Kaizer Chiefs washindwana na Nabi. Watangaza kocha mkuu mpya

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,119
27,123
Ni wazi kuwa dili la Nabi na Kaizer Chiefs limebuma. Kaizer Chiefs watangaza kocha mkuu mpya

======

Katika ukurasa wao rasmi wa mtandao wa Instagram, Timu ya Kaizer Chiefs wametanaza rasmi uteuzi wa Molefi Ntseki kuwa Kocha Mkuu kuanzia sasa.

Screenshot 2023-06-29 103102.png

Pia soma - Nabi na Kaizer Chiefs ngoma bado ngumu
 
NABI anapitia wakati MGUMU mno...


Azam Wana KOCHA msenegal.

Ila nawashauri Azam wamchukue NABI atawavusha....
 
Back
Top Bottom