Mnaohudhuria Uzinduzi wa Baa Mpya Kawe Lugalo (Kwa Maasai ) usiku huu hebu tupeni Mrejesho

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,922
Nasikia Kiingilio ni Bure na Bia nazo ni bure kwa idadi uitakayo halafu Wanawake wote wanatakiwa Kuvaa Madela ila ndani wawe Watupu tu

Vile vile Watumbuizaji wakuu ni Christian Bella na Mboso na hivi sasa Saa 6 na dakika 57 hii Mvua ikiwa inanyesha Mboso ndiyo anaanza Kupanda Stejini.

Mimi GENTAMYCINE nitakuja mida ya Saa 8 baadae na Marafiki zangu wenye Camera za Kisasa kabisa na Uweledi wa Kiujasusi kutoka Rwanda, Uganda, Kenya, Malawi, Marekani, Israel na Zambia ambao Wote wanafanya Kazi katika Majeshi yao ili Waone Ubunifu wa Jeshi la Tanzania kwa Kuanzisha Baa Kubwa eneo Sensitive Kimedani ili na Wao wakirejea Makwao wakauige huu Upuuzi ( Uvaluvalu ) uliovuka Kiwango.

Tayari Jeshi Lina Ukumbi wake mkubwa tu wa ndani Lugalo ambao unaweza kufanyia Shughuli yoyote / Tamasha lolote lile na kujipatia Kipato ila leo kwa Upang'ang'a ( Upumbavu ) wetu tumeamua ku 'Commercialize' Jeshi letu na kufanya Mzaha ambayo GENTAMYCINE nasema ipo Siku tutakuja Kujuta.

Kwakuwa Jeshi letu la JWTZ limeamua kwa Makusudi ku 'Commercialize' maeneo yake Nyeti kama hapo Lugalo ( Kawe kwa Maasai ) GENTAMYCINE nashauri pia Watu wa Ikulu za Magogoni na ile ya Chamwino Wajitahidi nao watuwekee Raia wa Kawaida Ukumbi wa Kustarehe ( Kula Bata ) kwakuwa Tanzania yetu Kiusalama ndiyo Namba Moja duniani, tuna Jeshi Bora duniani na hatuna wa Kututisha kwa lolote lile na kamwe Tanzania hii hakutotokea Mashambulizi ya aina yoyote toka kwa Magaidi au Maadui Jirani.

Mtakaonielewa mbarikiwe sana tu!!!!
 
Aliekupa hiyo story amekudanganya. Hakuna kitu kama hicho.

We lijamaa huwaga litahira. Upo Bunda vijijini huko ila una jichocha hapa eti kawe.

Mafi yako
 
Kwa sasa Makao makuu ya Jeshi yapo Dodoma! Unyeti wa Lugalo mbali ya kuwa kwa sasa Lugalo ipo karibu na makazi ya watu na Hospital yake kuhudumia mpaka Raia wa kawaida( wanapokea Bima ya afya) sio tena high valued place in military affairs za Nchi! Hicho kinachofanyika Lugalo kwa sasa akina any treat for our Security! Ingekuwa Kizuka au mzinga au monduli kunafanyika haya yanayofanyika Lugalo kwa sasa hapo ata mimi ningelalamika. Pia now days Jeshi letu ni high tech! Zama za usipige picha hapa azipo tena😀 ! Mimi nimefanya kazi KV 302 kama mwajiriwa hapo Lugalo wakati wa ujana miaka ya 200x!(Civilian in Military Empolyment) Mabadiliko yaliopo sasa katika Jeshi letu na jinsi wewe inavyo post humu mara nyingi juu ya ulinzi usalama na ujasusi inaonekana wewe una too much fake info and imagination ya jeshi letu ila kichwani zero
 
Walihamia dodoma...
Hiyu Bumunda ana fikiria Lugalo ya 199x ndo ya Leo: Sasa hivi ata Daladala sio tu kusimama kupakia au kushusha mtu pale Lugalo, ata likizima Dereva na konda awapati shuruba! Enzi zile kuna siku moja Dereva na Konda wa Hice (miaka hiyo daladala zilikuwa hice na sio hizi DCM n.k ) walikamatwa na MP walilazimishwa kuzunguka mle ndani kwenye uwanja wa mpira mpaka mafuta yaishe kwenye tank- hadi hizime yenyewe ndo waweze fikiriwa kuachiwa na walikuwa just few mins wamejeza full tank pale Tangi bovu! Siku njingine kuna vijana walikuwa wanagombana pale kwenye uwanja wa mpira MP alimpatia yule dogo alienzaisha ugomvu Mche wa sabuni afulie t shirt ya dogo alie mpiga mpaka mche wa Mbuni uishe ndo aondoke kwao!! Hiyo ndo ilikuwa Lugalo wakati hikiitwa Lugalo those days!! Rip afande Babu,Rip afande Miraji ,Rip afande Mataula ,Rip Captain Mahundi🤚🏾
 
Zile flemu za pale kawe,lazima zitakuwa za wakubwa tu,hivi unawekaje flemu za biashara eneo wanapoishi maofisa wa jeshi?
Yaani hapa mmeruhusu ujasusi ufanyike kwa urahisi kabisa,
Eneo la jeshi,hutakiwi kusimama wakati wowote ni mwendo tu,
Sasa kipindi Cha magaidi wa kibiti,ilijulikana kwamba aliyekuwa anatoa mafunzo kwa magaidi ni askari polisi,na kaptein mmoja wa jeshi,sasa hv watapata nafasi nzuri ya kufanya ujasusi ndsni ya jeshi
 
361 wameona hapatoshi.
 
Kuna vijana wa boda watachezea kichapo hapo
Kuna Mmoja anaitwa Dulla anapaki Ukwamani Wajeda ( Wamedani ) wameanza Kumzindua na kwa jinsi ninavyomfahamu Kitabia najua tu atakuwa alimtongoza Mke au Hawara ya Mmedani ( Mjeda )

Nitaenda Kumtembelea baadae Kwake Maumivu ya Kipigo alichokichezea yakimpungua japo nikienda nitakuwa Nacheka mno kwani nilimuonya mapema tu kuwa asithubutu kwenda pale hakunisikia.
 
Aliekupa hiyo story amekudanganya. Hakuna kitu kama hicho.

We lijamaa huwaga litahira. Upo Bunda vijijini huko ila una jichocha hapa eti kawe.

Mafi yako
Tatizo langu Kubwa ni Kuachana na Mama yako wakati Yeye ns nyie Watoto wake ( hasa Wewe mkubwa ) mkiwa mnanipenda.

Kunifuatilia Kwako Kutwa katika Threads na Posts zangu hapa JamiiForums huku ukitumia Multiple ID's zako ( bila ya kuisahau na ile yenye Jina la Kocha Msaidizi wa Simba SC ) kamwe hakuwezi Kunitisha, Kunivunja Moyo na Kunifanya nimrudie Mama yako.

Huwa sina tabia ya Kumrudia Mwanamke hivyo Pole sana Kwako Mtoto na kwa Mama yako na nifikishie tu Ujumbe Kwake kuwa Wanaume tupo Wengi ni kwanini ananing'ang'ania Mimi tu?
 
Kwa sasa Makao makuu ya Jeshi yapo Dodoma! Unyeti wa Lugalo mbali ya kuwa kwa sasa Lugalo ipo karibu na makazi ya watu na Hospital yake kuhudumia mpaka Raia wa kawaida( wanapokea Bima ya afya) sio tena high valued place in military affairs za Nchi! Hicho kinachofanyika Lugalo kwa sasa akina any treat for our Security! Ingekuwa Kizuka au mzinga au monduli kunafanyika haya yanayofanyika Lugalo kwa sasa hapo ata mimi ningelalamika. Pia now days Jeshi letu ni high tech! Zama za usipige picha hapa azipo tena😀 ! Mimi nimefanya kazi KV 302 kama mwajiriwa hapo Lugalo wakati wa ujana miaka ya 200x!(Civilian in Military Empolyment) Mabadiliko yaliopo sasa katika Jeshi letu na jinsi wewe inavyo post humu mara nyingi juu ya ulinzi usalama na ujasusi inaonekana wewe una too much fake info and imagination ya jeshi letu ila kichwani zero
Kama nawe ni Mwanajeshi ( JWTZ ) kama Ulivyojinasibu ( Ulivyosema ) hapa basi I'm sorry to say this to you that you're one of the Pudding Head ( Dolt ) Soldier to ever exist in our Arny sawa?

Na pia nimekudharau kuliko Maelezo.
 
Hiyu Bumunda ana fikiria Lugalo ya 199x ndo ya Leo: Sasa hivi ata Daladala sio tu kusimama kupakia au kushusha mtu pale Lugalo, ata likizima Dereva na konda awapati shuruba! Enzi zile kuna siku moja Dereva na Konda wa Hice (miaka hiyo daladala zilikuwa hice na sio hizi DCM n.k ) walikamatwa na MP walilazimishwa kuzunguka mle ndani kwenye uwanja wa mpira mpaka mafuta yaishe kwenye tank- hadi hizime yenyewe ndo waweze fikiriwa kuachiwa na walikuwa just few mins wamejeza full tank pale Tangi bovu! Siku njingine kuna vijana walikuwa wanagombana pale kwenye uwanja wa mpira MP alimpatia yule dogo alienzaisha ugomvu Mche wa sabuni afulie t shirt ya dogo alie mpiga mpaka mche wa Mbuni uishe ndo aondoke kwao!! Hiyo ndo ilikuwa Lugalo wakati hikiitwa Lugalo those days!! Rip afande Babu,Rip afande Miraji ,Rip afande Mataula ,Rip Captain Mahundi🤚🏾
Uncircumcised Baboon na Sluggish Person kama Wewe hamjawahi Kunisumbua hapa JamiiForums sana sana huwa napenda muwepo ili Niwafundisheni jinsi ya Kufikiri.
 
Zile flemu za pale kawe,lazima zitakuwa za wakubwa tu,hivi unawekaje flemu za biashara eneo wanapoishi maofisa wa jeshi?
Yaani hapa mmeruhusu ujasusi ufanyike kwa urahisi kabisa,
Eneo la jeshi,hutakiwi kusimama wakati wowote ni mwendo tu,
Sasa kipindi Cha magaidi wa kibiti,ilijulikana kwamba aliyekuwa anatoa mafunzo kwa magaidi ni askari polisi,na kaptein mmoja wa jeshi,sasa hv watapata nafasi nzuri ya kufanya ujasusi ndsni ya jeshi
Huwa napenda mno kukutana na JamiiForums Members ambao ni Critical and Rational Thinkers kama Wewe Mkuu.

Kwa hii Akili Kubwa na Observation yako ( ya kuwa this Security Conscious ) kamwe Usitegemee a Pudding Head ( Dolt ) Soldier wa JWTZ kama Chipukizi Kukuelewa.
 
Back
Top Bottom