mpya

  1. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Karibu nikuuzie M.2 SSD kwa Ofa ya Mwaka mpya

    Ni Ofa ya mwaka mpya na mambo mazuri kwa bei poa kabisa. Ni Adata Legend M.2 SSD Mpya kabisa kwa Tsh 150,000/= kila moja. Description ● PCIe Gen3 x4 interface ● Fast read/write performance ● Heat sink keeps things 15% cooler ● Great upgrade option for creators ● High capacities ● Supports...
  2. deedee

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2023: Kodi mpya za kusajili gari

    Karibuni tujadili gari zenye unafuu wa Kodi kwa mwaka 2023. Calculator ya TRA imeshafanya yake.
  3. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya wapenzi wangu hapa JF, nawapenda sana

    Sina maneno mengi. Mapenz yangu kwenu ni ya kutoka moyoni mwangu. Mwaka huu 2023 na ukawe faraja kwenu. Pale kwenye tumaini na Mungu aweke tumaini pale penye Nia Mungu akaihuishe iwe na itendeke.
  4. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Watu tisa wafariki huku wengine wakijeruhiwa kutokana na mkanyagano

    Watu tisa wamefariki dunia, wengine kadhaa kujeruhiwa katika mkanyagano uliotokea jana usiku nje ya Mall ya Freedom City mjini Kampala wakati wa kukaribisha mwaka mpya.
  5. PAGAN

    JamiiForums Tanzania Salamu za Mwaka Mpya kupitia Twitter

  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunaoanza mwaka mpya 2023 kwa penzi jipya tujuane

    Inshallah Mungu ajalie January 1, 2023 naanza na penzi jipya la mtoto wa kisagara. Ni hatari sana hii mashine nafungua mwaka kivingine. New year New mashine new show. Nyota ya "Pisi mpakato" imesoma matokeo ya chumvi bahari na maombi ya upako yameweka neema kama zote. Ni hayo tu kwa uchache...
  7. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hatujakuza utalii wa 'kuuona mwaka mpya mapema'?

    Kuna aina nyingi sana za utalii. Mwingine unatokana na asili ya eneo husika, historia, utamaduni, nk. Dunia ya leo, utalii wa kisasa unatumia asili ya eneo husika na unaliongezea thamani kwa kutengeneza unique experience kwa mtalii anayekuja. Tanzania tumebahatika kuwa eneo kigeographia ambalo...
  8. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Mwaka Mpya: Mawazo ya viongozi wa dini yaliyonajisiwa kwa binadamu, nani mkweli?

    Happy New Year!. Hiyo ☝🏾 ndiyo salamu inayotolewa na kila mmoja kutakiana amani, furaha na shangwe kwa kuingia mwaka namba mwingine. Ilikuwa kama jambo la kawaida tu kupitia pitia misahafu na zamu ya mwezi huu unaopita ilikuwa ni Bibilia na nilibahatika kusoma kitabu cha Mwanzo eneo hili hapa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Salamu za Mwaka Mpya 2023 za Rais Samia kwa Watanzania

    Salamu za mwaka mpya 2023 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa watanzania wote. Amemshukuru Mungu mtukufu, mkarimu na mwingi wa rehema kwa kuiona siku ya leo tunapoaga mwaka 2022 sasa tunaingia mwaka mpya 2023, amewatakia watanzania wote mwaka wenye furaha na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za mwaka mpya wa 2023

    Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa salamu za mwaka mpya wa 2023 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni salamu hizo: Makomredi, marafiki, mabibi na mabwana: Hamjambo! Wakati mwaka 2023 umewadia, mimi nikiwa hapa Beijing...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari/Idara ya Habari Maelezo: inakuwaje channel/mitandao ya habari ya serikali inafikia miaka mitano haina habari mpya? Mnawapimaje?

    Maafisa Habari waliajiriwa kwa ajili ya kuunga daraja la mawasiliano kati ya serikali na wananchi. Inafikia miaka mitano mtandao rasmi hauna habari yoyote mpya. Nadhani Sasa wawekewe malengo ya habari zisizopungua 15 kwa mwezi kwa Kila halmashauri au Ofisi ya RAS. Kila Mkoa una maafisa hawa...
  12. Raphael Thedomiri

    JamiiForums Tanzania Hatua mpya za NATO dhidi ya Urusi

    Mtazamo mpya wa NATO ni kwamba, ili amani irejee katika huu mzozo, ni lazima Putin akatishwe tamaa kabisa kwamba hataweza kuidhibiti Ukraine kabisa, kwa kumuongezea Ukraine msaada zaidi wa silaha. Katibu wa NATO anaamini hiyo ndio njia bora ya kumshawishi Putin aone anachokihitaji ni kama mlima...
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa wafanyakazi wa Twitter waanzisha kampuni mpya

    To be launched January 2023. SPILL ======== A group of former Twitter employees has announced that they are making their own social media platform, just weeks after being laid off by Elon Musk. On October 27, Elon Musk revealed that he had officially become the owner of Twitter after months...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Paschal Mayala, Lumumbashi na Gaganiga heri ya Christmas na mwaka mpya

    Merry Christmas and happy new year, Hao watu niliowa mention hapo juu Pascal Mayala, Lumumbashi na Gaganiga nawatakia heri ya fanaka katika sikukuuu hizi za mwisho wa mwaka naomba mungu awaendelee kuwapigania muendelee kupata mafanikio zaidi kwa mwaka ujao. Naomba mungu mwakani bwana pascal...
  15. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni muhimu kwa maendeleo na mstakabali wa vizazi vya sasa na vijavyo

    Heri ya X Mass. Tunamshukuru Mungu kwa siku kuu ya leo,na kwa namna ya kipekee kabisa nawapongeza waKristo wote Tanzania na Duniani. Wakati bado tunaendelea kusheherekea siku hii muhimu naomba tuwarejeshe katika mjadala wa mchakato wa KATIBA MPYA. Ni hakika KATIBA ya sasa ina mapungufu mengi...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Weka pembeni pilau na biriani, nipike nini siku ya Chrismas na mwaka mpya siku iwe pambe?

    Mko poa? Kama ndio jambo jema na Nafurahi kwa ajili yenu wote kuwa na afya. Imekuwa ni kawaida kama sheria kwa familia nyingi za hapa kwetu Tanzania ikiwa ni siku za sikukuu chaula ni pilau, ndizi, biriani nataka kubadilika jamani, Naomba mnisaidie chakula kingine kitamu cha kufanya siku ya...
  17. Gudasta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Burudika na limbo mpya wa Mopao aka DOBOLO KING

  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa waiondolea DRC zuio la kununua Silaha mpya

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limechukua hatua hiyo iliyowekwa kwa Majeshi ya Serikali ya DRC kutonunua Silaha mpya hadi wapate kibali kutoka Kamati ya Vikwazo ya UN. Wajumbe wa Baraza hilo wamesema wanatambua Hali Mbaya ya Usalama nchini humo na hivyo kuondoa vikwazo hivyo ni katika...
  19. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Snoop Dogg kuwa Bosi mpya wa Twitter?

    Elon Musk kasema kuanzia Sasa maamuzi makubwa ya Twitter yataamuliwa na wanatwita wenyewe. Ambapo wamuomba kuachia ngazi na katika hali ya kushangaza mpaka Sasa mida hii watu milioni 8 wamemtaka rapa Snoop kuingoza kampuni hiyo kubwa. Bila shaka boss Mello analiona hili suala.
  20. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya iongeze Mamlaka ya Kamati Kuu ya Chama

    Ili kudhibiti wanaotaka kupingana na maamuzi ya Chama kilichokupa dhamana ya uongozi. Katiba mpya iseme wazi kuwa KAMATI KUU ndio kiwe chombo cha juu kabisa cha kudhibiti wakaidi
Back
Top Bottom