Nimemsikiliza Rais Magufuli, akihutubia taifa baada ya kumwapisha Waziri mpya wa Katiba na Sheria, Mwigulu Nchemba. Kuna mengi aliyoongea JPM ambayo yanavutia mjadala. Mimi nijikite kujadili kwa kifupi alichosema Rais kuhusu Imani, Biblia na Viongozi wa Dini.
Nianze kwa kumtahadharisha Rais...