DR-Congo: Raia waandamana kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,008
9,873
Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji wanaotaka Tume Huru ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo

Waandamanaji zaidi ya 10,000 walitapakaa katika mitaa ya Kinshasa ambapo waliharibu sanamu ya Rais Felix Tshisekedi

Maandamano hayo yamekuja baada ya Denis Kadima kuteuliwa kuwa Mkuu wa Tume ya Uchaguzi(CENI) ambaye anadaiwa kuwa na ukaribu na Rais Tshisekedi

==
Police in the Democratic Republic of the Congo have fired tear gas as governing party members attempted to stop tens of thousands from marching to seek a neutral election commission.

About 10,000 opposition demonstrators marched through the streets of Kinshasa on Saturday and tore down a statue of President Felix Tshisekedi.

They were met by members of the governing Democracy and Social Progress (UDPS) party who tried to stop the march by hurling petrol bombs, witnesses told Reuters news agency.

Police fired tear gas to disperse them and let the demonstration continue.

The protests were sparked by the proposal from six religious groups to install Denis Kadima as head of the Independent National Electoral Commission (CENI).

Religious groups, which are mandated by the constitution to nominate the leadership of the CENI by consensus, had been at loggerheads for months and failed to reach an agreement.

Kadima’s nomination was met with anger as he is seen as corrupt and with close ties to Tshisekedi.

Political analysts and diplomats have criticised CENI for its role in the disputed 2018 vote, where Tshisekedi emerged as president.

Opposition leader Martin Fayulu and Tshisekedi had formed an electoral pact in the run-up to the 2018 election, but Tshisekedi eventually split off to form another political group before the vote.

CENI declared Tshisekedi the winner, while Fayulu, who said he had won a landslide victory, came second.

Fayulu was among the leaders of the protest on Saturday, together with former Prime Minister Adolphe Muzito.


Tshisekedi is expected to seek a second term when Congolese voters return to the polls in 2023, with CENI likely to play a pivotal role again.
 
Tume za uchaguzi ndio kiini cha kuvuruga chaguzi ktk Afrika kwa sababu zinaundwa na vibaraka wa vyama tawala na kazi yao kubwa ni kuhakikisha chama tawala kinashinda uchaguzi.

Afrika bado sana kwenye maswala ya uchaguzi tulizoea mfumo wa uchifu na ndio maana tumeshindwa kuelewa nini maana ya uchaguzi.
 
Africa tunashida sana...
Hebu fikiria wapinzani wakati wa kabila walilia tume huru ya uchaguzi wakiongozwa na Raisi huyu wa Sasa Tshekedi.Uchaguzi mkuu ukaja akashinda huyo mpinzani Tshekedi .Sasa wakiobaki wanamlilia Tshekedi alete tume huru mtu wao wenyewe aliyekuwa mpinzani mwenzao aliyeshinda kwa tume Hiyo Hiyo iliyopo!!!
 
Tume hiyo hiyo iliyomtangaza aliyekuwa mpinzani kuwa ni mshindi wa kiti cha URAIS, sasa hivi inalalamikiwa na wapinzani waliobaki kuwa sio huru?
Waafrica tunachezewa sana na wabwana wakubwa kututoa ktk reli, tustuke ktk hili.
 
Back
Top Bottom