mpira

  1. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Michezo ipo mingi ila mna ng'ang'ania mpira. Kwani ndio mchezo pekee mnaoujua?

    Moja ya agenda za ajabu ambazo sizielewi katika taifa hili ni kuamini katika mchezo wa soka kama njia pekee ya kututambulisha kimataifa. Hii agenda imekwisha shindwa mara nyingi hakuna maajabu yoyote yatapatikana katika mchezo wa soka katika nchi yetu. Tubadili fikra zetu na kuamua kuuweka...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania mpira unachezwa na waliofeli shule au waliokataa kwenda vyuo; Duniani mpira unachezwa na wale wenye vipaji

    Mpira unaanza na uwezo wa akili kufanya maamuzi. Mpira unatokana na skills na creativity. Watu wote wenye vipaji wanafaulu katika eneo lao la specialization. Mafundi simu simu wengi siyo wale waliomaliza degree bali ni wale walio na kipaji chakujifunza kutengeneza simu. Mafundi furniture siyo...
  3. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Amrouche Alikua Sahihi 100% Morroco Wanabebwa Sana hawana huo uwezo Saiv, TFF Ya Karia Hamjui Mpira

    Nasema hivi Weusi sisi ni Njaaa sana, Tumempata Kocha atakae tuponya atakae tuambia ukweli tuendeleee katika soka ila kwa kua tuna watu wasiojua Mpira saiv wanapanga kumfukuza kocha. Mnamfuta kazi kocha Kisa kasema maneno ya ukweli na wameshamfungia ila alietazama Match zote za Morroco ameelewa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally kwani nawe huwezi kuchambua mpira kama ali kamwe tunayemsikia sasa ufm akichambua mechi za afcon?

    wewe bung'aa bung'aa tu na ukomedi wako wa kila ukihojiwa wakati mwenzako ali kamwe kuna value fulani hivi anaiongeza na credits kadhaa kuzipata kwa sasa kuwa mmoja wa wachambuzi wa michuano ya afcon kwa kualikwa na azam media / ufm
  5. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Swali; Baba watoto hao wanacheza mpira?

    wakuu habari za uzima? Nipo hapa na mwanangu tunaangalia mpira.kipindi unaanza aliona hawa watoto wanaoingia pamoja na wachezaji akaniuliza. Baba hao watoto na wao wanacheza, nikamjibu hapana. Akauliza sasa wanafanya nini humo, imebidi nidanganye kwamba hao ni baba zao wamewasindikiza. Kwa...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Diamond: Manara ana mchango mkubwa kwenye mpira, tukiendekeza chuki za mtu mmoja mmoja ni kudidimiza mpira. Aiomba Serikali imfungulie

    Msanii wa mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz akiwa kwenye birthday party ya Manara jana usiku, alitumia sehemu kubwa ya salam zake kuongelea sakata la Manara kufungiwa na TFF kujishirikisha na mpira wa miguu Tanzania. Diamond amesema ni chuki na kuiomba Serikali ifanye jambo. Diamond...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wanaume wakumbushwa kufuatilia afya zao kama wanavyofuatilia mpira

    WANAUME WAKUMBUSHWA KUFUATILIA AFYA ZAO KAMA WANAVYOFUATILIA MPIRA Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Afya Dkt. Festo Dugange amewakumbusha wananume kufuatilia afya zao na Afya za Watoto kama wanavyofuatilia mechi za mataifa ya Africa AFCON2023 yanayoendelea nchini Ivory Coast...
  8. Ladder 49

    JamiiForums Tanzania Baada ya mechi ya Taifa Stars dhidi ya Morocco, Tanzania hawajui mpira kabisa

    Wake pole na habarini za zenu. Hivi ni mimi peke yangu ndio nimeona kwenye ile mechi ya Morocco dhidi ya Taifa stars? Maana sio kwa mpira mbovu vile aisee. muda Wote wachezaji wetu wanapiga pasi kwenye eneo letu tu mpaka unajiuliza Hivi hawa kweli walifuzu kihalalli kweli, maana kama algeria...
  9. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania 2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Ni michuano ya 34 ya Mataifa huru ya Afrika ambayo itafanyika Ivory Coast kuanzia January 13 mpaka February 11 ya 2024. Itashirikisha timu 24 ikiwemo sisi Tanzania. Michuano hiyo itafanyika katika majiji matano huku viwanja sita vitatumika katika michuano hiyo. Hii ni mara ya pili kwa Ivory...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ndimi mbili za Makonda hizi hapa. Mdahalo alioulilia wamtokea puani , aweka mpira kwapani

    Hebu jionee mwenyewe Mdahalo nao aukimbia
  11. C

    JamiiForums Tanzania TFF ichunguze ligi ya mpira wa miguu Tanzania Bara

    Kwa mpira wa jana Simba dhidi ya Singida nashawishika kusema TFF hawana budi kuchunguza Mechi zote ambazo simba Wanacheza. Inawezekana ndio mpango wa maboss wao kuwarubini Waamuzi ili wapate matokeo. Haiwezekani mechi zaidi ya 5 waamuzi Wanaochezesha mechi za Simba kufungiwa/ kulaumiwa Kibaya...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya kisayansi kumaliza utata wa mpira wa kona mechi ya Simba vs Singida

    Embu angalieni clip hii. Saidoo alipoupiga mpira, kwa angle na mguu aliotumia, ule mpira bila kuingiliwa na mtu mwingine ulitakiwa uzungukezunguke kwenda upande wa kulia lakini kutokana na kuparazwa na mchezaji wa Singida, ule mzunguko ukabadili uelekeo na kuanza kuzungukazunguka kushoto...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

    Mchezaji mpira maarufu Sadio Mane juzi amefunga ndoa na mchumba wake, binti mdogo Mwenye umri wa miaka 18. Mwamba ameamua kuoa dogo dogo kuwahi bikira kabisa kabla wahuni hawajaitoa. Cha kushangaza wanasema ni long time girl friend wake. Nawaza tu mahusiano walianza binti akiwa na miaka mingapi?
  14. Calvin Ramadhan

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kukuza brand ya mpira Tanzania

    Ni swali la msingi kama sio hoja, hivi kwa hatua tuliyofikia Tanzania kwenye maendeleo ya mpira inawezekana vipi TFF au wadau kwa ujumla au mamlaka husika ya mpira Tanzania kukosa udhamini kwenye mpira unaotumika uwe rasmi? Yaani ijulikane moja kama msimu wa 2023/24 Ligi yetu itatumia mpira wa...
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania ‘Young’s double slit‘ na ‘Delayed choice quantum eraser’ inavyotumika kupredict matokeo ya mechi za mpira kwa uhakika wa 100% (CERN facility)

    Kuna phenomena moja iliyogunduliwa na wanasayansi ya kada ya ‘Quantum mechanics’ ambayo ni ‘wave - particle’ duality ya mwanga. Hii inakuwaje? Nisikilikze kwa makini Kwa miaka mingi wanasayansi walikuwa wakiamini kwamba mwanga husafiri kwa mfumo wa mawimbi kupitia ‘medium flani’ ambayo...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video ikimuonesha Mbappe akicheza mpira na Roboti

    Salaam Wakuu, Nimekutana na Video ikimuonesha mchezaji wa PSG Kylian Mbappe akicheza mpira na Roboti. Kuna ukweli kuhusu video hii? Tunaombeni ufafanuzi. Video iliyosambaa mtandaoni
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Akagua Eneo la Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu Jijini Arusha

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro ametembelea na kukagua eneo la Olmoth ambalo litajengwa uwanja mpya wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua watazamaji Elfu thelathini utakaotumika katika michuano ya AFCON 2027. Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekagua eneo hilo Desemba 15...
  18. vibertz

    JamiiForums Tanzania Member wanaongoza kwa kuwa weupe kwenye maswala ya mpira wa miguu.

    Habari wanajukwaa ikiwa mwaka 2023 unaishia ishia. Taja member ambao unaona wanauelewa wa kiwango cha chini kwenye mpira, au pengine unazi wa utimu umemzidia. Mimi kwangu ni hawa wafuatao wakabadilike kuelekea mwaka mpya 2024. 1) Laban Og huyu nyuzi zake hazinaga maana zaidi ya unazi...
  19. tpaul

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga: Jinsi ushabiki wa mikeka ulivyoua ushabiki wa mpira

    Zamani kabla mikeka haijaingia hapa nchini mashabiki wa mpira walikuwa na ushabiki halisi kwa timu zao pendwa. Nakumbuka mechi kati ya Man United na Arsenal iliyochezwa mwaka 2003. Van Van Nistelrooy alikosa penati dakika za majeruhi. Siku hiyo kulikuwa na mshawasha mkubwa sana miongoni mwa...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars chini ya TFF yaunga mkono Kampeni ya 'Piga Mpira Usipige Mwanamke'

    Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ chini ya uongozi wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) wanaunga mkono Kampeni ya PIGA MPIRA SIO MWANAMKE. Taasisi isiyokuwa ya Kiserikali THAMANI WOMEN TANZANIA (thamani.tz) inaendesha kampeni hiyo ya kupaaza sauti dhidi ya ukatili kwa wanawake na...
Back
Top Bottom