mpya

  1. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Watu wa Muleba hawataki Kumegwa na Mkoa mpya wa Chato

    Tibaijuka anasema yeye kama mtu wa Muleba na watu wote wa Muleba hawataki Kumegwa na watu wa Chato. Wanalalamika kwamba kwa nini wamegwe wao?
  2. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Biden invited 110 Countries - Summit for Democracy, Tanzania mpya haimo!

    Summit for Democracy: Invited Participants Albania Angola Antigua and Barbuda Argentina Armenia Australia Austria Bahamas Barbados Belgium Belize Botswana Brazil Bulgaria Cabo Verde Canada Chile Colombia Costa Rica Croatia Cyprus Czech Republic Democratic Republic of Congo Denmark Dominica...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya kuondoa tatizo la umeme Tanzania ni kwa kuwawajibisha mawaziri kama January Makamba

    Kama taifa letu litapata Katiba mpya basi tatizo la umeme hapa nchini Tanzania litakwisha kabisa. Maana kama tutakuwa na mawaziri mizigo na wazembe wenye harufu za ufisadi basi itakuwa ni suala kuwaondoa kwa nguvu ya umma tu. Rasimu ya Warioba ilipendekeza Mawaziri wasiwe wanateuliwa kati ya...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, Watanzania mmejiandaa vipi kisaikolojia kwa ujio mpya wa Richmond (Dowans)?

    Update: 16/05/2023 Hayawi hayawi sasa yamekua. Megawati 180 kwa miaka 25 Zanzibar Update: 04/12/2022 https://www.jamiiforums.com/threads/je-ni-kweli-iptl-imewasha-mitambo-yake.2045101/ ========================== Update: 08/12/2022...
  5. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a

    Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a umetoka, na inaonekana Google imeamua kuweka design mpya kama Google Pixel 6. Itakuwa ni style moja katika simu zake zote. Simu hii mpya ya gharama ya wastani (mid-ranger), itakuwa na design mpya, kamera zitakuwa katika style ya mstari mmoja (style ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutumia Detention Register ya Polisi ukoje? Ni kila mwaka na Register mpya au ni mpaka iliopo ijae?

    Hili jambo kuna watu wanalielewa vizuri sana na wanaweza kusaidia jamii kujua ukweli ila Watanzania tumekuwa waoga na hivyo wenye kujua wamechagua kukaa kimya. Upotoshaji unapata nafasi kwasababu hii kesi ni ya kisiasa kiasi kwamba hata Polisi wanaolewa utaratibu ukoje wanaweza wasiseme ukweli...
  7. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania CCM wameanzisha mgao wa maji na umeme ili kueneza propaganda ya kukataa Katiba Mpya

    Miezi michache iliyopita dai la katiba mpya lilipamba moto. CCM wakaja na hoja kwamba wananchi wanataka maji na umeme na sio katiba mpya. Baada ya kuona hoja ya hitaji la maji na umeme haieleweki hatimaye hangaya kaamuru mgao wa umeme na maji ili kuhalalisha madai yao. Watanzania tambueni huu...
  8. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kama Katiba Mpya ni kikwazo, iliyopo ifanyiwe marekebisho ili kukidhi mahitaji ya sasa

    Katiba ndio chombo pekee ambacho kinawapa wananchi mamlaka ya kujitawala. Katiba ni mali ya wananchi na sio mali ya watawala wanaowekwa na wanachi kwa njia ya kura. Hakuna kificho kuwa tangu mwaka 1977 ilipotungwa katiba ya JMT taifa letu limepata mabadilijo makubwa. Na kadiri mabadadiliko...
  9. Kasomi

    JamiiForums Tanzania WhatsApp imetoa App mpya kwa watumiaji wote wa Windows

    WhatsApp imetoa app mpya kwa watumiaji wote wa Windows. App mpya ya WhatsApp imebadilishwa UWP (Universal Windows App) yote ili kuendana na Windows 11 na Acrylic graphics Effects mpya za Windows. Kwa sababu inatumia mfumo mpya, Inafunguka faster sana (chini ya sekunde 2); ina maboresho ya...
  10. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya MediaTek imetoa chip mpya

    Kampuni ya MediaTek imetoa chip mpya ambayo itakuwa inatumika katika simu kali za bei nafuu ili kushindana na soko la Qualcomm. MediaTek inafahamika sana kwa kutengeneza processor za simu za bei nafuu kama vile Tecno, Realme, Oppo, Infinix n.k. Dimensity 9000 ni ubongo wa kwanza wa simu kutumia...
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Meta imetengeneza Haptic Gloves zenye hisia na uwezo wa kugusa vitu katika ulimwengu wa kidigitali

    Kabla ya Facebook kujiita Meta, imewekeza kwa ukubwa katika majaribio ya vifaa vya VR na kuanzisha Meta Reality Labs ambayo inafanya utafiti na kutengeneza viungo bandia, vifaa vya VR vya kuvaa, mifumo ya AR/VR na teknolojia ya kutafsiri hisia za mwili na kuunganisha na vifaa vya kiteknolojia...
  12. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Instagram inaweka mfumo wa kuhakiki akaunti mpya ambazo zinafunguliwa

    Instagram inaweka mfumo wa kuhakiki akaunti mpya ambazo zinafunguliwa na akaunti ambazo Algorithm itahisi ni bot au Spam Account. Mfumo mpya utamhitaji mtumiaji mpya kujirekodi video fupi ya Selfie, ambayo inatumwa na kukaguliwa kama anayefungua akaunti ni mtu na sio robot. Instagram itaanza...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
  14. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Muonekano mpya wa Oneplus Nord N20 wavuja

    Muonekano mpya wa OnePlus Nord N20 5G umevuja, muonekano mpya umebadilika sana na imekuwa katika muundo wa flat-edges kama iPhone 12 na iPhone 13. Simu hii ya Mid-range (simu ya daraja la Kati/Wastani) itakuwa na muonekano mpya katika sehemu ya kamera, itakuwa na kamera tatu (na sio nne kama...
  15. J

    JamiiForums Tanzania ATCL na hofu ya kupigwa oda ya ndege mpya nne za kisasa

    === Tanzania tayari tuna ndege mpya 11 za kisasa zinazoifanya ATCL kuwa mshindani wa Rwanda Airlines,Ethiopia Airline na Kenya Airways katika biashara ya Usafiri na usafirishaji wa anga Africa. Pamoja na kwamba kimahesabu ATCL inaonekana kutengeneza hasara lakini indirectly ATCL inafaida kubwa...
  16. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Katiba Mpya ni ajenda ya Wanaotaka Madaraka, umekosa ushawishi

    Walianza na kile walichokiita Kongamano la Katiba. Kongamano lilikuwa linatawaliwa na bendera za CHADEMA, na kuonesha kwamab ni movement ya CHAMA wala haina uhalali na mashiko mbele ya Watanzania wengi. Halafu unakusanya watu, wanatoa maoni juu ya nini kiandikwe kwenye Katiba Mpya wakati huna...
  17. Area 56

    JamiiForums Tanzania Don Castro kocha mpya wa viungo Simba

    Makolo wameendelea kutuletea vituko, na sasa wameleta zungu la unga, Don Castro kama kocha mpya wa viungo. Hawa jamaa lugha inaweza ikaja kuwa kikwazo kwao ukizingatia Makolo wengi elimu ndogo.
  18. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni uzushi

    MAISHA: Neno hili MAISHA ni mfumo wa namna binadamu duniani, atende kama alivyo agana na Muumba wake Mungu. Lakini kuishi kivingine, hiyo namna nyingine sio maisha. Huwenda tukaiita Unyama, Upuuzi n.k. Maisha safi, ni vitu vitatu KUVISHIKA. Navyo ni~ 1) Uaminifu, 2) Heshimu na 3) Utii...
  19. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Netflix imeanza kuweka format mpya ya video inayoitwa AV1

    Netflix imeanza kuweka format mpya ya video inayoitwa AV1. Ni High Quality format ambayo inawezesha video kuwa na quality kubwa sana bila kutumia data sana, kuliko format za MPEG4 na HEVC. AV1 ni format ambayo imekubaliwa kutumiwa na makampuni makubwa kama vile Amazon, Facebook, Google, Amazon...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya wamachinga, malori Kariakoo ni shida mpya

    Mamlaka zisipoliangalia hili kwa sasa basi baadae itakuja kuwa ngumu kama ilivyokuwa kwa wamachinga. Mitaa husika hasa ni mtaa wa agrey, masasi, magila, narun'gombe na tandamti, yote ni kati ya mtaa wa ndanda na muheza, hapo kuna kero ya kufa mtu kwa wakazi wa maeneo hayo na hata wapita njia...
Back
Top Bottom