mpya

  1. T

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kwamba kila tatizo hapa nchini litatatuliwa na Katiba Mpya

    Kumezuka kasumba ya wanasiasa hasa wa upinzani kuwaaminisha wananchi kwamba mambo matatizo mengi tuliyo nayo, yanatokana na katiba mbovu tuliyonayo. Madai haya yanaweza kuwa na ukweli ila ni kwa kiwango kidogo sana. Ukweli ni kwamba hata katiba bora yenyewe huwa ni matokeo ya msuguano wa hoja...
  2. BAK

    JamiiForums Tanzania Mtanzania gani anayejitambua na ana mapenzi ya kweli na Tanzania hataki Katiba Mpya?

    Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna By Daniel Mjema More by this Author Vuguvugu la madai ya Katiba...
  3. Mgagaa na Upwa

    JamiiForums Tanzania Manara atoa onyo kutofua jezi mpya ya simba kutokana na quality kuwa mbovu

    Baada ya semaji la nchi bugatinho kuwatawdhalisha kolo utelembwe kutofua shumiz za vunja price kwa quality mbovu madhara yake yashaanza kuonekana kabla ya kuanza kufuliwa,zikifuliwa si zitakua balaa
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jaji Francis Mutungi atangaza kuzuia Mikutano na Makongamano ya Vyama vya Siasa kwa muda kutafuta suluhu

    Msajili wa milele wa vyama vya siasa Tanzania, Francis Mutungi amekubali kutumika hadharani na CCM baada ya kutoa Tangazo la kukataza makongamano ya vyama vya siasa , kwa maelezo kwamba wanasiasa wasubiri kwanza kikao na IGP katika tarehe isiyojulikana. Kwa wasiojua katiba ya nchi, Francis...
  5. BAK

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hoseah: Hakuna ubaya kudai Katiba

    ‘Hakuna ubaya kudai Katiba’ Sunday September 05 2021 Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Dk Edward Hoseah amesema si kosa kwa wananchi kudai Katiba Mpya na kwamba wakati umefika kwa mamlaka za nchi kutoa mwongozo mpya wa kufikia hatima ya dai hilo. By Bernard James Dar es...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Mapambano bado yanaendelea

    Kupigania katiba mpya Tanzania ni wajibu wetu na hasa wote tulio na akili timamu. Tutake nini kwa Mungu kama katiba mpya itatuhakikishia uwepo wa usawa, haki, uhuru na utawala wa demokrasia? Mambo mema kabisa kwetu, watoto wetu na hata watoto wa wajukuu zetu. Mapambano haya yaliyoendelezwa...
  7. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Zuio la mijadala ya katiba mpya ni kuzuia elimu hii isiwafikie wananchi

    Jumapili njema wakuu! Huu ndo ukweli wenyewe! Kwa kengo lile lile la CCM kutawala raia wasio na elimu, ndiyo chanzo cha nguvu kubwa ya kuzuia elimu ya katiba mpya isisambae kwa raia kwa kukataza uwepo wa mijadala ya katiba mpya. Tafiti za huko nyuma zinaonesha wazi shabiki wakubwa wa ccm ni...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba mpya lafanyika Tarime kwa amani na utulivu

    Siku zote tumesema humu na kurudia mara nyingi sana kwamba , HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU , japo wapagani wametupuuza mara zote lakini ukweli huu hauwezi kupingwa . Pamoja na RC wa Mara kumwaga majeshi yote barabarani na mitaani , ikiwa ni pamoja...
  9. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hongera Dar Mpya kwa kukemea "Double standard" ya Jeshi la Polisi

    Kuna mambo yanatafakarisha sana sana. Polisi hawa wanawaachia hawa wafanye mikutano na Polisi hao hao wanawavamia wananchi wengine wakiwa wanafanya mkutano wa ndani. Huenda tukazika sana kama tutaendelea hivi. "Darmpya Blog tunalaani vikali vitendo vya upendeleo kwa @ccm_tanzania vinavyofanywa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Mapambano yako katika Hatua za Mwisho

    Mapambano ya kudai katiba mpya ni mapambano kudai haki, uhuru na demokrasia. Demokrasia ni kuwa na utawala unaowajibika kwa wananchi. Siyo utawala unaowajibika kwa watawala. Kwenye demokrasia: 1. tozo za miamala ya simu zisingekuwapo, 2. bambikizaji za kesi zisingekuwapo, 3. polisi...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Musoma: Polisi Wazingira ofisi ya CHADEMA kulikopangwa kufanyika kongamano la Katiba Mpya

    Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika . Mungu ibariki Chadema
  12. bashri

    JamiiForums Tanzania Hakuna jipya kwenye jezi mpya za simba tizama hapa

    Hakika alichofanya vunja bei ni zaidi ya uhuni kwenye jezi mpya za simba, ubunifu zero alichofanya kachukua jezi ya timu ya taifa ya Tunisia ya mwaka 2019 kisha kaongeza yale makorokoro . Na leo wametutambulishia kuwa ni uzi mpya wa simba ajabu kweli
  13. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

  14. Area 56

    JamiiForums Tanzania Jezi mpya za Simba kwa msimu wa 2021/22 zavuja

    Nimeziona jezi za ugenini bado sijafanikiwa kupata ile ya nyumbani. Unazipa alama ngapi chini ya 10?
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka akutana na jamii mpya

    SHAKA HAMDU SHAKA AKUTANA NA KUNDI LA JAMII MPYA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amekutana na kufanya mazungumzo na kundi la Jamii Mpya linalojishughulisha na uhamasishaji wa vijana na wanawake katika masuala ya uzalendo, uwajibikaji, ubunifu na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka akutana na kundi la Jamii Mpya

    SHAKA AKUTANA NA KUNDI LA JAMII MPYA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amekutana na kufanya mazungumzo na kundi la Jamii Mpya linalojishughulisha na uhamasishaji wa vijana na wanawake katika masuala ya uzalendo, uwajibikaji, ubunifu na kuwajengea...
  17. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania Natafuta Samsung Tab 8 Mpya

    Hello Wadau, Niko Dar. Natafuta tab 8 mpya. Isizidi laki 4. Au Tab T. Nishtue inbox. niko Dar mpaka kesho jioni
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho 'Mu'

    Shirika la Afya Duniani (WHO) linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kinachofahamika kama Mu au B.1.621 ambacho kwa mara ya kwanza kiligundulika Januari 2021 Nchini Colombia. Kwa mujibu wa WHO, Kirusi hicho kina mabadiliko yanayoashiria kinaweza kuwa sugu kwa Chanjo, lakini tafiti zaidi...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Chalinze, Kuruthum Amour Sadik hajaapishwa?

    Salaam Wakuu, Tarehe 2 Aug 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na Wilaya. Mmoja ya watu Walioteuliwa ni Mwanadada Kuruthum Amour Sadik ambaye aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa SIMBA SC - Simba ni noma noma kweli....

Back
Top Bottom