Ngoma mpya ya Rostam - Sifa

Ngoma mpya ya Rostam - Sifa

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2019
Posts
3,871
Reaction score
6,475
Hawa jamaa wamenipa sababu nyingine ya kutoacha kuwakubali

Kama kawaida ubunifu wao wa hali ya juu unaofanya kuwakimbiza wasanii wengine wa hip hop kwa Trending na Views nchini

Verse ya Stamina imenivutia zaidi Kama kawaida flow zake, vionjo na misemo yake tata imeendelea kutamalaki

Chupa moja kali sana haswa haswa kipande cha roma kiko fresh baridi barafu

Sina Comment yoyote kuhusu , Chorus ambayo kaikamatia Ben Pol

Hawa jamaa Eko👏

Stamina -- "Kifuani chuchu dede ,mpka sijui ni saa ngapi...Mama umepewa maziwa ili watoto wavulie Samaki"
 
Hawa jamaa Eko[emoji122]

Stamina -- "Kifuani chuchu dede ,mpka sijui ni saa ngapi...Mama umepewa maziwa ili watoto wavulie Samaki"
Liko moto hatari,
 
Ni yupi hapo alisema ameacha muziki? Roma au Stamina?
 
Hawa jamaa wamenipa sababu nyingine ya kutoacha kuwakubali

Kama kawaida ubunifu wao wa hali ya juu unaofanya kuwakimbiza wasanii wengine wa hip hop kwa Trending na Views nchini

Verse ya Stamina imenivutia zaidi Kama kawaida flow zake, vionjo na misemo yake tata imeendelea kutamalaki

Chupa moja kali sana haswa haswa kipande cha roma kiko fresh baridi barafu

Sina Comment yoyote kuhusu , Chorus ambayo kaikamatia Ben Pol

Hawa jamaa Eko👏

Stamina -- "Kifuani chuchu dede ,mpka sijui ni saa ngapi...Mama umepewa maziwa ili watoto wavulie Samaki"
Weka lyrics zake hapa tufrahi wananzego
 
Back
Top Bottom