mpya

  1. JamiiForums Tanzania Mwamko Mpya Kuhusu Historia ya Bi. Titi Mohamed

    MWAMKO MPYA KUHUSU HISTORIA YA BI. TITI Mwaka jana 2021 kuanzia mwezi October hadi kufika mwezi kama huu na siku kama hizi nilipokea wageni wengi nyumbani kwangu kutoka vyombo vya habari pamoja na CCM wakitafuta historia ya Bi. Titi. Hakika haya ndiyo maajabu ya Allah kuwa atakapo jambo lake...
  2. J

    JamiiForums Tanzania PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

    RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 10 UWT JIJINI DODOMA. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) akifungua Mkutano Mkuu...
  3. JamiiForums Tanzania Mnaohudhuria Uzinduzi wa Baa Mpya Kawe Lugalo (Kwa Maasai ) usiku huu hebu tupeni Mrejesho

    Nasikia Kiingilio ni Bure na Bia nazo ni bure kwa idadi uitakayo halafu Wanawake wote wanatakiwa Kuvaa Madela ila ndani wawe Watupu tu Vile vile Watumbuizaji wakuu ni Christian Bella na Mboso na hivi sasa Saa 6 na dakika 57 hii Mvua ikiwa inanyesha Mboso ndiyo anaanza Kupanda Stejini. Mimi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Upinzani haipo Katiba Mpya bila kutoleana uvivu

    Nani asiyejua umuhimu wa katiba mpya? Nani anaweza kuthubutu kujipa jukumu hilo peke yake na kuwasusa wengine kwa sababu zozote zilizokwisha pita? Misahafu inasema ni furaha kuu mbinguni kwa mwenye dhambi mmoja akitubu. Hivi hata ya waungwana hatuyasikii? Nini tofauti ya ya chawa uchwara...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hizi behewa mpya za treni, tuendelee kudai Katiba Mpya

    Kampuni tanzu kampuni ya Eurowagon kutoka uturuki iliyopewa tenda hayat John Pombe Magufuli kutengeneza reli na mabewa iliondolewa na kuletwa kampuni kutoka China Korea kusini ambazo zimeleta izi bewa na na lijua Aya yatatokea bewa zilizo wasili pale bandarin hakuna mtanzania aliependa hata za...
  6. JamiiForums Tanzania Nembo mpya ya timu

    Nisiwe msemaji sana, Picha inajitosheleza
  7. JamiiForums Tanzania Simba yatambulisha Kocha Mpya wa Viungo

    Klabu ya Simba imemtambulisha Kelvin Mandla kutoka Afrika Kusini kuwa kocha wa viungo (Fitness Coach) wa timu hiyo.
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu mpya kutoka Kanda ya Ziwa ili kuinusuru CCM

    Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa. Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka Kanda ya Ziwa nafikiri nimeeleweka!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto: Hivi mwanasiasa wa kiume anawezaje kushinda Miss Tanzania?

    Asalam aleykum! Jamani haya maisha yanachekesha sana na ukiyafikiria sana unaweza kupasuka kichwa, basi juzi kuamkia jana bwana kama kawaida katika ndoto niko sehemu kama nimesimama hivi. Nilikuwa kama kuna mtu amenisimamisha anataka kuniambia jambo fulani, kwa mbalii nikawa kama nasikia...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa: Tutajenga barabara ya njia 4, Dar-Moro, ili upite lazima ulipie

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame M. Mbarawa ametangaza mkakati wa ujenzi wa barabara mpya kwa kushirikiana na sekta binafsi kutoka Dar es Salaam – Chalinde hadi Morogoro yenye urefu wa Kilometa 215 itakayojulikana kwa jina la Express way. Barabara hiyo itakuwa ni ya kulipia pindi mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Simba yatambulisha Kocha mpya wa Makipa

    Jina: Chlouha Zakaria Utaifa: Morocco Kwa mujibu wa taarifa ambazo hazijathibitishwa na Uongozi wa Simba SC, kocha Chlouha Zakaria anaweza pia kuhudumu kama kocha wa viungo. ===== Kocha huyo ni Chlouha Zakaria ambaye ametambulishwa leo Jumanne Novemba 15, 2022 ambapo anaungana na Juma Mgunda...
  12. JamiiForums Tanzania Sera mpya ya Elimu yasubiri idhini ya Baraza la Mawaziri

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mabadiliko makubwa kwenye elimu yanakuja. Alisema Rais Samia alitaka Wizara ya Elimu kufanya mapitio ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo ilitungwa wakati wa Serikali ya Awamu ya Nne. “Sera iliyopo haijatekelezwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanachama mpya

    Habari zenu?
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuinstall RAM mpya kwenye desktop

    Hanari wakuu, mimi si mtaalam sana wa computer ndo najifunza baazi ya mambo. Natumia dell optiplex 5040 yenye RAM 4gb ddr3 hivyo nikaamua kuongeza RAM 8gb ila ni campuni tofauti na RAM iliyo kwenye desktop Shida ni kwamba kila nikijaribu kuiweka hii ram mpya mashine haiwaki nakosea wapi wakuu...
  15. JamiiForums Tanzania INAUZWA Vacuum Cleaner Mpya

    Nauza mashine ya kusafishia carpet a.k.a Vacuum Cleaner. Mashine hii ni mpya kabisa na haijawahi kutumika hata mara moja. Bei: 250,000 Location: Arusha Mawasiliano: 0768444224
  16. JamiiForums Tanzania Yeyote aliyeajiriwa na anataka kujiajiri; anza kununua vitendea kazi kwa ajili ya ajira yako mpya

    Kumiliki vitendea kazi muhimu, ni rahisi kuacha kazi na kwenda kujiajiri. Wengi tunashindwa kufikia hayo malengo, kwa sababu mishahara yetu tunatumia kwenye vitu vinavyokula hela na havizalishi. Utakuta mtu anachukua mkopo mkubwa au anatumia fedha alizopata kwenye ajira kwa kujengea nyumba...
  17. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC msituzingue tafadhali tunamtaka Kocha mpya upesi Mgunda hamna Kitu na ni Samjo Samjo tupu

    Kocha gani Wewe muda Wote tu ni Kukenua Kenua Mimeno huku Timu yako ikiwa inabadilika mara kwa mara Kimfumo? Wenye Simba SC yetu na Mafia wa Soka la Bongo (Tanzania) tunajua ni Juhudi gani zilifanyika ili Kocha Mgunda alipotua Simba SC akawa anashinda mfululizo mpaka Mechi za Kimataifa. Hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Usilolijua kwa Hamornize ni ujenzi mpya wenye mvuto. Fagio lake mtalishukuru baadae

    Wana JF Watu wengi wamekalia lawama nyingi sana na kuhukumu kila kukicha nafasi ya kondeboy Harmonize katika mikakati ya kuangushwa na mpenzi wake na mtu mzima Kajala. Pengine ufagio mpya alioutumia unaonekana kuwakera wengi tu lakini kwa jicho jipya ni kwamba kisafisha nyumba na kuweka vitu...
  19. JamiiForums Tanzania Kanitafuta tena na namba mpya!

    Bila hustle mingi! Si yule mrembo kanitafuta tena na namba mpya! Nikamuuliza vipi, mbona namba mpya? Oooh! Nikikupigia na yangu ya kawaida haushiki simu. Eeeh bwana eh, mwenzenu sijala nyama tangu mwezi wa kumi na mbili, mwaka uliopita! Mtanisamehe kwa kweli, hapa napita mpaka na mifupa...
  20. JamiiForums Tanzania Aliyemfukuza Trump twitter na yeye afukuzwa na mmliki mpya wa twitter Elon Musk

    Salama wadau Unaambiwa binadamu hukutana lakini milima haikutani na malipo ya ubaya ni hapahapa duniani. Sasa jamaa baada ya kununua Twitter kwanza kawatimua management yote na baadaye staff wapewa alerts Fagio LA chuma litapitishwa kuondoa baadhi ya wafanyakazi. Sipati picha bwana Trump...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…