TFF ichunguze ligi ya mpira wa miguu Tanzania Bara

Carica_papaya

JF-Expert Member
Nov 22, 2018
758
1,232
Kwa mpira wa jana Simba dhidi ya Singida nashawishika kusema TFF hawana budi kuchunguza Mechi zote ambazo simba Wanacheza.

Inawezekana ndio mpango wa maboss wao kuwarubini Waamuzi ili wapate matokeo. Haiwezekani mechi zaidi ya 5 waamuzi Wanaochezesha mechi za Simba kufungiwa/ kulaumiwa
Kibaya zaidi hili genge linasahau mpira wa miguu kwa sasa unaonekana na kila mtu.

Watafute wachezaji wenye sifa kuliko vituko wanavyofanya kwa sasa.. ni aibu sana
 
Kwa mpira wa jana Simba dhidi ya Singida nashawishika kusema TFF hawana budi kuchunguza Mechi zote ambazo simba Wanacheza. Inawezekana ndio mpango wa maboss wao kuwarubini Waamuzi ili wapate matokeo. Haiwezekani mechi zaidi ya 5 waamuzi Wanaochezesha mechi za Simba kufungiwa/ kulaumiwa

HIvi unajua kujenga hoja yenye mashiko ukaeleweka? Inayoonyesha sheria 17 za mpira wa miguu zilizokiukwa? Umeandika kama shabiki anayebishana kijiweni.
 
Kwa mpira wa jana Simba dhidi ya Singida nashawishika kusema TFF hawana budi kuchunguza Mechi zote ambazo simba Wanacheza. Inawezekana ndio mpango wa maboss wao kuwarubini Waamuzi ili wapate matokeo. Haiwezekani mechi zaidi ya 5 waamuzi Wanaochezesha mechi za Simba kufungiwa/ kulaumiwa
Kibaya zaidi hili genge linasahau mpira wa miguu kwa sasa unaonekana na kila mtu.
Watafute wachezaji wenye sifa kuliko vituko wanavyofanya kwa sasa.. ni aibu sana
Hivi wewe ni Ke au Me?
 
Rejea mechi ya Geita Gold (H), Azam (H & A), Namungo (A) VS Yanga zote za msimu wa 2022-2023 na kilicho wakuta waamuzi wa mechi hizi...
Halafu urudi na huo upupu wako hapa.
 
Uto wameumia mno 😂😂😂😂. Wazee wa unbeaten
 
Hivi kwann ukiwa na mwiko nyuma unarukwa na akili?
 
Kwa mpira wa jana Simba dhidi ya Singida nashawishika kusema TFF hawana budi kuchunguza Mechi zote ambazo simba Wanacheza. Inawezekana ndio mpango wa maboss wao kuwarubini Waamuzi ili wapate matokeo. Haiwezekani mechi zaidi ya 5 waamuzi Wanaochezesha mechi za Simba kufungiwa/ kulaumiwa
Kibaya zaidi hili genge linasahau mpira wa miguu kwa sasa unaonekana na kila mtu.
Watafute wachezaji wenye sifa kuliko vituko wanavyofanya kwa sasa.. ni aibu sana
Tutajie hizo mechi wewe uto! Mbona game za uto hujasema, mbona game za Azam hujaumia hivo? Hata hao hao singida ambao kuna penati karibia mbili hujataka chambua? Na nilisikia mlikuwa hamna malengo na mapinduz sasa mbona umeumia hivo uto?
 
Hi ndio akili kisoda ivi Kati ya simba na yanga hapa kwenye ligi team ipi inaogonza kutoa bahasha? yani sio kwa marefa tu mpaka kwa wachezi waandamizi na sio ivo tu hadi upangaji wa matokeo utopolo wanatisha, kwanza singinda ni tawi lenu week mbili zilizo pita Gsm amenunua hisa ihefu kimy kimya.
Nb:
Yani huo uchunguzi ukifanyika ndani ya saa moja utopolo wataishusha daraja kwa kasi ya 4g bora ukae kimya tu
F7-MH1PXgAE6vhM.jpeg
 
Kwa mpira wa jana Simba dhidi ya Singida nashawishika kusema TFF hawana budi kuchunguza Mechi zote ambazo simba Wanacheza.

Inawezekana ndio mpango wa maboss wao kuwarubini Waamuzi ili wapate matokeo. Haiwezekani mechi zaidi ya 5 waamuzi Wanaochezesha mechi za Simba kufungiwa/ kulaumiwa
Kibaya zaidi hili genge linasahau mpira wa miguu kwa sasa unaonekana na kila mtu.

Watafute wachezaji wenye sifa kuliko vituko wanavyofanya kwa sasa.. ni aibu sana
Hivi unajua namna Karia alipata uongozi?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Tatu Malogo Fc ukianzia mechi za Ngao ya Jamii alibebwa zote, kwenye ligi Mechi na Prison, Singida, KMC zote zilikua na makosa ya kibinadamu na makosa yote ya kibinadamu yaliwafaidisha wao.

Singida wanapocheza na Simba ni mara chache wametoka bila kutokea mapungufu ya kibinadamu yanayo waumiza wao.

Kinachotakiwa kufanyika kwa Singida ni kuimarisha timu Yao kama walivyo fanya Azam, Azam kwasasa ana mkanda Simba ata marefa wakileta ukosefu wao wa kibinadamu.
Yaliyo wakuta Singida yaliwakuta Mbao, ilitolewa penalty dk za majeruhi katika fainali ya FA wakati hakuna mchezaji aliyeshika mpira.
Hakuna mchezaji wa Mbao atakaye sahau mechi Ile.
 
Rejea mechi ya Geita Gold (H), Azam (H & A), Namungo (A) VS Yanga zote za msimu wa 2022-2023 na kilicho wakuta waamuzi wa mechi hizi...
Halafu urudi na huo upupu wako hapa.
Aragija alifungiwa kwa kuibeba yanga halafu akaombewa msamaha akapewa mechi ya yanga na Simba nayo akavurunda, tatizo linaanzia kamati ya waamuzi hiyo kamati inabidi kuvunjwa iundwe upya
 
Back
Top Bottom