Simba yatambulisha Kocha mpya wa Makipa

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
Jina: Chlouha Zakaria
Utaifa: Morocco

Kwa mujibu wa taarifa ambazo hazijathibitishwa na Uongozi wa Simba SC, kocha Chlouha Zakaria anaweza pia kuhudumu kama kocha wa viungo.

283F6421-6AE2-4793-A4AD-43C68715AD69.jpeg

=====
Kocha huyo ni Chlouha Zakaria ambaye ametambulishwa leo Jumanne Novemba 15, 2022 ambapo anaungana na Juma Mgunda kwenye benchi la ufundi la timu hiyo.

Kocha huyo anachukua nafasi ambayo ilikuwa ikisimamiwa na Muharami Said Mohammed ‘Shilton’ ambaye Simba ilitangaza kutokuwa na mkataba na kocha huyo ambaye alipewa kazi ya kuwanoa makipa kwa muda wa mwezi mmoja.

Muharami ni mmoja wa watuhumiwa waliotangazwa kushikiliwa Novemba 15, 2022 wakabiliwa na tuhuma za kukutwa na madawa ya kulevya.

===

Wasifu wake

09CE90FA-FC2E-43F0-B751-F7070E7AA4E7.jpeg
614E1C0D-D250-4B15-9BD8-95153410B5E4.jpeg
 
Hongera Uongozi wa Simba kwa maamuzi ya busara yenye kuleta Utulivu Klabuni.

Hatuwezi kutolewa kwenye Focus yetu Kimataifa kwa mambo binafsi ya Mtu(Former Kocha wa Makipa).

Shime Wanasimba tuendelee kuusapoti Uongozi kwa Juhudi wanazofanya kwa Timu yetu.
 
Wanafunika kombe mwanaharamu apite.
Timu haiwezi kuendelea kubaki bila Kocha wa Makipa, Hilo suala huwezi Jua litachukua muda Gani kuweza kufikia Tamati.

Uongozi umechukua hatua stahili kabisa Tena kwenye Wakati sahihi.

Kumbuka Timu yetu ya Simba ina michezo mingi mbele yetu ya Kimataifa na ile ya Ndani.

Nguvu Moja 💪
 
Back
Top Bottom