mpira

  1. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume sipendi mpira wala masumbwi, je kuna shida?

    Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au Man United kifupi sina interest! Kuna muda hadi wanawake wananishangaa maana utakuta wao wanajua au...
  2. DesertStorm

    JamiiForums Tanzania Al Ahly na Belouzdad namna walivyomiliki mpira ⚽️

    💪🏽 Kama waliambizana vile hahhaaa 😃💪🏽 Al ahly na yanga, robo fainali Belouzdad na medeama wameaga
  3. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

    𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ Al Ahly FC🆚Young Africans SC 📆 01.03.2024 🏟 Cairo International 🕖 6PM🇪🇬 7PM🇹🇿 TimuYaWananchi DaimaMbeleNyumaMwiko Karibu katika mechi ya sita na ya mwisho ya makundi ligi ya mabingwa Africa ungana nami katika Uzi huu kwa update za mechi hii Kila la kheri Yanga SC...
  4. Atalanta

    JamiiForums Tanzania Sitorudia tena kucheza mpira

    Habari zenu wakuu Hope mko powa kabisa. Nimeona nipate ku share nanyi kisa hiki kilichowahi kunitokea miaka kadhaa iliyopita. Wakati nipo O level kidato Cha nne nilikua ni mtu mcheshi Sana darasani kwetu, kitendo kilichofanya nipate kuwa na marafiki wengi pale shuleni. wengine nilikua nawajua...
  5. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Mpira ni uwekezaji na sio propaganda, Yanga endeleeni kuwaziba midomo wanafiki, mnawajibu kwa vitendo hongereni!

    Walianza na propaganda za Yanga kushiriki kombe la looser (shirikisho), wakatoka hapo yanga ikagonga mpaka fainali uku timu zikichapwa ipasavyo wakasema wamekutana na timu dhaifu, lakini wale wale waliwai kucheza ilo ilo kombe la looser wakaishia kuchoma uwanja wa watu na kutupwa nje ya michuano...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kundi jingine linalojumuisha watu wajinga ni mashabiki wa mpira wa miguu

    Nilitaka niwaite wapumbavu lakini naona litakuwa neno kali sana. Hivi mtu anapokea mshahara kuhamasisha watu waingie kwa wingi uwanjani anakushawishi ukunje kaptura eti kumuenzi mchezaji mpira (mwajiriwa) na wewe na uzuzu wako unakunja, Jumamosi wameambiwa wapake bleach kichwani, watafanya...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Tusipokuwa makini AFCON 2027 itatukuta hatujajenga viwanja vyetu vya mpira!

    Ni chini ya miaka mitatu sasa kabla ya AFCON 2027 kufanyika na tunajua Tanzania, Kenya na Uganda watakuwa wenyeji wa mashindano hayo maarufu barani Africa. Tuliambiwa Tanzania itajenga viwanja vipya vya mpira Arush na Dodoma. Ujenzi wa viwanja vizuri na vikubwa vya kimataifa huchukua muda...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa mpira wanawajuaje wachezaji haraka vile uwanjani

    Nina swali dogo eti Wakuu kuna hawa wanao comment mpira uwanjani hivi wanatumia mbinu gani kuweza kuwataja wachezaji fasta yaani mchezaji akipewa tu pasi tayari kashamtaja hachukui hata sekunde mbili binafsi naweza kukijua kikosi cha Man U au yanga chote lakini kikiwa kwenye uwanja...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Signings zetu Mbili mpya zinaanza Kulipa, zao Mbili moja Imesharogwa na nyingine inaendelea Kujitafuta wakati haijui Mpira kabisa

    Na safari hii tunatumia Mbinu mpya ya Kuwakinga Kindumba / Kiuganga na tabia zenu za Kuwaroga ili wasiwike kama huko walikokuwa hamtotuweza tena. Kuna Siku hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE nilisema kuwa kuna Mchezaji wenu Mmoja aliwika ghafla na mkampenda kuliko Maelezo anaenda kupotea Kitabia...
  10. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Tabora United ndio hii iliyocheza na Yanga mpira wa nguvu na akili nyingi pale Dodoma ama ni wengine hawa?

    Tabora united ya Leo ni Nini kimewapata? Ni wenyewe Hawa waliocheza na yanga pale Dodoma kwa kukamia kweli kweli kiasi Cha kwamba tukawapa 5 kuwa watafanya vizuri sana msimu huu lakini nilichokiona Leo pale Aly hassani mwingi stadium ni kichekesho Cha kufungia mwaka! Wamefungwa magoli mepesi...
  11. Smt016

    JamiiForums Tanzania Mpira unapogeuka mchezo wa maigizo

    Leo tumeshudia maigizo, tume enjoy sana kwa maigizo na tunawapongeza waigizaji kwa kuweza kumeza script ipasavyo, naona lengo la kuuamisha watu wa mpira wa miguu kuwa Freddy na Jobe sio magarasa leo utakuwa umezikwa baada ya watu kuonesha wasiwasi kwa mechi kadhaa tena baada ya kushindwa...
  12. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Dah! Nimeamini Kwenye Mpira uchawi upo, Sio kwa Alichokifanya Ivory Coast leo!

    ***** yaani Mali akanifanya nijione leo namkalisha kanji kipindi chote cha kwanza mpaka cha pili baada ya goli nikajiona nimemaliza kazi! ***** alooo Ivory coast walinishangaza kama mtu kavamiwa na nyuki, sio kwa boli lile jamani ule ni uchawi, yaani timu iko pungufu baada ya red card halafu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji mpira Azam Tv anaboa sana

    Jamaa maneno meeeengi hata hayahusiani na game yenyewe. Akimtaja mchezaji ataanza kumchambua weeee hadi club alizopita, badala ya kutangaza mpira unaochezwa uwanjani yeye ni ujuaji na story tu. Yaani utafikiri yupo kwenye kipindi cha majadiliano. Too much boring. Halafu hata tone/sauti yake...
  14. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Anayeangalia mechi ya Simba vs Tembo(FA) inaonyesha mpira wa back pass upo kwenye damu ya wachezaji wa Kitanzania kabisa

    Wasalam wanajukwaaa. Nipo naangalia hii Match ya Simba na Tembo ya FA Aisee inakera badooo sana, Yani zile beki zinachokifanya ndio kile tumetoka kukiona kwenye Team ya Taifa. Japo sio wote walikua Team ya Taifa ila hiki ni kielelezo kua Kumbe wachezaji wa Kitanzania swala la kuchezea Mpira...
  15. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Simba Bado inacheza mpira mbovu

    Bado sijaelewa kama hawa wachezaji wa Simba wana kazi nyingine zaidi ya mpira au namna gani? Bado wachezaji wetu wanafanya makosa madogomadogo na wanakosa seriousness. Bado wachezaji wetu wanaendelea kuwa na tatizo la ball control, possession ya mpira kwa wachezaji bado shida. Pass accuracy...
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Video za udambwi/manjonjo kwenye mpira wa miguu

    Wanasema mpira sio kushinda magoli tu, bali mpira ni kujua kuuchezea na kuutawala. Huu ni uzi maalumu wa kutupia video za udambwi dambwi wa mastaa kwenye ulimwengu wa mpira wa miguu. Mimi naanza na hawa viumbe wawili Lionel Messi na Cristiano Ronaldo DONDOSHA NAWEWE CLIP YA VIDEO...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa mpira ule wa Zambia....Wachezaji wa stars wapimwe kilevi kabla ya mechi

    Mtalalakika ooh kiwango ooh nasemaje Wale wachezaji wa stars wapimwe kilevi kabla ya kuingia uwanjani Kwa mpira ule wa zambia kuna shida sio tu kiwangoooooooo Hairuhusiwi chini ya miaka 19
  18. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Michezo ipo mingi ila mna ng'ang'ania mpira. Kwani ndio mchezo pekee mnaoujua?

    Moja ya agenda za ajabu ambazo sizielewi katika taifa hili ni kuamini katika mchezo wa soka kama njia pekee ya kututambulisha kimataifa. Hii agenda imekwisha shindwa mara nyingi hakuna maajabu yoyote yatapatikana katika mchezo wa soka katika nchi yetu. Tubadili fikra zetu na kuamua kuuweka...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania mpira unachezwa na waliofeli shule au waliokataa kwenda vyuo; Duniani mpira unachezwa na wale wenye vipaji

    Mpira unaanza na uwezo wa akili kufanya maamuzi. Mpira unatokana na skills na creativity. Watu wote wenye vipaji wanafaulu katika eneo lao la specialization. Mafundi simu simu wengi siyo wale waliomaliza degree bali ni wale walio na kipaji chakujifunza kutengeneza simu. Mafundi furniture siyo...
  20. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Amrouche Alikua Sahihi 100% Morroco Wanabebwa Sana hawana huo uwezo Saiv, TFF Ya Karia Hamjui Mpira

    Nasema hivi Weusi sisi ni Njaaa sana, Tumempata Kocha atakae tuponya atakae tuambia ukweli tuendeleee katika soka ila kwa kua tuna watu wasiojua Mpira saiv wanapanga kumfukuza kocha. Mnamfuta kazi kocha Kisa kasema maneno ya ukweli na wameshamfungia ila alietazama Match zote za Morroco ameelewa...
Back
Top Bottom