Leo hii huku tz mtandao cheap wa internet kwa jina la Halotel, wameamua kupandisha gharama sasa nikawa najiuliza, is tz still the cheapest in mobile internet??
Zifuatazo ni bei
Kwa sasa average price ya gb ni kama 1350 tzs / 65.2 kes
rate ( 1 kes = 20.7 Tzs)
Huko kwenu majirani hali ikoje??
Ukifikiri kwa makini, wote waliokuwa mabosi wa Sabaya chini ya Magufuli na wakuu wote wa vgombo vya ulinzi na usalama hawakupaswa kuendelea kuwa madarakani leo hii ila katiba ndio tatizo kwani haitoa hata fursa ya kufanya uchaguzi tupate viongozi wengine ambao bila shaka wangekuja na watendaji...
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia mbili thelathini na tatu (233) kama zilivyoainishwa katika tangazo...
Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji wanaotaka Tume Huru ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo
Waandamanaji zaidi ya 10,000 walitapakaa katika mitaa ya Kinshasa ambapo waliharibu sanamu ya Rais Felix Tshisekedi
Maandamano hayo yamekuja baada ya...
MIEZI SABA BILA JPM;NOTI MPYA ILIYOPAKWA DHAHABU,ALMASI, TANZANITE INGEILETA TANZANIA MPYA KATIKA USO WA DUNIA.
Leo 10:15hrs 17/10/2021
Nianze na maswali matatu yatakayotuongoza katika kujiuliza kama tunaweza kutengeneza pesa yetu na thamani yake ikapimwa kwa dhahabu,Almasi au Tanzanite...
HUKUMU YA SABAYA, UDIKITETA NA MADAI YA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA
Huko nyuma, sisi Askofu tulionya mara nyingi kuwa nchi yetu ilikuwa imeabiri meri iliyokuwa inatupeleka katika ng'ambo ya Udikiteta na Ufashisti. Tulikemea vitendo vya watendaji kudhalilishwa hadharani katika mikutano ya...
Nasikia kwa sasa Mr. Dar es Salaam hataki kabisa kutumia Mitandao ya Kijamii ( japo kuna muda) huwa anaibuka na pia anasoma mara Ujerumani mara Afrika Kusini na hata akiwa Tanzania amekuwa ni Msiri na Mtu wa Kujificha na kuhamahama kama Digidigi na hata wale Malaya wake wa Beach Kidimbwi akina...
Habari waungwana,
Kuuliza sio ujinga, nilikuwa naomba kujua kuhusu huu mfumo mpya wa Insurance za magari wa kutokuwa na sticker za kubandika kwenye kioo.
Je, inapaswa utembee na cover note kama ithibati kuwa Insurance yako ni hai. Hofu yangu ni hawa ma traffic wetu wanaweza kukamata na...
Ina 128 Gb , Android version 11, battery Ina 3520 mAh ya ndani kwa ndani , Ina fingerprint ,ram 4 Gb na Ina rangi nyeusi...
Haina tatizo lolote na mpya kabisa haijawahi kutumika imetoka turkey inauzwa kwa laki 3 tu(300k).
Napatikana tandika sokoni wilaya ya temeke Dar es salaam...
0754273820...
Uwepo wa mustakabala mpya wa mahusiano baina watu na watu pia watu na serikali hauwezi kudunishwa.
Ni muhimu kuzipitia sekta mbalimbali katika kuamshana kwenye harakati hizi takatifu.
Tuanze hapa na Sekta ya Usafirishaji:
Sekta hii ni katika sekta zilizonyanyasika vilivyo.
Ukitaka...
Nimekuwa nasumbuliwa na pressure kwa muda sasa. Leo nimepima ilikuwa 187 juu na chini 115.
Baada ya mashauriano na dr nimeamua kuanza kutumia dawa.
Nimepewa dawa za kutumia wiki moja then nirudi kucheck tena.
Ndio kwanza nina 44 yrs. Nitazimiss sana lite, na lager.
Sahau Tozo, sahau machinga, sahau COVID-19Hatari mpya inayowakabili watoto na wajukuu wetu ni Superman mpya ambaye ni shoga.
Ushaur;
Serikali yetu ingetunga Sheria mathubuti za kuzuia vikaragosi hivyo visionyeshwe wala kufanya mijadala kama hiyo.
Maana wazung wanaweza sema ni haki ila ni kwao...
Tusiyopenda kuyasikia kwenye Elimu ya Uraia.
Kimsingi madai ya Katiba mpya kwa minajili ya kushika nafasi ya urais naamini ni ndoto isiyotimia kwa vizazi vingi vijavyo. Uki-study historia mahala pengi utakubaliana nami kwamba madai ya Katiba mpya siyo kwa ajili ya wanaogombea urais kuingia...
Bwana Yesu asifiwe wapendwa.
Kama tulivyokwishatangaziwa na Mwenezi wa CCM komredi Shaka kuwa leo Rais Samia atakuwa na jambo letu.
Tega sikio hapa hapa bwashee.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Zanzibar ilikuwa ianzishe shirika lake la ndege na fununu ilikuwa liwe tayari limeanza safari za Arusha Zanzibar na Zanzibar China,kilichotokea hakijulikani mpaka Machogo wakaziteka na kuwaacha wapemba wakishangilia hewa.
Ungejiuliza kwa nini zile Ndege zimepokelewa Zanzibar ? Na sio Daresalamu ?
Hoja kuu ya Polepole ni unyonyaji na ukandamizaji unaofanywa na nchi za Magaribi (Ulaya na Marekani) kwa nchi masikini kama zetu.
Ni kwa bahati mbaya sana ndugu Polepole anazungumza kama mpigania uhuru wa miaka ya 60.
Polepole anapaswa kufahamu kwamba hakuna mtu atakeyetoka nje ya nchi yetu...
Mwanzo | TRC
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amepokea Behewa mpya 44 za mizigo za Shirika la Reli Tanzania – TRC zilizonunuliwa kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Reli ya Kati – TIRP, bandarini jijini Dar es Salaam Oktoba 06, 2021.
Behewa hizo zitatumika kusafirisha mizigo...
Ndege mpya mbili zitapokelewa Ijumaa ya tarehe 8/10/2021.
Ndege hizo zitapokelewa katika uwanja wa ndege wa Amani Zanzibar.
Tujikumbushe mambo ya Muungano.
Ukurasa wa 218 na 219 wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977, unataja Mambo ya Muungano ambayo ni:-.
01. Katiba ya Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.