mpya

  1. S

    JamiiForums Tanzania Katika awamu hii chini ya Rais mpya Malawi, Magufuli atumie fursa hii kutatua mgogoro wa mpaka kati ya Malawi na Tanzania

    Hili tatizo la mpaka kati ya Tanzania na Malawi hadi leo halijatatuliwa. Suala ni kwamba, kuna dalili za mafuta ndani ya Ziwa Nyasa, ambalo Malawi wanaliita Ziwa Malawi. Na suala la uwezekano wa mafuta lilizua upendezi mpya wa ziwa kwa Malawi wakasema kwamba mpaka kati ya Tanzania na Malawi siku...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Bunge la Chama kimoja tutegemee tena G55 mpya ikitokea?

    Tanzania ina uzoefu wa kuwa na Bunge la chama kimoja, lkn pamoja na kuwa na bunge la chama kimoja kulikuwa na mijadala mikali na hoja nzito zilizojadiliwa ukiwamo ule wa kuundwa kwa Serikali ya Tanganyika uliotokea kwenye miaka ya 1990 al maarufu kama G55. Wabunge wa CCM wa wakati huo kina...
  3. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais mpya wa Marekani Joe Biden baada ya ushindi kwa Kiingereza na Kiswahili (Biden-Harris)

    HOTUBA YA JOE BIDEN BAADA YA USHINDI My fellow Americans, the people of this nation have spoken. They have delivered us a clear victory. A convincing victory. A victory for “We the People.” We have won with the most votes ever cast for a presidential ticket in the history of this nation -- 74...
  4. JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya za mafuta, Petrol yapanda, Dizeli imeshuka

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji(EWURA) imetoa bei mpya za mafuta ya dizeli na Petroli zitakazoanza kutumika kuanzia Novemba 4. Kwa Dar es salaam Bei za rejareja ya Petroli imeongezeka kwa Tsh 25 kwa kila lita na bei ya Mafuta ya Taa imeongezeka kwa Tsh 12 kwa lita. Huku bei ya...
  5. JamiiForums Tanzania Makampuni ya Magari hutengeneza Engine/Gear box mpya kama spare?

    Makampuni ya kutengeneza magari hutengeneza Engine au Gear box mpya kwa ajili ya spare kwa magari yatayoharibika? Biashara nyingi hufanyika kwa engine na gearbox used! Kama hawatengenezi ni kwa nini?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Maalim Seif kuingia kwenye GNU ni mkubwa iwapo tu Jumuiya ya Kimataifa itashindwa kurejesha uchaguzi mpya Tanzania

    Haya ni maoni yangu binafsi. Kwanza nianze kusema inaelekea baada ya robo karne ya vyama vingi, sasa kuna mwelekeo mpya duniani. Haiwezekani mfumo wa vyama vingi hadi Leo Afrika ndio sababu ya mauaji na chuki na kwamba walioleta vyama vingi wameshindwa kuweka nguzo imara ili kila taifa...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa mpya ya Kamishna wa Kulinda Data atalinda maelezo kuhusu Wakenya yanayohifadhiwa na kampuni za kubwa za kiteknolojia kama vile Facebook, Twitter

    AFISI mpya ya Kamishna wa Kulinda Data italinda maelezo kuhusu Wakenya yanayohifadhiwa na kampuni za kubwa za kiteknolojia kama vile Facebook, Twitter na Google, Immaculate Kassait ambaye ameteuliwa kushikilia wadhifa huo amewahakikishia wabunge. Bi Kassait, ambaye kabla ya Rais Uhuru Kenyatta...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Maneno ya faraja kwa viongozi waandamizi wa Serikali kuelekea Awamu mpya ya Taifa letu

    Unapoingia kwenye UCHAGUZI hasa katika nchi zinazoendelea kama ya kwetu upo uwezekano mkubwa baada ya matokeo viongozi walioshiriki kusimamia flani ashinde wakapoteza kazi baada ya kiongozi huyo kuingia madarakani. Katiba yetu imempa mamlaka Rais kuteua na kutengua mtu yeyote aliyepo chini yake...
  9. JamiiForums Tanzania Kufungia ndoa kijijini: Mbinu mpya ya kupiga michango

    Kumeibuka wimbi la vijana wanaooa hasa hawa wanaoishi mijini, kupitisha michango ya harusi bila kusema harusi itafanyikia wapi? Mtu unaletewa kadi ya mchango, au kundi linaanzishwa whatsap unajikuta umeongezwa mnahamasishwa sana kuchanga kwasababu kutoa ni moyo sio utajiri. Ukiuliza bajeti...
  10. JamiiForums Tanzania Hyatt Yatangaza kufungua Hoteli Mpya huko Cape Town, kuna watu kama nawaona

    Inaonekana South Afrika panalipa! Jamaa wamefungua hoteli yao ya pili kwenye Jiji la Jo'berg. Sisi tunaotarajia kuanza kusafiri safiri lazima tukatesti mitambo kuona yaliyomo kama yamo kweli! Kiukweli inapendeza kuona uwezekezaji mkubwa hivi unafanyika katika sekta hii ya utalii na ukarimu...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta ametusaidia kuwaambia wanaotaka katiba mpya kuwa siyo jibu la matatizo yetu

    Kenya Considers New Constitution To Avoid Perennial Violence Kenya’s President Uhuru Kenyatta has called for a change of the constitution, outlining the benefits it will have for future generations. “We spend almost two years after every election on conflicts,” he said, “and that is what we...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Bei ya pikipiki aina ya SanLG mpya

    Habarini, naomba mwenye kufahamu bei ya Pikipiki za SanLG ikiwa mpya anifahamishe. Nahitaji bei kwa Kahama au Mwanza ili iwe rahisi kwangu kufika huko kutokea kijijini kwetu
  13. JamiiForums Tanzania Katiba mpya itampa kura Lissu

    Katiba yetu inahitaji kuandikwa upya kwakuwa Ina kasoro nyingi sana na viraka vingi. Uandishi wake umeshatafuna hela zetu nyingi Sana lakini hatukufika mwisho kwenye awamu ya 4 na haitaandikwa upya kwenye awamu ya 5 ingawa rasimu ipo. Na inavyoonekana hakuna Rais kutoka CCM atapenda iandikwe...
  14. JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga: Kocha mpya aambiwe mapema

    Wasalaam Aambiwe kwamba 1. SIMBA SC is another level hapa VPL 2. Viwango vya wachezaji wa Yanga ni vya chini ukilinganisha vya wale wa Simba 3. Kwenye derby ya Kariakoo asijichanganye akachezesha free game kisa achezeshe pira biriani, atajuta (a) kuijua Simba (b) kuifundisha Yanga Mpelekeeni...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa sababu ya Kocha Mpya Hersi na Dr. Mshindo Msola wataka kuzichapa. Fukuto ni kubwa sana

    Chanzo kinasema kumekuwa na maneno ya chini chini hasa Dr. Mshindo Msolla akiona kama Hersi anajipigia Kampeni aje agombee nafasi ya Uenyekiti. Hivyo amekuwa kimbelembele sana kwenye mambo yanayohusu Yanga hata kama si ya Ngazi yake. Ugomvi wao ulianzia kwenye hii picha kila mmoja akitaka...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa 'Kauli' hii ya Kocha mpya wa Yanga SC Mburundi Cedric Kaze tayari barua yake ya Kuachishwa Kazi imechapwa na imetunzwa

    “Sichezeshi wachezaji 11 bora uwanjani nachezesha timu bora uwanjani. Sichezeshi jina wala staa, nachezesha timu ambayo italeta mafanikio na usishangae mchezaji mkubwa akawa anakaa benchi. Tunaangalia timu zaidi” Cedric Kaze' HabariLeo na Mwanaspoti Kama kuna Kosa ambalo huyu Kocha Mburundi...
  17. JamiiForums Tanzania Meli mpya kwa ajili ya Ukerewe yakamilika kama ilani ya CCM ilivyotaka, imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Octoba 2020

    CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE kupata ajali. Leo imekamilika kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300. Tatizo la usafiri Ukerewe kuwa historia. Kama ilani ya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Yanga yamsajili mshambuliaji kutoka Burundi

    Ni yule aliyefunga goli jana katika mechi ya Tanzania na Burundi ana miaka 33
  19. U

    JamiiForums Tanzania Kwa Kutambua Mchango Wake Mkubwa Kwenye Sekta Ya Elimu Nchini, Skuli Mpya Na Ya Kisasa Yapewa Jina La Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amefungua Skuli ya Sekondari Mwanakwereke, ambayo hivi sasa inatambulika kwa jina la Skuli ya Sekondari ya Dkt. John Pombe Magufuli. Katika ufunguzi huo, Dkt. Shein amesema katika kipindi cha miaka 10 ya uongozi wa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Miguu kuuma na uchovu mwili kuuma inaweza kuwa ni dalili mpya ya Corona?

    Nimesikia watu wengi Sana tangu kipindi Cha korona kianze wanalalamika miguu kuuma, na maumivu ya mwili bila sababu! Je, inaweza kuwa dalili mpya ya korona? kwamba labda mili ya watu Sasa imekuwa sugu na korona kiasi Cha mili ya watu imejitengenezea ant-bodies (Kinga) ambazo zinapambana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…