Member wanaongoza kwa kuwa weupe kwenye maswala ya mpira wa miguu.

vibertz

JF-Expert Member
Mar 15, 2022
1,383
2,530
Habari wanajukwaa ikiwa mwaka 2023 unaishia ishia. Taja member ambao unaona wanauelewa wa kiwango cha chini kwenye mpira, au pengine unazi wa utimu umemzidia. Mimi kwangu ni hawa wafuatao wakabadilike kuelekea mwaka mpya 2024.
1) Laban Og huyu nyuzi zake hazinaga maana zaidi ya unazi uliopitiliza kwa timu yake
2) Sayville. Huyu mzee wa kujitoa akili na ufahamu na hajui kujibu anachoulizwa.
3) Cashman, Dully Jr hawa hawachelewi kupaniki na kutoa lugha chafu kama wakizidiwa hoja.

Hapa nimezungumzia kwenye jukwaa hili la michezo, inawezekana labda kwenye majukwaa mengine kama siasa, n.k wakawa ni wapo vizuri tu.

Taja member wengine ili wabadilike mwaka mpya panapo majaliwa.

JF Sport, isimame katika jukwaa bora na makini.
 
Wapuuzi wako wengi sana. Wanajivunia matusi kwenye hoja zao. Kuwataja ni kupoteza muda
 
Habari wanajukwaa ikiwa mwaka 2023 unaishia ishia. Taja member ambao unaona wanauelewa wa kiwango cha chini kwenye mpira, au pengine unazi wa utimu umemzidia. Mimi kwangu ni hawa wafuatao wakabadilike kuelekea mwaka mpya 2024.
1) Laban Og huyu nyuzi zake hazinaga maana zaidi ya unazi uliopitiliza kwa timu yake
2) Sayville. Huyu mzee wa kujitoa akili na ufahamu na hajui kujibu anachoulizwa.
3) Cashman, Dully Jr hawa hawachelewi kupaniki na kutoa lugha chafu kama wakizidiwa hoja.

Hapa nimezungumzia kwenye jukwaa hili la michezo, inawezekana labda kwenye majukwaa mengine kama siasa, n.k wakawa ni wapo vizuri tu.

Taja member wengine ili wabadilike mwaka mpya panapo majaliwa.

JF Sport, isimame katika jukwaa bora na makini.
Kama 1979 hujamjuisha Anza upya.
 
Back
Top Bottom