Je, wajua ni marufuku kuhamia nyumba mpya bila kibali cha Manispaa?

Habari wadau,

Kama ulikuwa haujui leo ndio nakujulisha kwamba pindi unapomaliza kujenga nyumba yako ili uweze kuhamia unaitaji kibali toka Halmashauri husika kinaitwa "Certificate of Occupation"
JamiiForums2036907036.jpg
 
Dawa ni moja tu ...unahama usiku kwa usiku hapo unaokoa mengi
Madeni mtaani
Kodi kama unadaiwa
Traffic wasumbufu
Tozo na ada ya kuhama
Bili za maji, umeme na takangumu

Yaani siku kuhama bongo ni kama kusafirisha mzigo wa magendo
 
Ndio utaratibu huo mkuu. Ila bongo nyoso sana. Sheria hazifuatwi sababu ya hali duni ya watu wengi.

Tunajenga bila vibali wala michoro. Tunahamia kwenye makazi mapya hata kama hakujakamilika ili kukimbia kodi.

Ila Certificate of Occupancy ina faida nyingi sana kwani hutolewa baada ya kujiridhisha kuwa nyumba inafaa kwa kuishi na imekidhi matakwa ya kiusalama yote.

Na kama ni public building basi ni lazima pia upate na fire safety Certificate. Very important.
 
Wanakaguaga kweli au wanakuja 'mnaelewana tu'? Mjini pagumu. I remember kuna rafiki yangu alikua anaomba kibali 'file likapotea' kumbe ana mshkaji on the inside akakuta lipo chini ya meza watu wamewekea miguu
 
Duuuh Majanga ,Kibali cha ujenzi wanatoa cha nini? Unajend ili uje kufanyia nini? Si wanatoa Miaka mi3 kumaliza tangu upewe kibali?
 
Dawa ni moja tu ...unahama usiku kwa usiku hapo unaokoa mengi
Madeni mtaani
Kodi kama unadaiwa
Traffic wasumbufu
Tozo na ada ya kuhama
Bili za maji, umeme na takangumu

Yaani siku kuhama bongo ni kama kusafirisha mzigo wa magendo

Mie nilihamisha kimoja kimoja enzi hizo nguo unaeka kwenye mfuko wa ramboooo

Halafu nkawa kila ijumaa jioni naingia geto nakaangaaa KtMoto hahaaaaa nalaaa, jmosi nzima nakuwa nasafisha mazingira, majirani wakajua ni kibarua/mlinzi

Muda ukaenda badae nyumba ikajaa vitu na mimi nkazoeaaa....hata wale jamaa wanaokaribisha wahamiaji wapyaaa hawakuelewa somo, sikuwaonaa kamwe
 
Hahahaha
 
Back
Top Bottom