Katiba mpya ni dai linalotokana na utashi wa kisiasa kwa kiwango kikubwa lakini pia ni zao la mwamko mkubwa wa wananchi kuchoshwa na namna wanavyoongozwa.
Na mara nyingi kuchoshwa huku lazima kutokane na kukata tamaa ya maisha kwa walio wengi lakini pia kupata mwamko mkubwa wa elimu ya...
Lile jamaaa kwa kweli Mungu alisamehe tu, limeweka mgomo bana linatafutaa angle mbaya ili liweze kutweet hapo roohoo inaliuma vibaya mnoooo
Kamtafute ZUZU MSUKULE mpeane ideas jinsi ya kureport kama mnayokaaaga na kukubaliana ukireport habari za simba uwe unamuita Mo dewji BWANYENYE
unaboa...
Soka la Tanzania linakuwa kwa kasi sana. Inabidi sasa mambo ya ndumba na kutegemea wagaga wakienyeji tuachane nayo.
Hii hapa ni website ya kocha wetu mpya wa Simba
https://en.pablofrancomartin.com/
Wenzetu ulaya kila kitu kinawekwa wazi.
CV yake hii hapa chini kwa ufupi tu
Awali alitaka Mshahara wa Tsh Milioni 350 kwa Mwezi ila baada ya Majadiliano na Klabu aliyoipenda ya Simba baada ya Kusimuliwa na Timu ya Sevilla ya Hispania iliyokuja Tanzania kucheza na Simba SC sasa amekubali kupokea Mshahara wa Tsh Milioni 250 kwa Mwezi na mpaka sasa ameshalipwa tayari...
Ebana mimi binafsi sio shabiki wa msanii yeyote isipokua mziki mzuri.
Naamini kuwa Harmonize ni msanii mwenye kipaji kikubwa sana cha uimbaji ila sasa baada ya kusikiliza hii album yake mpya nimesikitika sana.
Inaonesha wazi kuwa fikra na malengo yake kupitia album hii ni mazuri lakini...
Kumekuwa na taarifa nyingi za kupotosha kuhusu chanjo za COVID-19. Mojawapo ni uvumi kuwa chanjo za COVID-19 zinasababisaha kuibuka aina (variants) nyingine za coronavirus. Lakini je, ni kweli?
Kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (CDC), Chanjo za COVID-19 hazitengenezi au...
Mbosso ni mmoja wa wasanii ambao umesainiwa chini ya lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa bongo Diamond Platnumz. Alisainiwa baada ya kuondoka kwenye bendi maarufu ya Yamoto ambayo walikuwa bendi ya wanachama wanne.
Na Kumfanya awe msanii pekee aliyesainiwa chini ya lebo ya Wasafi. Mbosso ni...
Uzoefu wake kwa kweli kwa sasa inabidi aongeze mipaka!? Watu wale maisha ya kisasa.. Tunamkaribisha KANDA YA ZIWA VICTORIA... UTAJILI WA MTU MMOJA UNA MAANA KUBWA DUNIANI
Kwa uchache sana ili nisiwachoshe.
1. CCM ni chama cha hovyo, hakizingatii Katiba ya nchi wala sheria. Mambo yanafanywa kwa utashi zaidi. Utasikia Rais katoa bilioni 2. Inatia uchungu sana.
2. CCM ni chama cha hovyo hata mambo yaliyopo kwenye katiba hii mtumba hawataki kuzingatia. Mtu anapiga...
Tukubali kuziweka siasa pembeni. Kama ilivyo kwa mwenda kuoga, tukubali kuyavulia maji nguo, tuukabili ukweli usiosemeka:
1. Ridhaa ya kuongoza nchi hupatikana kutoka kwa wananchi.
2. Haiwezekani popote kuwa ridhaa hiyo ikatolewa kwa mtu ambaye agenda zake hakuna kuheshimu usawa, uhuru wala...
Kwa maoni yangu wimbo wa " Baba" by Ney wa Mitego ni " commercial" Na sio wimbo wa kisiasa kama watu wengi wanavyo weza kuutafsiri
Msanii Ney wa Mitego amemtumia Hayati Magufuli kama " point of contact" kufikisha ujumbe wenye lengo la kupush agenda yake ktk biashara ya muziki wake
Lengo Hasa...
Habari zenu,
Nimesikiliza na kufuatilia mijadala katika club house ya CHADEMA,mijadala ya humu JF na Twitter space hakika inaonesha wadau hasa wapinzani wamegotea katika mbinu za kudai katiba mpya na wanaona hakuna mbadala mwingine wa kufanya siasa na kuendesha maisha yao mpaka katiba mpya...
Wanajukwaa,
Sina maneno mengi. Wanasema kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Nchi hii inahitaji wazee wa aina hii ili kupona. Mimi sina cha kuongeza. Sikiliza mwenyewe hapa:
Kuna watu hasa viongozi wachache ambao kwa makusudi na maslahi yao binafsi wanayoyajua wao wamekua wakitumia mwanya wa ujinga wa wananchi na shida zao kuwaambia maneno ya Kitapeli eti katiba mpya haiwezi kuwapa maji,afya wala Barabara,eti wanaotaka katiba mpya ni wenye uchu wa madaraka. Huu...
Wanadrafi wenzangu ni kwa muda kidogo nazisikia hizi wanasema ooooh kuna kete tatu mpya, hivi zinategwa vipi? Tupeane hizo pattern kama unazijua. Ahsante
Rais Samia alisema tumpe muda ajenge uchumi kisha suala la Katiba Mpya litafuata. Hakulipuuza, alisema tumpe muda muda.
Naona sasa anakwenda vyema, hii awamu ya kwanza katika Urais wake (2021-2025) itatosha sana kujenga uchumi imara.
Naamini kama Mungu atatuweka hai, 2025 kwenye kampeni zake...
Tunakwenda kumaliza mwaka, vipi nikikwambia kuna mahali sasa hivi yupo mwanaume mwenzetu anakula viapo, anajiambia mwakani naacha pombe, au naacha sigara, au naacha mambo ya wanawake, michepuko na nyumba dogo, au naacha mambo ya kufuatana na marafiki kama mtoto wa sekondari, au mwakani naacha...
Msanii Ras Mtimanyongo anasema kamwe Wamachinga hawawezi kuondoka Kariakoo kwa sababu ndio sokoni kuanzia nchi hii ijitawale.
Mtimanyongo anasema Wafanyabiashara kwao ni Samora zamani Independence avenue na Kitumbini na ndio maana hadi sasa hata vijiduka vya kariakoo ni vya ujanja ujanja tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.