Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

MELEKAHE

JF-Expert Member
Nov 19, 2023
434
1,967
Mchezaji mpira maarufu Sadio Mane juzi amefunga ndoa na mchumba wake, binti mdogo Mwenye umri wa miaka 18.

Mwamba ameamua kuoa dogo dogo kuwahi bikira kabisa kabla wahuni hawajaitoa.

Cha kushangaza wanasema ni long time girl friend wake. Nawaza tu mahusiano walianza binti akiwa na miaka mingapi?

IMG-20240109-WA0041.jpg
18024761_screenshot202401091234251_jpeg69932746bf2719f61c14312c5c6490b4.jpg
 
Asicho kijua mtoa mada ni kwamba Legal Age of Marriage in Senegal is 16 years old. Au kwa lugha nyingine ni kwamba nchini Senegel umri wa mwanamke kuingia kwenye ndoa ni miaka 16.
Halafu vitu vingine vya ajabu, ameolewa na miaka 18 mnashangaa, hata akiwa na 16 kaishabalehe ana mahitaji ya kimwili ruksa, yaani binti wa miaka 18 kuolewa sio sawa, ila kutom..bwa, kuziniwa sio suala, abebe mimba azae na arudi shuleni, yani ni ruksa tu binti kutafunwa ila sio kuolewa.
😂🤣
 
Back
Top Bottom