Jinsi ya kuinstall RAM mpya kwenye desktop

monotheist

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
720
943
Hanari wakuu, mimi si mtaalam sana wa computer ndo najifunza baazi ya mambo. Natumia dell optiplex 5040 yenye RAM 4gb ddr3 hivyo nikaamua kuongeza RAM 8gb ila ni campuni tofauti na RAM iliyo kwenye desktop
Shida ni kwamba kila nikijaribu kuiweka hii ram mpya mashine haiwaki nakosea wapi wakuu msaada tafadhali.

PXL_20221111_121722338.jpg
PXL_20221111_121710130.jpg
 
Hapo naona moja ni DDR3L
na Nyingine ni DDR3 kavu

Kuna mambo mawili inawezaka PC yako inasuport DDR3L tu pekee hvyo ukiweka DDR3 kavu inakataa kuwasha

Au PC yako motherboard yake haitaki uchanganye DDR3L na DDR3 kavu
Maaana eidha uweke DDR3L pekee au uweke DDR3 kavu pekee



Hizo za chini za kampuni ya MEIU ni DDR3 kavu
Hiyo ya Juu SK ni DDR3L ukisoma utaona

Kama Unahitaji ram
DDR3 au DDR3L
4gb DDR3L elf 35
4gb DDR3 kavu 25
8gb DDR3l Elf 75
nicheck nitakuuzia
Contack 0620552992
 
Kabla hujanunua ram chek specification za pc yako ili kujiepusha na ram incompactibility
 
Back
Top Bottom