadae....msaada tafadhali!