mpya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Staili mpya ya Harmonize kukohoa kwenye mdundo (Beat) inanikosha sana

    Nimetokea kuvutiwa/kunogewa sana na hii style mpya ya Harmonize ya kukohoa kohoa kwenye beat wakati akiwa anaimba, kweli huyu jamaa ni teacher kama anavojiita. Kudos kwa hilo.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Paving blocks zimefubaa mno. Je, nitumie rangi gani ziwe mpya?

    Wakuu naombeni ushauri wenu nitumie mbinnu gani zirud kuwa mpya?
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Jaji Werema: Tumepitia magumu awamu ya 5, Katiba Mpya ni muhimu

    Huyu alikuwa Mwanasheria Mkuu awamu ya nne. Anasema nchi imepitia magumu sana awamu ya Magufuli. Kwamba Rais alitumia vibaya madaraka makubwa aliyopewa kwenye katiba iliyopo.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, ushoga umeanza kukubalika Tanzania?

    Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria. Je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya kudai Katiba Mpya wazinduliwa

    Katiba ni mali ya wananchi. Jitihada za kutufikisha kuliko haki haziwezi kufanyikia gizani. Hii mambo ya kina TCD na kina Zitto haziwasimamishi wasioridhika nazo kuchukua mwelekeo mwingine. Mkakati mpya kudai Katiba Watu ambao hawakuwahi kukemea ndivyo sivyo za tume ya uchaguzi, polisi dhidi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Balozi mpya wa China nchini Marekani aonesha tofauti ya uongozi wa busara kati yake na mwenzake wa Marekani

    Ushindani mkubwa kati ya Marekani na China umekuwa ukifukuta na kuatiliwa sana katika miaka ya hivi karibuni. Mtazamo hasi wa Marekani dhidi ya China unajidhihirisha wazi zaidi katika kipindi hiki, kwani Marekani bila aibu wala kificho imekuwa ikiishambulia hadharani kwa maneno na kuinyooshea...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Tanzania mpya tuvikatae Visingizio vyote

    Ukweli, haki, nia, dhamira nk, havijifichi: Sikiliza wanasiasa wote Samia, Majaliwa, Mbowe, Zitto, Lissu, Lipumba nk. Wasikilize kina Ndugai, Kabudi, Msukuma, Polepole, Bulembo, Nape nk Ni kitu gani bado hakijulikani? Kwa hakika watake wasitake Tanzania mpya inakwenda kuzaliwa. Chile...
  8. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Sakata la viongozi wa CCM kulazwa mahabusu lachukua sura mpya

    Babati. Sakata la kukamatwa na polisi na kulazwa mahabusu kwa viongozi wawili wa CCM wilayani Babati Mkoa wa Manyara, kwa madai ya kumpiga askari Polisi limechukua sura mpya baada ya mashuhuda wa tukio hilo kudai kuwa polisi huyo hakupigwa. Viongozi waliokamatwa na kulazwa mahabusu katika kituo...
  9. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr Kigwangallah Waziri mpya wa Afya

    Taarifa kutoka vyanzo vya uhakika Dr Kigwangallah ndiye Waziri mpya wa Afya. Wazee wa Urambo wameshafanya yao bila kijana wao kupewa nafasi hakuna namna.
  10. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom itatumia nambari ya mwanzo ya 07 katika kampuni mpya ya Safaricom Ethiopia.

    Kampuni mpya ya Safaricom itakayoitwa Safaricom Ethiopia, itatumia nambari ya simu ya 07..... ambayo inatumika hapa Kenya. Kila la kheri kwa Safaricom wanapoanzisha kampuni ya pili ya mawasiliano katika historia nzima ya Ethiopia. Safaricom set to use 07 prefix for Ethiopia phones...
  11. mama D

    JamiiForums Tanzania Rais Pongezi kwa kuona umuhimu wa kuwa na wizara mpya. Tunaomba iwe Wizara ya Jinsia na Watoto na sio Wanawake na Watoto

    Sijui kama ni waandishi wetu au ndio mpango ila Maendeleo hayachagui jinsia Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote KAZI IENDELEE
  12. B

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema alipotoa Utabiri Mahsusi kwa Awamu #6

    Awaye yote atake au asitake Mola anayo namna yake ya kusema na waja wake: Ikumbukwe kuwa imeandikwa, (Mathayo 7:15-16) "manabii wa uongo mtawajua kwa matunda yao." Izingatiwe kuwa utabiri wa Lema unafungamanishwa moja kwa moja na umuhimu wa matendo ya haki kwa wengine, kuweza kuivuna...
  13. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania SOLD: Friji mpya ya Boss BS 70 SVR inauzwa

    Friji/Jokofu mpya Inauzwa Model: BS 70SVR Location: Mbezi luis Bei: 290,000/= Mawasiliano: 0768776716
  14. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Kishindo kingine cha Rais Samia, tunasubiri jina la Waziri mpya wa Jinsia

    Rais Samia Suluhu Hassan, anaendelea kutakata na kuitakatisha Tanzania. Amejibu ombi la muda mrefu la watu wengi, kuhusu kuitenganisha Wiazara ya Afya na idara nyingi zilizokuwa chini yake. Rais amesema sasa Wizara ya Afya itashughulika na Afya pekee, kisha Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wapinzani anzeni upya, Rais Samia ni mpya pia

    Chadema wana wivu na Zitto Kabwe kwa kuupiga mwingi mbele ya Rais Samia. Mama Samia alionekana kumuelewa zaidi Zitto kwa lunga na tone aliyotumia kuhusu Mbowe kuliko akina Lisu na Lema. Issue is not what you say but how you say it. Rais Samia hahusiki na sakata la vyama vya siasa kuzuiwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania BASATA huu Wimbo mpya wa Dully Sykes uitwao 'Bigi' mmeubariki kwa Mikono miwili kabisa?

    Napenda sana Mashairi yake yasemayo... Bigi yangu Nene Bigi yangu Pana Bigi yangu Kubwa Bigi yangu Tamu Naona hata Watoto nao wameupenda.
  17. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Krismas na Mwaka mpya vinawadia: Misururi ya migari ya kifahari kwenda Kaskazini (Uchagani ) Toka Dar balaa.

    Nipo Korogwe naelekea Bagamoyo. Gari nilizopishana nazo ni hatari, . Nilipouliza jamaa mmoja akaniambia ni za Wananchi wanaenda makwao kusherehekea Huko Uchagani kuna nini siku za Krismas na mwisho wa Mwaka? Hoteli za njiani maeneo ya Korogwe hadi Mazinde zimefurika .
  18. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marais Samia na Kenyatta watia saini mikataba saba mpya ya kuendelea kushirikiana

    Mama ameamua liwalo na liwe potelea mbali, mbwai na iwe mbwai, biashara ifanywe, wale walioaminishwa chuki (buku saba) raundi hii sijui watapasuka tu. Kila mtu ajitume, masoko yanaendelea kufunguliwa, ushindwe mwenyewe. Kama una matikiti yako Mpanda hapo Tannzania, soko liko wazi Kenya yote...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mataga, UVCCM na CCM Mpya mbona mnamtelekeza Polepole na Gwajiboy?

    Enzi za utawala wa kisahunga haya makundi mawili yalikuwa active kama nyuki. Ukigusa mmoja wao basi ujiandae kupata mashambulizi kutoka kila kona. Pengine kwa sababu tulikuwa uchumi wa kati na huenda walikuwa wanalipwa vizuri. Si unajua CCM maslahi? Sasa awamu hii joka walilolifuga...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania WHO yaonya kuhodhiwa kwa chanjo kutoka na aina mpya ya kirusi cha Omicron

    Shirika la afya duniani WHO, leo limeelezea wasiwasi kwamba mataifa tajiri yanayotishiwa na kuzuka kwa aina mpya ya kirusi cha Omicron huenda yakahodhi chanjo za ugonjwa wa COVID-19 na kutatiza usambazaji wa chanjo hizo kote duniani hali itakayotatiza juhudi za kukabiliana na janga hilo. Mkuu...
Back
Top Bottom