Hatari ya ushoga kwa watoto wa Tanzania; Serikali itunge Sheria kuzuia vikaragosi vya Superman

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
5,275
7,937
Sahau Tozo, sahau machinga, sahau COVID-19
Screenshot_20211012-195457.png
Hatari mpya inayowakabili watoto na wajukuu wetu ni Superman mpya ambaye ni shoga.

Ushaur;
Serikali yetu ingetunga Sheria mathubuti za kuzuia vikaragosi hivyo visionyeshwe wala kufanya mijadala kama hiyo.
Maana wazung wanaweza sema ni haki ila ni kwao si tatizo kama ilivyo bangi na mihadaratI kwenye baadhi ya mataifa duniani
 
Sahau Tozo, sahau machinga, sahau COVID-19View attachment 1972273Hatari mpya inayowakabili watoto na wajukuu wetu ni Superman mpya ambaye ni shoga.

Ushaur;
Serikali yetu ingetunga Sheria mathubuti za kuzuia vikaragosi hivyo visionyeshwe wala kufanya mijadala kama hiyo.
Maana wazung wanaweza sema ni haki ila ni kwao si tatizo kama ilivyo bangi na mihadaratI kwenye baadhi ya mataifa duniani
Na watoto wanavopenda katuni. Wameona waanze na watoto ili wawapandikize hizi tabia wakiwa bado wadogo ili wakikuwa wawe mashoga makomavu yaanze kupigania na haki za ushoga na mashoga kama jinsi walivo wao wazungu.
 
Itafika kipindi kila katuni, game, muvi, kitakuwa na ujinga huu, Yaani hawa washenzi wanaharibu sana
Wanajua how to destroy mind ,control mind,rule your mind,to plant anything into your mind,to impact anything,yaani achana na mzungu bana Kama aliniambia kuwa dini yako , jina lako,chakula chako, mavazi yako,lugha yako,Mungu wako,rangi yako , yaani kila kitu chako ni kibaya hakifai Ila Cha kwao na watu wamefuata usicheze nao,later hii same sex itazoeleka.
Yaani aliyekuletea dini ukajua jema na Baya Leo hii unamkosoa aliyekutoa tongotongo kweli
 
Standard ya kila kitu wameiset wao hamna wa kupinga!
Mbele kiza...
 
Standard ya kila kitu wameiset wao hamna wa kupinga!
Mbele kiza...
Mie naona saivi mtu akasoma elimu Yao bado anataka kuwa criticise.
Saivi wanahimiza kuchanjwa Ila hawako tayari kwa side effects za chanjo.
Hawa ni watalaamu waafrika wanahimiza sie tuchanjwe Ila hawajui chemistry, compounds and molecular composition ya chanjo
 
Back
Top Bottom