mpya

  1. S

    JamiiForums Tanzania Bila Katiba Mpya hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza Tanzania, Kenya waula

    Rais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na wawekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabirika. Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi imara ya kidemokrasia na hivyo haitayumbishwa na yeyote. Hapa Tanzania kwa katiba ya sasa ambayo...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii elimu tiba mpya ya kupona Kwa kutembea peku inaukweli?

    Kwa elimu hii kuwa kwenye nyayo Kuna swichi za kutibu kila ugonjwa. Kuna jamaa alinipa hizi story nikamkatalia. Ila naona kama wanazidi kushamiri kufundisha tiba ya mikono na miguu. Kuna ukweli wowote katika hili?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa Katiba Mpya upo njiani kutekelezwa

    Rais Samia Suluhu alisema atashughulikia suala la Katiba Mpya na kuna watu wengine wanahoji kwanini mchakato wa Katiba Mpya unachelewa. Sababu za kuchelewesha Katiba Mpya Rais Samia Suluhu anataka kila mwananchi ashiriki kikamilifu katika mchakato wa kuleta Katiba mpya kwasababu Katiba ni ya...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Uganda yathibitisha mlipuko mpya wa Virusi vya Ebola

    Mwanamume mwenye Umri wa Miaka 24 amefariki katika mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola uliothibitishwa na Maafisa wa Afya tangu Mwaka 2012, Uganda iliporekodi kisa cha mwisho Waziri wa Afya amesema Marehemu alikuwa ameonyesha dalili za ugonjwa huo na hadi sasa watu 8 wenye dalili zinazoshukiwa...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ripoti mpya ya UN yaishutumu Serikali ya Ethiopia kwa Ukatili dhidi ya Watu wa Tigray

    Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wanasema wanaamini kuwa Serikali ya #Ethiopia inahusika na uhalifu dhidi ya binadamu unaoendelea katika eneo la #Tigray, Kaskazini Mwa Nchi hiyo Katika Ripoti hiyo, Tume ya Wataalamu wa Haki za Kibinadamu iliangazia kile ilichokiita taarifa za kuaminika za mauaji...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwonekano mpya wa simu ya OnePlus 11 Pro umevuja

    OnePlus ilikuwa ni brand nzuri sana katika design, lakini kwa zaidi ya miaka mingi inabadili mwonekano wake kila muda na fans wake hawapendi kuona kila model ina design yake. Mwaka jana katika OnePlus 10 Pro ilikuwa na mwonekano mpya wa kamera lakini wengi hawakupenda mwonekano ule. Jambo la...
  7. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Magufuli is back,anasema Abdul Sharrif Nassir-Governor Mpya wa Mombasa.

    True leaders dont die..their words remain on the lips of their believers for ever and ever. Always try to build a great legacy which you will leave behind for people to remember you.
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wafaulu kupasua ngome mpya ambayo Warusi wanaokimbia mapambano walikua wamejichimbia

    Warusi waliokimbia mapambano waliungana na wenzao na kujichimbia upande wa pili wa mto Oskil na kusuburi, ghafla wazalendo wa Ukraine wakawasili kama kawaida kishujaa na kufyatua kila kitu hadi wakavuka mto na kuendelea kupokeza kichapo.....vilianzia Crimea vitaishia Crimea....vijana wanajitoa...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Balozi Lumbanga: Suala la Katiba mpya haliepukiki, Tunajaribu kucheza na akili za watu

    Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Balozi Marten Lumbanga amesema mabadiliko ya Katiba hayakwepeki, huku akiwataka viongozi wa Serikali na CCM kutopuuza madai hayo. Balozi Lumbanga aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi wakati wa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi na baadaye Rais mstaafu Benjamin Mkapa kabla...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kama tunataka Katiba Mpya, Tusiionee "Haya" Haki ya awaye yote

    Haki za binadamu zikiwamo za kuishi, usalama, kulindwa, kujilinda, kusikilizwa n.k, si hisani. Anasema beberu: "Human rights aren't negotiable." Hizo haziombwi. Zaidi sana anasema beberu: "Human rights are enforceable." Tunataka Katiba Mpya. Ni haki yetu. Haki hupiganiwa. Hatuwezi kuwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya haitakuja kwa Maneno Matupu

    Kupata katiba mpya ni shughuli pevu dhidi ya walamba asali, vibaraka na chawa wao. Vipi kuwatemesha matonge midomoni? Katiba mpya haitakuja kwa maneno Matupu mezani au mitandaoni. Katiba mpya itakuja kwa mapambano yaliyoratibiwa vyema chini ya mikakati thabiti. Kuganga yaliyopo na yajayo...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye sekta ya anga ya juu wapiga hatua mpya

    Mwezi Septemba vijana katika sehemu mbalimbali za Afrika, walifanikiwa kufanya jambo ambalo hawakuwahi kufikiria hata siku moja, kuwasiliana moja kwa moja na wanasayansi wa China walio kwenye kituo cha anga ya juu cha China. Mbali na kustaajabu kuwasiliana na watu walio kwenye anga ya juu...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Rais akifanya kosa la jinai ofisini ashitakiwe, Trump ni mfano mzuri

    Leo Trump anachunguzwa na Serikali ya Marekani kwa wizi wa siri nzito za serikali. Siri hizo Trump anazifahamu kwa vile alihusika nazo, lakini kitendo cha kuziiba(kwa maana ya kuondoka na nyaraka za serikali kijinai) , Trump inawezekan akashitakiwa mahakamani. Nchi yetu Tanzania vivyo. Katika...
  14. Dr Msweden

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya Temeke imeanzisha tozo mpya za taka

    Jioni hii nimepitia kuchukua hesabu katika moja ya pharmacy yangu iliyopo Mbande Chamazi nikakutana na hii barua kutoka serikali ya mtaa ,bahati nzuri aliyeleta hii barua alikuwa mtendaji nimeisoma yote nikaanza kumuuliza maswali kuhusu hizi tozo mpya za taka. Maswali niliyomuuliza alishindwa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Instagram inafanya majaribio ya kuweka sehemu mpya ya “Repost”

    Sehemu hii itakuwa inawezesha mtumiaji ku-repost post ambazo amezipenda. Mfano ukiona post ambayo unatamani kuonyesha followers wako, unaweza ku-report na itakaa katika profile yako upande mpya wa posts ambazo ume-repost. Hii inafanana kabisa na “Retweet” ya Twitter. Ku-share post ambayo sio...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Huu 'mzuka' mpya wa Ukraine unasababisha Mrusi apoteze battalion moja kila siku

    Kwa siku chache ambapo Ukraine wametiririka kama waliopagawa, wamefaulu kuteka vifaru 1,200 vya Urusi, hiyo ni pamoja na zana zingine ikiwemo magari ya kivita. Warusi wanatoka nduki na kuviacha huku Ukraine wakiendelea kufukuzia. Vijana wa Ukraine wameamua kujitoa mhanga, wanavamia kwa kifua...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mtoko mpya wa Simba: Unaweza kuvaa ofisini

  18. R

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kianze kati ya Katiba Mpya au Kuitoa CCM Madarakani?

    Habari wana JF Nimewaza sana nikagundua CCM kuwepo madarakani ni tatizo kubwa kuliko hata hii katika tunayo hitaji. Hivi kwa hii CCM tunaweza pata Tume huru ya Uchaguzi? Sasa tunayo katiba lakini tumeshuhudia mara kadhaa ikivunjwa na Kwa mizizi kiliyo nayo hiki Chama mnadhani ni rahisi Katiba...
  19. Neemawalterr

    JamiiForums Tanzania SoC02 Fikra sahihi na tamaduni hii mpya itainua uchumi wa familia na taifa letu kwa ujumla

    Ni ukweli kabisa usiopingika kwamba serikali na mashirika ya siyo ya kiserikali yamejikita mno katika kuongeza fursa za wanawake ili waweze kujikwamua kiuchumi. Jambo hili ni faida kubwa kwa nchi yetu, kwani takwimu zinasema kampeni hizi zimepunguza umaskini Tanzania kutoka 34.4% kwenda 26.4%...
  20. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Niishukuru Kamati Kuu ya CCM kuridhia mchakato wa Katiba Mpya uendele. Tanzania mpya itazaliwa na changamoto za kimfumo zitabaki historia

    Nawashukuru sana Ile Tanzania nilioiota KWA muda mrefu inaenda kutimia,kuanza KWA mchakato wa katiba mpya ni Nuru KUBWA kwetu!changamoto za kimfumo zinaenda kufa na Tanzania Mpya inaenda zaliwa rasmi! Niwaombe wadau wawape ushirikiano wa kutosha kikosi kazi cha mkandala Ili mchakato ukamilike...
Back
Top Bottom